Wizara husika imchunguze Pastor Dominick (kiboko ya wachawi)

Nikiweka hapa taarifa za siri na uhakika kuhusu huduma ya kiboko ya wachawi kesho watu hawataki kwenda pale ,najua mengi na nimejuta kuyajua I was one core

USSR
Kua huru mkuu ndo lengo la huu uzi,Kusaidia watu.

If you dont mind please pm me
 
Jumapili wajinga wananipanga barabarani wakimsubiri awagawie elfu 10 kisha awaibie nyota zao waanze kupata shida.
 
Naomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.

1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.

2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa(staged miracles).

3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha(MUHIMU SANA)

4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.

Ni Punguani ndiyo anaweza kuamini ule Ujinga wake wa maigizo ya kupiga simu na kuponywa magonjwa.

Pastor Dominic ni TAPELI kama matapeli wengine.
 
Nadhani nikiri wenzetu Wakristo wametuzidi kwa mbali sana panapohusika na hawa 'mitume' na 'manabii'! Idadi inazidi milioni na inaendelea..
 
Naomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.

1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.

2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa(staged miracles).

3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha(MUHIMU SANA)

4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.
kama serikali iliwahi kuwa inakamata wale waganga chonganishi, ikamate na huyu, hana tofauti.
 
Nadhani nikiri wenzetu Wakristo wametuzidi kwa mbali sana panapohusika na hawa 'mitume' na 'manabii'! Idadi inazidi milioni na inaendelea..
ishu si wakristo , wanaenda mpaka mashia ,masuni na ahmadiya
 
Nimemsikia kwenye Redio mafundisho yake yakanishangaza sana,nikajiuliza mbona Wakristo Dini Yao inachezewa na kunajisiwa lakini wapo kimya tu!!
Nimemfuatilia TikTok kumbe ni brazameni tu mkongomani!
Hii Nchi yetu watu wanaweza kutoka watokako na wakafanya chochote Wanachotaka.
Rushwa na kuendekeza kulea Imani za watu Kwa kuogopa kuwakwaza wapiga kura vitakuja kutuletea maafa makubwa siku moja.
Huyu mkongo anagombanisha Familia,anajenga uhasama kwa ndugu.Anaikuza dhana potofu ya uchawi katika vyombo Rasmi vya habari na bado Mamlaka husika zinaangalia tu!!..Kuna nini?
Hivi hizi keki wanazolishana kwa mamia ya watu humo makanisani,nani huwa anahakikisha Ubora na Usalama wake?
Naogopa siku Moja atakuja mtu kuleta balaa kubwa,siwaamini hata kidogo hawa watu.
 
Nikiweka hapa taarifa za siri na uhakika kuhusu huduma ya kiboko ya wachawi kesho watu hawataki kwenda pale ,najua mengi na nimejuta kuyajua I was one core

USSR

Director wa movie zake za wale wanaopiga simu hajui kupanga watu vizuri ,kuna makosa mengi sana ambayo unaona kabisa ni maigizo ,sijajua misukule inamuamini vipi huyo TAPELI.
 
Naomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.

1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.

2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa(staged miracles).

3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha(MUHIMU SANA)

4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.
USISAHAU,
CCM NA UTAWALA WAKE WANAPENDA UWEPO WA WATU KAMA HAWA.
WATAWALA WANATAMANI UWEPO WA KINA NABII TITO, ZUMARIDI,SHUSHO, NK.
NI RAHISI KUWATAWALA. HAO WAUMINI SIO RAHIS KUA NA MISIMAMAO KAMA WATU WA KENYA.

FUATILIA WAUMINI WAKE, WOTE CHOKA MBAYA.
NI KAMA VILE WATU WAMEALIKWA NA KUNA POSHO WANALIPWA.

HATA WAKIFIKA HATUA YA KUZIKWA NI SAWA TU.
TAIFA LINANUFAIKA KWA KUPUNGUKIWA WAPUMBAVU.

NI ISHARA YA KUSHINDWA KWA UKRISTO DUNIANI.
HATA VIONGOZI WENGINE WA DINI WAKO KIMYA...
SIKU SI NYINGI TAPELI MMOJA, ATAJIITA YESU KRISTO

MEXICO KUNA KANISA LINAUZA VIWANJA HUKO MBUNGUNI!, NA WATU WANANUNUA
DAR ES SALAAM, KUNA KANISA ETI KUZAA NI DHAMBI!

#UISLAMU NDIO DINI PEKEE ILIYO IMARA KIIMANI NA KIITIKADI.
 
Kijana kapata fursa mnapiga vita,akifungiwa kupiga kaz mnataka awe Kibaka au sio
 
Serikali inawachekea hawa watu kwa kuwa wanasaidia CCM kubaki madarakani coz wachungaji huwaaaminisha watu kuwa maisha magumu kwa sababu umeibiwa nyota,umerithi laana za ukoo kumbe CCM ndio msababishi mkuu wa shida nchini.
 
Tuanzishe
USISAHAU,
CCM NA UTAWALA WAKE WANAPENDA UWEPO WA WATU KAMA HAWA.
WATAWALA WANATAMANI UWEPO WA KINA NABII TITO, ZUMARIDI,SHUSHO, NK.
NI RAHISI KUWATAWALA. HAO WAUMINI SIO RAHIS KUA NA MISIMAMAO KAMA WATU WA KENYA.

FUATILIA WAUMINI WAKE, WOTE CHOKA MBAYA.
NI KAMA VILE WATU WAMEALIKWA NA KUNA POSHO WANALIPWA.

HATA WAKIFIKA HATUA YA KUZIKWA NI SAWA TU.
TAIFA LINANUFAIKA KWA KUPUNGUKIWA WAPUMBAVU.

NI ISHARA YA KUSHINDWA KWA UKRISTO DUNIANI.
HATA VIONGOZI WENGINE WA DINI WAKO KIMYA...
SIKU SI NYINGI TAPELI MMOJA, ATAJIITA YESU KRISTO

MEXICO KUNA KANISA LINAUZA VIWANJA HUKO MBUNGUNI!, NA WATU WANANUNUA
DAR ES SALAAM, KUNA KANISA ETI KUZAA NI DHAMBI!

#UISLAMU NDIO DINI PEKEE ILIYO IMARA KIIMANI NA KIITIKADI.
Tuanzishe jukwaa la dini mjadala mwengine kuhusu uislamu ntakua na mengi,Hapa ilikua ni tahadhari tu kabla ya hatari
 
Back
Top Bottom