Wizara husika imchunguze Pastor Dominick (kiboko ya wachawi)

Hii srikali ipo makini kwa maslahi yke tu, ukiisema vibaya mtandaoni wqtakutafita kwa mamilioni wakumalize yaani wapo makini kulinda vibarua vyao kuliko mambo ya kishenzi yanayotokea kwa raia

1.Jamaa cha kwanza amejichubua hadi vidole anaficha na gloves kuficha sugu za mkorogo

2.Maombi yke ni wachawi na wanaologa tu utasema mganga

3.Ndevu kapaka rangi na nywele kapiga wey

4.Kazi yake ni kukwanbia mama yako anakuloga jamaa ni msanii na tapeli kabisa

5.Instagram yake akiweka post utaona ina likes 10,000+ kumbe likes zenyewe ananunua ukiaangalia waliolikes utona ni robots accounts
Hii ya kuvaa gloves kuficha rangi ya mikono nimehisi. Mzee wa ngurumo ya upako mikono yake pia sio meupe tofauti na uso.
 
Naomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.

1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.

2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa (staged miracles).

3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha (MUHIMU SANA)

4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.
Na yule alieangamiza watu zaidi ya 20 huko moshi ulishauri achunguzwe? Hatua gani zilichukuliwa dhidi yake?
 
USISAHAU,
CCM NA UTAWALA WAKE WANAPENDA UWEPO WA WATU KAMA HAWA.
WATAWALA WANATAMANI UWEPO WA KINA NABII TITO, ZUMARIDI,SHUSHO, NK.
NI RAHISI KUWATAWALA. HAO WAUMINI SIO RAHIS KUA NA MISIMAMAO KAMA WATU WA KENYA.

FUATILIA WAUMINI WAKE, WOTE CHOKA MBAYA.
NI KAMA VILE WATU WAMEALIKWA NA KUNA POSHO WANALIPWA.

HATA WAKIFIKA HATUA YA KUZIKWA NI SAWA TU.
TAIFA LINANUFAIKA KWA KUPUNGUKIWA WAPUMBAVU.

NI ISHARA YA KUSHINDWA KWA UKRISTO DUNIANI.
HATA VIONGOZI WENGINE WA DINI WAKO KIMYA...
SIKU SI NYINGI TAPELI MMOJA, ATAJIITA YESU KRISTO

MEXICO KUNA KANISA LINAUZA VIWANJA HUKO MBUNGUNI!, NA WATU WANANUNUA
DAR ES SALAAM, KUNA KANISA ETI KUZAA NI DHAMBI!

#UISLAMU NDIO DINI PEKEE ILIYO IMARA KIIMANI NA KIITIKADI.
Wewe pia umepuyanga na huna tofauti na waumini wa huyo nabii uchwara, dini zote ni SCAM.. hiyo yenye mabikra 70 na mito ya pombe ndio in uimara gani? Haujawahi kuona waumini wa hiyo unayoita Dini pekee wanavyojazana kwa mitume na manabii feki?
 
Kwa wakristo acha tu wapigwe hakuna serikali kuingilia kati, ukiwasanua hawakawii kukuambia wewe ni Kobazi unawaonea wivu manabii wao, acha wapigwe hswaa, kama yule dogo anajiita IPM, ni muislam pure ila nae anajifanya nabii apige ela za wakristo
Mkuu Kuna mteja mkubwa wa hawa mitume tofauti na muislamu!? Na ndo maana mitume hawa wanaibukia sehemu za pwani kwenye waislamu wengi.
 
Naomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.

1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.

2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa (staged miracles).

3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha (MUHIMU SANA)

4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.
Hakunaga pastor kiboko ya watawala mafisadi??

Hawa mapastor huko wanapaogopaga hawagusi
 
Acheni wivu, kuna mtu anafanya Ramli chonganishi kama Kuhani Mussa? mwamposa daily watu wanafia pale mupo kimya.

Gwajima anibia wamama wa watu Mupo kimya. Leo kiboko ya wachawi tu ameanza kula mema ya nchi munaanza kumsagia Kunguni. Mwacheni nayeye afaidi za wajinga waliobaki Nchini.

Kuna jamaa yangu anapiga pale kazi anakula amisha kinoma asee jamaa anpiga za wajinga kwa njia Za kijinga.
 
Mkuu Kuna mteja mkubwa wa hawa mitume tofauti na muislamu!? Na ndo maana mitume hawa wanaibukia sehemu za pwani kwenye waislamu wengi.
Waislam wanawapenda na kuwaona kama mashekhe waagua mapepo tu ,mkristo wa kweli hawezi kukubaliana na ujinga ule

USSR
 
Acheni wivu, kuna mtu anafanya Ramli chonganishi kama Kuhani Mussa? mwamposa daily watu wanafia pale mupo kimya.

Gwajima anibia wamama wa watu Mupo kimya. Leo kiboko ya wachawi tu ameanza kula mema ya nchi munaanza kumsagia Kunguni. Mwacheni nayeye afaidi za wajinga waliobaki Nchini.

Kuna jamaa yangu anapiga pale kazi anakula amisha kinoma asee jamaa anpiga za wajinga kwa njia Za kijinga.
Anapiga unajua watu wanagapi wanafia pale
 
Naomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.

1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.

2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa (staged miracles).

3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha (MUHIMU SANA)

4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.
Wajinga ndio waliwao biblia Iko wazi kabisa kumfahamisha mjinga ,watu ni wavivu kusoma wanategemea watu!
 
Ngoja niende maeneo ya tandale uzuri nikamtafute Mwarabu fighter,nitakuja na a,b,c zote za huyo pastor kiboko ya wachawi
 
Acheni wivu, kuna mtu anafanya Ramli chonganishi kama Kuhani Mussa? mwamposa daily watu wanafia pale mupo kimya.

Gwajima anibia wamama wa watu Mupo kimya. Leo kiboko ya wachawi tu ameanza kula mema ya nchi munaanza kumsagia Kunguni. Mwacheni nayeye afaidi za wajinga waliobaki Nchini.

Kuna jamaa yangu anapiga pale kazi anakula amisha kinoma asee jamaa anpiga za wajinga kwa njia Za kijinga.
Wakumbushe hii nchi ni shamba la bibi,njoo na ubunifu wako utapiga hela hasa kwenye mambo ya dini,uganga na mikataba ya hovyo.
 
King Kong III hongera mkuu kuna post ya nyuma ulishawasanua watu kuhusu huyu jamaa.

Thanks sana Burrell ,watu wanatapeliwa kijinga sana ,sijui kwanini wanashindwa kuona USANII wa wazi wazi wa hao MATAPELI kupitia Dini.

Jamaa amejitajirisha sana kwa kuwaibia watu,kwasasa anatoa misaada kuficha WIZI wake ,ametoa DIFENDA tatu kwa kituo cha Polisi kwa ajili ya patrol ,kwasasa anatoa misaada ya kijamii kwenye taasisi mbali mbali ,anagawa fedha elfu 10 kumi sehemu anazopita.
 
Kwa wakristo acha tu wapigwe hakuna serikali kuingilia kati, ukiwasanua hawakawii kukuambia wewe ni Kobazi unawaonea wivu manabii wao, acha wapigwe hswaa, kama yule dogo anajiita IPM, ni muislam pure ila nae anajifanya nabii apige ela za wakristo
Nakusanua bro asilimia sabini ya waumini huko ni waislam
 
Back
Top Bottom