Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilimradi tu uwachafue na waislamu, dah! yani shughuli ipo kwako lakini unajidanganya wenye shughuli ni majirani! ... huu ni ujinga wa hali ya juu kabisa!Nakusanua bro asilimia sabini ya waumini huko ni waislam
wewe ndio hujielewi mkuu. Hiyo itabaki kuwa hivyo ukipeleka huko shida ako ukandwe hadi useme na usiposema utasema tu.
Hajachafuliwa mtu,sikiliza au nenda kanisani kwake utawakuta na ndugu zako katika uislamIlimradi tu uwachafue na waislamu, dah! yani shughuli ipo kwako lakini unajidanganya wenye shughuli ni majirani! ... huu ni ujinga wa hali ya juu kabisa!
Kubali kataa ila wakristo wanapigwa sana kwa kutumia jina la UKRISTO na YESU! huyu kajikita kwenye uchawi na wanapiga sana pesa hawa kwa kuwa mentality ya waafrika imejaa dhana ya uchawi, mnadanganywa tu kila siku kwa kuhalalishiwa imani mliyotengenezewa ya kuwadhania uchawi waislamu wakati ibada nyingi zinazoendeshwa makanisani ni za kukemea mapepo na uchawi.
AMKENI, tambueni kipaumbele cha dini siku zote ni kutengeneza maisha yako baada ya haya ya duniani na sio kukufanya uishi kama mfalme hapa duniani. Yani waAfrika tabu sana sisi, wengi tumekalia imani za kichawi chawi tu .... ukikosa kazi basi umelogwa, binti kama hajaolewa basi kalogwa, mtoto amefeli shule basi kalogwa .... Dah!
Ndugu umepanicIlimradi tu uwachafue na waislamu, dah! yani shughuli ipo kwako lakini unajidanganya wenye shughuli ni majirani! ... huu ni ujinga wa hali ya juu kabisa!
Kubali kataa ila wakristo wanapigwa sana kwa kutumia jina la UKRISTO na YESU! huyu kajikita kwenye uchawi na wanapiga sana pesa hawa kwa kuwa mentality ya waafrika imejaa dhana ya uchawi, mnadanganywa tu kila siku kwa kuhalalishiwa imani mliyotengenezewa ya kuwadhania uchawi waislamu wakati ibada nyingi zinazoendeshwa makanisani ni za kukemea mapepo na uchawi.
AMKENI, tambueni kipaumbele cha dini siku zote ni kutengeneza maisha yako baada ya haya ya duniani na sio kukufanya uishi kama mfalme hapa duniani. Yani waAfrika tabu sana sisi, wengi tumekalia imani za kichawi chawi tu .... ukikosa kazi basi umelogwa, binti kama hajaolewa basi kalogwa, mtoto amefeli shule basi kalogwa .... Dah!
Dini ni biashara lo.
Fafanuaanapeleka wakuu wa kata serk za mitaa na ma ocd kila siku kanisan kwake kuwanyamazisha wananchi ati mkongo wa dar aisee anajichubua kila siku kama...
SawaKesho ntapambana kufika kanisani kwake na anapoishi kupata taarifa za majirani, ntazileta humu.
Nimeamua kufanya personal investigative journalism,Kisha ntawapa bure BBC na huku JF.
Stay Tuned.
Wapigwe tu mkuu , ngoja na mimi nijinoe nije ni wabamize tu vile vile.Kwa wakristo acha tu wapigwe hakuna serikali kuingilia kati, ukiwasanua hawakawii kukuambia wewe ni Kobazi unawaonea wivu manabii wao, acha wapigwe hswaa, kama yule dogo anajiita IPM, ni muislam pure ila nae anajifanya nabii apige ela za wakristo
NIiliPELEKWAGA NA JAMAA MMOJA PALE AKANIIINGIZA OFISIN KWAKESHIKA PAKA MAFUTA NAHISI IMEISHA ANATAKA LAK 3 NA TAR YA MWISHO KAMA NIMEHAIDIWA KAZI KHA SIKURUDI TENA SASA HIVI KAMA UNAWEZA FWATILIA KUNA MABIBI WAMESHARE NA PAST MWENZAKE PAST LUMUMBA KAMTIMUA LIVE KANISANThanks sana Burrell ,watu wanatapeliwa kijinga sana ,sijui kwanini wanashindwa kuona USANII wa wazi wazi wa hao MATAPELI kupitia Dini.
Jamaa amejitajirisha sana kwa kuwaibia watu,kwasasa anatoa misaada kuficha WIZI wake ,ametoa DIFENDA tatu kwa kituo cha Polisi kwa ajili ya patrol ,kwasasa anatoa misaada ya kijamii kwenye taasisi mbali mbali ,anagawa fedha elfu 10 kumi sehemu anazopita.
IBADA MBALI MBALI KWA SASA BAADA YA KUTANGAZWA NA MITANDAO ANALETA KANISAN MWENYEKITI SERKL ZA MITAA UNASIKIA TU OOOH LEO TUNA UGEN WA ......ANASIMAMISHWA UNASIKIA ANAONGEA NAOMBA NIWAHAKIKISHIE MKO SALAMA KABISA MSIYUMBISHWEFafanua
[emoji23][emoji23]IBADA MBALI MBALI KWA SASA BAADA YA KUTANGAZWA NA MITANDAO ANALETA KANISAN MWENYEKITI SERKL ZA MITAA UNASIKIA TU OOOH LEO TUNA UGEN WA ......ANASIMAMISHWA UNASIKIA ANAONGEA NAOMBA NIWAHAKIKISHIE MKO SALAMA KABISA MSIYUMBISHWE
NXTY UNASIKIA LEO TUNA OXD KAJA KUTUSALIMIA SAME WORDS LOH
KUNA SIKU ALIDANGANYA WAUMINI ANACHINJA NGOMBE 7 WASIENDE BILA HELA YA CHAKULA MSOSI UKAANZA KUGAIWA SAA 12 JION WATU WASHAGEUKA MAKWAO
MJINI SHULE CHETI MATOKEO TU
Niliona nikashangaa sanaGoogle kiboko ya wachawi amtimua past kanisan ucheke
DuhNA SASA ANAGAWA MISAADA OVYO KUFICHA......ILA IBADAN ANAWAMBIA WAZI ATAKI MUUMMIN MASIKINI ASIETOA SADAKA KUBWAAAA SO WALIOPO SIO SKWANBA AWAJUI UJINGA WAO WANATAKA MAFANIKIO YA HARAKA
KUNA CLIP ANASEMA KANISAN NATOA KAFARA LEO MMMH...NAPITATU