Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeleeee ya waumini hekima ukienda kwa waumin utaambiwa chanzo mzigoooo...Niliona nikashangaa sana
Kwa wakristo acha tu wapigwe hakuna serikali kuingilia kati, ukiwasanua hawakawii kukuambia wewe ni Kobazi unawaonea wivu manabii wao, acha wapigwe hswaa, kama yule dogo anajiita IPM, ni muislam pure ila nae anajifanya nabii apige ela za wakristo
MAMAAA D WENGI WAMEKIMBIA KWA MWAMPOSA AMA NABII MUSA KWAJUFUKUZWA AMA KUKOSA UONGOZIWafuasi wake wengi sio wakristo
Fuatilia utajiambia
Na majina piga usikie we patriot 3 ama 4 hahaNamsikiliza usiku kama comedy. Hasa pale anapojifanya kujua mpiga simu anapitia nini, historia yake...😄
Noma sana Nabii Dominic ni TAPELI nashangaa serikali inaacha anawaibia RAIA ,hana tofauti na WACHEZA KARATA TATU.NIiliPELEKWAGA NA JAMAA MMOJA PALE AKANIIINGIZA OFISIN KWAKESHIKA PAKA MAFUTA NAHISI IMEISHA ANATAKA LAK 3 NA TAR YA MWISHO KAMA NIMEHAIDIWA KAZI KHA SIKURUDI TENA SASA HIVI KAMA UNAWEZA FWATILIA KUNA MABIBI WAMESHARE NA PAST MWENZAKE PAST LUMUMBA KAMTIMUA LIVE KANISAN
BAADAYA JAMAA KUHAIDI KUSANUA ISSUE NZIMA KAMTANGAZA MAJUZI AMEMRUDISHA SEMA KANISAN HATOINGIA ATAKUWA ANAFANYA KAZI ZA OFISIN
JEHENUM IMEKARIBIA
Channel yake ndefu inaonekana mkuuNoma sana Nabii Dominic ni TAPELI nashangaa serikali inaacha anawaibia RAIA ,hana tofauti na WACHEZA KARATA TATU.
AnaJiita Kiboko ya wachawi? Wachawi gani!! Awe makini,nitamhamisha mji.Hii Serikali ipo makini kwa maslahi yke tu, ukiisema vibaya mtandaoni watakutafita kwa mamilioni wakumalize yaani wapo makini kulinda vibarua vyao kuliko mambo ya kishenzi yanayotokea kwa raia
1. Jamaa cha kwanza amejichubua hadi vidole anaficha na gloves kuficha sugu za mkorogo
2. Maombi yke ni wachawi na wanaologa tu utasema mganga
3. Ndevu kapaka rangi na nywele kapiga wey
4. Kazi yake ni kukwanbia mama yako anakuloga jamaa ni msanii na tapeli kabisa
5. Instagram yake akiweka post utaona ina likes 10,000+ kumbe likes zenyewe ananunua ukiaangalia waliolikes utona ni robots accounts
Kama mpiga lamri vile. Hadi moja nimeurekodi. Eti: mwenye nyumba alikuaga siku moja kuwa anaenda Bagamoyo. Anajibu, ndio baba. Na alijikooesha nauli kwako. Ndio baba. Siku hiyo ndipo alipoenda kwa mganga😄Na majina piga usikie we patriot 3 ama 4 haha
ndio silaha ya mjingaUpinde mwingine huyu hapa mnateteana
USSR
Ccm haiwezi kumxhunguza, wanajua kabisa ni tapeli, lakini kwao ni vzr wa Tanganyika waendelee kuumizwa na kuamini shida zao zitatstuliwa kwa maombi na sio uwajibiksji wa serikali, shida zisipoisha, wananchi wanasema Mapenzi, ya, Mungu, hapo mi ccm inafurahi, ujinga uendelee wasilaumiwe wao kwa madudu kibao ya nchi hiiNaomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.
1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.
2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa (staged miracles).
3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha (MUHIMU SANA)
4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.
GENTAMYCINE nilikuwa wa Kwanza kwa KULISEMEA hili na KUWAOMBA Serikali haraka sana wachukue hatua dhidi yake ila WAKAPUUZA na nilipofuatilia nikagundua kuwa licha ya huyu Mpuuzi kuwa ni Tapeli ( Muongo ) 100% ila pia ni Mganga wa Kienyeji na anawasaidia mno Kiushirikina Mawaziri wako Waandamizi Wanne ( 4 ) ambao ndiyo Wanamlinda ( Wanamkingia Kifua ) lakini anamsaidia pia Kiushirikina na Oldest Isles Queen Wenu kama anavyofanyiwa pia ni yule Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) wenu wa Cow Way na Tamasha lake la Mazuzu la Weekend hii.Naomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.
1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.
2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa (staged miracles).
3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha (MUHIMU SANA)
4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.
MAMAAA D WENGI WAMEKIMBIA KWA MWAMPOSA AMA NABII MUSA KWAJUFUKUZWA AMA KUKOSA UONGOZI
NINAO NAWAJUA WALIFIKUZWA NA NABII MUSA KWA UTAPELI TENA WALIFIKA CHEO CHA UKUHANI
WAPO WAZINZI WALIFUKUZWA KWA KUHAN MUSAA.. WAPO NA WENGINE WALISHAMKIMBIA BAADAYAKUONA LUELUE
Naomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.
1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.
2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa (staged miracles).
3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha (MUHIMU SANA)
4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.
Ambacho hamkijui ni kwamba kwa hawa manabii na mitume fake, wanaohudhuria zaidi ni waislamu na wapagani.
Mtu hawi mkristo kwa sababu ya kuhudhuria kanisani.
Hawa wapagani na waislamu hununua sana maji na makokoro mengine wakiaminishwa ni kinga, dawa ya kufanikiwa kibiashara, nk.
WAKIFUKUZWAA MKUU KUNA MAKUHANJ WALIPIGA DIOI ZA MAJI NA MAFUTA WAKAWA WANASISLIANA NA MADADA WA CONGO WAKATOA MZIGO MREFU WAKAGOMA KUFIKISHA WALA KUWATUMIAPdidy wamefukuxwa au wamekimbia wenyewe?