Wizara husika imchunguze Pastor Dominick (kiboko ya wachawi)

Wizara husika imchunguze Pastor Dominick (kiboko ya wachawi)

ENTRY 500K
ANASMA AWEZI KUNGANGANIA MAMIA HUKU WANATOA 50K AMA 100K

BORA WACHACHE WENYE 500K

TAKBIIIIR
 
Kwa wakristo acha tu wapigwe hakuna serikali kuingilia kati, ukiwasanua hawakawii kukuambia wewe ni Kobazi unawaonea wivu manabii wao, acha wapigwe hswaa, kama yule dogo anajiita IPM, ni muislam pure ila nae anajifanya nabii apige ela za wakristo

Wafuasi wake wengi sio wakristo
Fuatilia utajiambia
 
Wafuasi wake wengi sio wakristo
Fuatilia utajiambia
MAMAAA D WENGI WAMEKIMBIA KWA MWAMPOSA AMA NABII MUSA KWAJUFUKUZWA AMA KUKOSA UONGOZI

NINAO NAWAJUA WALIFIKUZWA NA NABII MUSA KWA UTAPELI TENA WALIFIKA CHEO CHA UKUHANI

WAPO WAZINZI WALIFUKUZWA KWA KUHAN MUSAA.. WAPO NA WENGINE WALISHAMKIMBIA BAADAYAKUONA LUELUE
 
Namsikiliza usiku kama comedy. Hasa pale anapojifanya kujua mpiga simu anapitia nini, historia yake...😄
 
KAMSIMAKISHA MKE WAMTU KANISAN ANAMWAMBIA NAKUONA UNA BFRIEND ANATAJA JINA MDADA KAGOMA SINA LOH
 
Attachments

  • Screenshot_20240703-234830_Lite.jpg
    Screenshot_20240703-234830_Lite.jpg
    296.8 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240703-234833_Lite.jpg
    Screenshot_20240703-234833_Lite.jpg
    237.3 KB · Views: 7
NIiliPELEKWAGA NA JAMAA MMOJA PALE AKANIIINGIZA OFISIN KWAKESHIKA PAKA MAFUTA NAHISI IMEISHA ANATAKA LAK 3 NA TAR YA MWISHO KAMA NIMEHAIDIWA KAZI KHA SIKURUDI TENA SASA HIVI KAMA UNAWEZA FWATILIA KUNA MABIBI WAMESHARE NA PAST MWENZAKE PAST LUMUMBA KAMTIMUA LIVE KANISAN

BAADAYA JAMAA KUHAIDI KUSANUA ISSUE NZIMA KAMTANGAZA MAJUZI AMEMRUDISHA SEMA KANISAN HATOINGIA ATAKUWA ANAFANYA KAZI ZA OFISIN

JEHENUM IMEKARIBIA
Noma sana Nabii Dominic ni TAPELI nashangaa serikali inaacha anawaibia RAIA ,hana tofauti na WACHEZA KARATA TATU.
 
Hii Serikali ipo makini kwa maslahi yke tu, ukiisema vibaya mtandaoni watakutafita kwa mamilioni wakumalize yaani wapo makini kulinda vibarua vyao kuliko mambo ya kishenzi yanayotokea kwa raia

1. Jamaa cha kwanza amejichubua hadi vidole anaficha na gloves kuficha sugu za mkorogo

2. Maombi yke ni wachawi na wanaologa tu utasema mganga

3. Ndevu kapaka rangi na nywele kapiga wey

4. Kazi yake ni kukwanbia mama yako anakuloga jamaa ni msanii na tapeli kabisa

5. Instagram yake akiweka post utaona ina likes 10,000+ kumbe likes zenyewe ananunua ukiaangalia waliolikes utona ni robots accounts
AnaJiita Kiboko ya wachawi? Wachawi gani!! Awe makini,nitamhamisha mji.
 
Na majina piga usikie we patriot 3 ama 4 haha
Kama mpiga lamri vile. Hadi moja nimeurekodi. Eti: mwenye nyumba alikuaga siku moja kuwa anaenda Bagamoyo. Anajibu, ndio baba. Na alijikooesha nauli kwako. Ndio baba. Siku hiyo ndipo alipoenda kwa mganga😄
 
Naomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.

1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.

2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa (staged miracles).

3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha (MUHIMU SANA)

4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.
Ccm haiwezi kumxhunguza, wanajua kabisa ni tapeli, lakini kwao ni vzr wa Tanganyika waendelee kuumizwa na kuamini shida zao zitatstuliwa kwa maombi na sio uwajibiksji wa serikali, shida zisipoisha, wananchi wanasema Mapenzi, ya, Mungu, hapo mi ccm inafurahi, ujinga uendelee wasilaumiwe wao kwa madudu kibao ya nchi hii
 
Naomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.

1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.

2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa (staged miracles).

3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha (MUHIMU SANA)

4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.
GENTAMYCINE nilikuwa wa Kwanza kwa KULISEMEA hili na KUWAOMBA Serikali haraka sana wachukue hatua dhidi yake ila WAKAPUUZA na nilipofuatilia nikagundua kuwa licha ya huyu Mpuuzi kuwa ni Tapeli ( Muongo ) 100% ila pia ni Mganga wa Kienyeji na anawasaidia mno Kiushirikina Mawaziri wako Waandamizi Wanne ( 4 ) ambao ndiyo Wanamlinda ( Wanamkingia Kifua ) lakini anamsaidia pia Kiushirikina na Oldest Isles Queen Wenu kama anavyofanyiwa pia ni yule Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) wenu wa Cow Way na Tamasha lake la Mazuzu la Weekend hii.

Pole sana kwa Kupoteza muda wako kwa kuomba wale anaowasaidia Kiushirikina ili wamdhibiti.
 
MAMAAA D WENGI WAMEKIMBIA KWA MWAMPOSA AMA NABII MUSA KWAJUFUKUZWA AMA KUKOSA UONGOZI

NINAO NAWAJUA WALIFIKUZWA NA NABII MUSA KWA UTAPELI TENA WALIFIKA CHEO CHA UKUHANI

WAPO WAZINZI WALIFUKUZWA KWA KUHAN MUSAA.. WAPO NA WENGINE WALISHAMKIMBIA BAADAYAKUONA LUELUE

Pdidy wamefukuxwa au wamekimbia wenyewe?
 
Naomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.

1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.

2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa (staged miracles).

3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha (MUHIMU SANA)

4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.

Viongozi wa dini wana kazi kubwa yakulisaidia taifa kwa kujenga jamii yenye maadili. Wanawaongoza watu kushika amri na sheria za Mungu....

Ila huyu ameweka wazi kabisa analea wazinzi. wadangaji na michepuko sababu tuu wanampatia sadaka.

Huyu ni mchungaji wa kupoteza kondoo wa Mungu kwa kuwapekeka gizani zaidi na sio mchungaji anatafuta kondoo waliopotea

Cc Wizara ya Afya Tanzania

Ambacho hamkijui ni kwamba kwa hawa manabii na mitume fake, wanaohudhuria zaidi ni waislamu na wapagani.

Mtu hawi mkristo kwa sababu ya kuhudhuria kanisani.

Hawa wapagani na waislamu hununua sana maji na makokoro mengine wakiaminishwa ni kinga, dawa ya kufanikiwa kibiashara, nk.
 
Umeandika halafu ukaandika tena makokoro mengine
 
Pdidy wamefukuxwa au wamekimbia wenyewe?
WAKIFUKUZWAA MKUU KUNA MAKUHANJ WALIPIGA DIOI ZA MAJI NA MAFUTA WAKAWA WANASISLIANA NA MADADA WA CONGO WAKATOA MZIGO MREFU WAKAGOMA KUFIKISHA WALA KUWATUMIA

MADADA WAKAENDELEA KUPIGA AWAPOKELEWI WAKAFUNGA SAFARI WAKAKUTANA NA BAJAJI KUULIZA KAA NABII MUSA WAKAAMBIWA 25000 WAKATOA TOKA MAGUFULI STAND

WANAUME WAKAWAPELEKA MPAKA KMR KEEPLEFT WAKAGEUKA WAKAWAPELEKA KWA NABII KUFIKA WAKAMWONA LIVE LIKASAMBUKA WAKAHOJIWA WAKAKIRI WAKAMBIWA WARUDISHE WENGI WALIKOSA KUMALIZIA AKAWAFUKUZA
 
HIYU ALIJAZA NA FOMU KAPIGWA 500000 KAANDIKA NA NAMBA ZAKE
HATAREE
 
Attachments

  • Screenshot_20240704-133613_Lite.jpg
    Screenshot_20240704-133613_Lite.jpg
    370.4 KB · Views: 9
Back
Top Bottom