Wizara husika imchunguze Pastor Dominick (kiboko ya wachawi)

Tatizo ni pale mnapotaka kulazimisha ujinga wenu (kumradhi, hapa nimemaanisha ujinga kwa maana ya kutokulielewa jambo unaloliongelea) kuwa ndio ukweli wa mambo ulivyo.

Vipi unaweza kumshutumu Mtume Muhammad (SAW) kwa mafundisho yake ikiwa yeye ndo aliyefikishia watu Quran iliyoyajaa scientifc evidences? tena evidences nyingi tu ndo zinatambuliwa sasa na science yetu (within our century), e.g. Isostasy knowledge, embryology knowledge, ring composition within quran etc. Yote haya yapo kwenye Quran since it was revealed 14 centuries ago and the human is only able to understand and appreciate this knowledge in our century, bado unamuona mtume ndo mwenye shida na sio wewe?

Ukitaka kuongelea upande mwengine kutoka kwako, jielimishe kwanza.
Haya nayo vipi mkuu nikijikita kwenye hoja ya science kwasasa
1. Fundisho kua shahawa zinatengenezwa(patikana) eneo lililopo katikati ya mapafu na uti wa mgongo ? Wakati eneo sahihi ni kwenye testicles ????? Rejea Surah 86:6-7
2. Fundisho la Dunia ni flat 13:3,15:19,50:7,51:48 nk

3.Jua kuzama topeni 18:86

4. kila kitu kiliumbwa kwa pair wakati gunduzi za sasa zaonyesha Kuna viumbe havipo pair na uzazi unafanyika 51:49

5. Shooting stars ni makombola ya kuulia majini 67:5,15:16-18

Nina muda Leo tunaweza kuendelea mpaka utakapochoka ,Karibu
 
Yoote uliyotaja hapo si mapya, kama una muda wa kutosha mi naomba angalau ingia google na youtube kutafuta majibu ya hayo maswali yako.

In short, maana ulizoziweka ni potofu na zinazotokana na either wrong translation or wrong understanding of the verse in general. Ni kama kwenye original scripture ya Song of Solomon ilivyomtaja Muhammad (SAW) as "Muhammadim" na kwenye bible ikatafsiriwa kama "All together loverly"

Each claim uliyoweka hapo juu ni darasa kamili kabisa, sio issue ya one sentence. So please if u r genuine with ur intentions then please try to learn and understand what is actually meant in the Quran.
 
Mnavyomuandika hivi ndio mnampa headlines na kujulikana zaidi na zaidi. Kikubwa ni kuwa mwenye macho haambiwi tazma. Jamaa kaja kutafuta hela na hela atazipata kwa waumini hao wenye matatizo yao na wasio ambilika. Alafu hilo kanisa kajenga mwenyewe ni la kwake hakuna aliemchangia kibali.

Wacongo walishachungulia na kuona kama watanzania ni malimbukeni wa upako yan wanadanganyika kirahisi na hawatumii akili.

Acha tu apige hela mana wakisanuliwa wanaona watu wanakchukia mchungaji wao
 
Serikali kuhusiana na haya masuala ya imani ni kama vile imewaacha wananchi wajiongoze kwa akili zao, labda tu iwasaidie na wajinga wasiangamie kwa upumbavu wao
 
Mnavyomuandika hivi ndio mnampa headlines na kujulikana zaidi na zaidi. Kikubwa ni kuwa mwenye macho haambiwi tazma. Jamaa kaja kutafuta hela na hela atazipata kwa waumini hao wenye matatizo yao na wasio ambilika. Alafu hilo kanisa kajenga mwenyewe ni la kwake hakuna aliemchangia kibali.

Wacongo walishachungulia na kuona kama watanzania ni malimbukeni wa upako yan wanadanganyika kirahisi na hawatumii akili.

Acha tu apige hela mana wakisanuliwa wanaona watu wanakchukia mchungaji wao
Nchi hii ina wajinga wengi sana

Ova
 
Tupunguze wivu mtu kajitafuta katengeneza brand yake halazimishi watu kwake unaenda kwa shida zako.
Mbona kule tunapokea miujiza ya makontena na hakuna kelele.
 
Kongole sana kwake,aendelee kupiga mpunga tu,mi mwenyewe nachelewa,naomba mnipe link ya kujifunza biblia ili nipigie hela
Nalog off
 
Huna haja ya kujifunza Biblia siku hizi pana wataalamu wa kukumezesha Biblia yote inakaa kichwani,huku ukichagua unataka huduma gani single au dabo.
Single waumini wachache pesa tele,au waumini wengi na pesa nyingi.
Mchek Nana Kwaku Bonsam huyu mwamba yupo Ghana ndo anawapika mitume na manabii wengi wenye majina makubwa duniani.
Wanachana ukurasa wa mwanzo na WA mwisho wa Bible kisha wanakoroga na ndumba zao then unakunywa dawa.
Ukisema tu I profesaizi ye...! s papa profesaizi,pokea makontena....... Wote amen!.
Mjini njoo na akili yako tu pesa utazikuta huku.
 
Unadhani wafia dini watakuelewa
Hili siyo suala la dini huu uhalifu,huyu mtu ni tapeli kabisa na utapeli wake anaunya waziwa kwa nini Serikali inamfumbia macho,na siyo Raia jee uwepo wake hapa nchini ni halali? Ana kibali cha ukazi na ni cha hadhi gani,muwekezaji,mfanyaka au mkimbizi?
 
Nimesikia anakuuliza niue, ya kweli? Na pia nasikia ni mkongoman ni ya kweli?
 
Yoote uliyotaja hapo si mapya, kama una muda wa kutosha mi naomba angalau ingia google na youtube kutafuta majibu ya hayo maswali yako.

In short, maana ulizoziweka ni potofu na zinazotokana na either wrong translation or wrong understanding of the verse in general. Ni kama kwenye original scripture ya Song of Solomon ilivyomtaja Muhammad (SAW) as "Muhammadim" na kwenye bible ikatafsiriwa kama "All together loverly"

Each claim uliyoweka hapo juu ni darasa kamili kabisa, sio issue ya one sentence. So please if u r genuine with ur intentions then please try to learn and understand what is actually meant in the Quran.
Tafsiri Yako na yangu si lazima ifanane kaka ,Mi nimesoma kilichoandikwa nawewe hujakanusha kwa Aya hata Moja zaidi ya story lazima niamini upon biased kwakua ni upande uliosimama .

Tukiachana na hayo vipi kuoa Binti anayekadiliwa kua na umri wa miaka 6-7( Bi Aisha), Tungemsema huku JF ama tungenyamaza?????
 
Mtu anayedai kufufua wafu ni tapeli tu hakuna binadamu mwenye uwezo huo.
Kwann asifufuliwe kwani mchawi anaua mtu hata shetani hana uwezo wa kuitoa roho ya mtu isipokuwa Muumba pekee,wanachofanya wachawi ni kukuficha kiinimacho tu wasio na macho wakuone umekufa.
 
Tafsiri Yako na yangu si lazima ifanane kaka ,Mi nimesoma kilichoandikwa nawewe hujakanusha kwa Aya hata Moja zaidi ya story lazima niamini upon biased kwakua ni upande uliosimama .

Tukiachana na hayo vipi kuoa Binti anayekadiliwa kua na umri wa miaka 6-7( Bi Aisha), Tungemsema huku JF ama tungenyamaza?????
Kabla hatujajadili kuhusu huo umri nikuulize, je unafahamu Marry (mother of Jesus) aliolewa akiwa na miaka mingapi? na alimzaa Jesus akiwa na miaka mingapi?

Ukijishapata majibu naomba tuendelee
 
Back
Top Bottom