Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unapoenda sikusomi Mary mama wa Yesu aliolewa na nabii kwani ?Kabla hatujajadili kuhusu huo umri nikuulize, je unafahamu Marry (mother of Jesus) aliolewa akiwa na miaka mingapi? na alimzaa Jesus akiwa na miaka mingapi?
Ukijishapata majibu naomba tuendelee
Ni narrations zenu wenyewe Boss, and the most popular opinion was that she was 12-16 years of age, the same range when she had a baby Jesus, infact alimzaa Yesu kwanza kabla ya kuolewa.We unapoenda sikusomi Mary mama wa Yesu aliolewa na nabii kwani ?
Biblia haijataja umri wake lakini inakadiliwa ni kati ya miaka 14-19 labda kama kwenye kitabu chenu wametaja umri(lakini angalizo Mariam wa kwenye biblia sio Mariam wenu wa kutunga wa kwenye Quran,Kwasababu kuu mbili,Wenu mnataja kua ni dada wa Aron mbili ,Anatajwa ni mtoto wa Imran) Hence two different people.
Nikiendelea nawewe itakua ni mjadala juu ya mjadala hatutamaliza
Hii miaka ya Mariam umeipata kwenye kitabu Gani kaka?Ni narrations zenu wenyewe Boss, and the most popular opinion was that she was 12-16 years of age, the same range when she had a baby Jesus, infact alimzaa Yesu kwanza kabla ya kuolewa.
Kama alikuwa na miaka 12 alipomzaa Jesus ina maana mimba ilitunga akiwa probably 11 years old! ... sasa turudi kwa Mtume (SAW) na Aisha, ni kweli aliolewa akiwa na miaka 6 na ndoa ilikamilika rasmi (consummation of marriage) akiwa na miaka 9 (after passing the age of puberty).
Ni mungu yuleyule aliyetungisha mimba ya Yesu kwa mwanamke wa miaka 11, pia ni Mungu yuleyule aliemuozesha Aisha kwa Mtume (SAW), kama hili ulikuwa hulijui basi chukua hii.
Nimeshangaa sana ulipohoji eti "kwani Joseph alikuwa nabii?"... lipi kubwa Joseph kutokuwa nabii au Mungu mwenyewe kutungisha mimba ya Yesu kwa Marry?
We upo katika kubishana zaidi kiongozi, na si busara kubishania mambo ya dini.Hii miaka ya Mariam umeipata kwenye kitabu Gani kaka?
Na kutokana na Biblia na Quran Mariam hakuwah kuingiliwa na Yusuph so ni case tofauti kabisa Moh'd alimuingilia bi Aisha katika umri mdogo.
Na Quran inaenda mbali zaidi kua Mariam hata baada ya kumzaa Issa Bin Mariam hakuwah kuingiliwa na mumewe kama ni kweli kufananisha Ishu ya Aisha na Muhammad na Ya Mariam na mumewe ni vitu viwili tofauti,
Mmoja aliingiliwa mwengine hakuingiliwa .
Na huna ushahidi wowote kama Muhammad hakuwahi kumuingilia Bi Aisha kabla hajavunja ungo.
Ikiwa Quran inaruhusu kumuingilia Binti hasiyevunja ungo ni sahihi kufanya hitimisho kua Kuna uwezekano nae alimuingilia mkewe kabla hajavunja ungo
Na ufanya kufulu kusema Mungu kamuozesha mtume bi Aisha,Umekua brainwashed kiasi hiki??????Mungu amuozeshe mtoto wa miaka SITA Muhammad? Useme ni tamaa zake mwenyewe ntakuelewa .Ni narrations zenu wenyewe Boss, and the most popular opinion was that she was 12-16 years of age, the same range when she had a baby Jesus, infact alimzaa Yesu kwanza kabla ya kuolewa.
Kama alikuwa na miaka 12 alipomzaa Jesus ina maana mimba ilitunga akiwa probably 11 years old! ... sasa turudi kwa Mtume (SAW) na Aisha, ni kweli aliolewa akiwa na miaka 6 na ndoa ilikamilika rasmi (consummation of marriage) akiwa na miaka 9 (after passing the age of puberty).
Ni mungu yuleyule aliyetungisha mimba ya Yesu kwa mwanamke wa miaka 11, pia ni Mungu yuleyule aliemuozesha Aisha kwa Mtume (SAW), kama hili ulikuwa hulijui basi chukua hii.
Nimeshangaa sana ulipohoji eti "kwani Joseph alikuwa nabii?"... lipi kubwa Joseph kutokuwa nabii au Mungu mwenyewe kutungisha mimba ya Yesu kwa Marry?
Wewe ndo umeleta huu mjadala kwenye huu Uzi,aliyefanya tufike huku ni wewe Wala si Mimi. kwakua uliyeanzisha umesema tuishie hapa nami naishia hapa.We upo katika kubishana zaidi kiongozi, na si busara kubishania mambo ya dini.
Japo nina mengi ya kusema, mi naona bora tuishie hapa
Unachokihitaji wewe ni elimu ndugu, na ni wazi kabisa kwa namna tunavyokwenda hapa hakuna elimu inapatikana isipokuwa mabishano.Na ufanya kufulu kusema Mungu kamuozesha mtume bi Aisha,Umekua brainwashed kiasi hiki??????Mungu amuozeshe mtoto wa miaka SITA Muhammad? Useme ni tamaa zake mwenyewe ntakuelewa .
Ikiwa unaamini hivyo kua Mungu ndo kawaunganisha Leo naungana rasmi na wanaosema Allah si Mungu tunaemjua ,Ni Mungu mwengine kabisa.
Kuhusu kumuingilia au kutomuingilia bi Aisha tuliache maana sote hatukuwepo nyumbani kwao,Hoja yangu iliyofanya niseme hivyo ipo kwenye statement hizi mbili(Just fallacy)Unachokihitaji wewe ni elimu ndugu, na ni wazi kabisa kwa namna tunavyokwenda hapa hakuna elimu inapatikana isipokuwa mabishano.
Ila niweke sawa kidogo tu ili usipotoshe na wengine, Mtume (SAW) hakumuingilia Aisha alipokuwa na miaka 6.
Kabla ya kukufuru juu ya Allah (Mungu), mi naomba jielimishe kwanza, usichague yaliyomagumu kuyaelewa wewe na kuyafanya ndo msingi wa kumkufurisha Mungu (Allah) .... Mungu huyu huyu unaemuamini wewe alimuamrisha Abraham amchinje mwanawe ... unamkufurisha na hapa pia? si ni Mungu huyu huyu anaetukataza tusiue?
Jitahidi sana usiendeshwe na chuki na propaganda katika dini.
Ni kweli kabisa kuwa Joseph hakuwahi kumwilingilia Mariam kabla ya kuoana. Ila ujue kuwa Joseph alikuwa mtu mstaarabu sana, aliamua kumuepusha Mariam na adhabu ya kupigwa mawe hadi kufa kwa kupata mimba kabla ya ndoa. Kiukweli aliyempa mimba bikra Mariam alikuwa mmojawapo wa maaskari wa utawala wa kirumi. Joseph aliamua kufunika kombe mwanaharamu apite, vinginevyo Mariam angeuawa na kufukiwa kisimani kwa kutumia mawe.Hii miaka ya Mariam umeipata kwenye kitabu Gani kaka?