Wizara husika imchunguze Pastor Dominick (kiboko ya wachawi)

Wapumbavu watabisha
Na wengi bado wapo hapo wanazunguka ingawa limefungwa
Hao wachapwe tu
 
Angalau wengine wataogopa kufanya uhuni wa kidini,ramli chonganishi nk
 
Kuna mtu pia naomba niweke wazi yupo kama spy wake humu

Alikua anadai ana taarifa nimpe namba nilipokataa akagoma kutoka taarifa zaidi

Kuja kuchunguza post zake nakuta aliwahi kupost/kualika watu waende kula ngombe kanisani kwa Kiboko ya wachawi mkesha wa xmass 2023

Tuwe makini ,Mtu huyo ni USSR
Sasa Dominic awe na spy kama mimi ninamzidi kila kitu aje aniajili , mwanzoni nilimuona kama nabii baadae nikagundua hakuna lolote la maana ni utapeli tu so kuona mada zangu alitakiwa ujilidhishe na wakati wa sasa ,sema wewe ni mwanaume mwoga unamuogopa kichaa yule , very pathetic

USSR
 
Naomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.

1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.

2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa (staged miracles).

3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha (MUHIMU SANA)

4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.
Niliwazaaaaaaa..nikajiona ramli chonganishi
 
Angalau wengine wataogopa kufanya uhuni wa kidini,ramli chonganishi nk
Mimi ndio kilimshataki wizara bila kupepesa macho na hapa nilimpm waziri Dorothy Gwajima akanielekeza wizara ya mambo ya ndani kwa hoja moja kuu kuwa "Dominic akiwa redioni hasemi kuqa kumuona ni hela la mtu akifika pale anatajiwa hela ,nikasema huo ni utapeli" wewe ulibakia kulialia hapa bila hatua stahiki

USSR
 
Niliwazaaaaaaa..nikajiona ramli chonganishi
Mimi nilifika pale baada ya muda nikaona usanii sana kuna jamaa alikuja kama mlemavu wa strock akasombewa baada ya wiki nikamuona stand kwa lulenge kumuuliza akasema ilikuwa sanaa tu alisema maisha magumu kaka

Hahahahaha, jamaa alivuta ngapi?
 
Mimi ndio kilimshataki wizara bila kupepesa macho na hapa nilimpm waziri Dorothy Gwajima akanielekeza wizara ya mambo ya ndani kwa hoja moja kuu kuwa "Dominic akiwa redioni hasemi kuqa kumuona ni hela la mtu akifika pale anatajiwa hela ,nikasema huo ni utapeli" wewe ulibakia kulialia hapa bila hatua stahiki

USSR
Unajua nlichofanya ????

Hiyo wizara bila mwananchi wangefanya Nini?

Kwanini ulikua muoga kutoa ushirikiano kama ulikua na nia ya dhati?? Ulitaka mlungula kumuumbua mdhambi?
 
Waambie kua wewe pia ulikua ni sehemu ya miujiza feki
Nakwambia ww kilaza kuwa mm nilikuwa mashariki wa muda sana pale ,nimesali kama wanavyosali wengine

USSR
 
Sasa Dominic awe na spy kama mimi ninamzidi kila kitu aje aniajili , mwanzoni nilimuona kama nabii baadae nikagundua hakuna lolote la maana ni utapeli tu so kuona mada zangu alitakiwa ujilidhishe na wakati wa sasa ,sema wewe ni mwanaume mwoga unamuogopa kichaa yule , very pathetic

USSR
Wewe ungekua unamzidi kila kitu husingeshirikiana nae kwenye uongo wako wa kuwaita watu waende kanisani kwake.
 
Unajua nlichofanya ????

Hiyo wizara bila mwananchi wangefanya Nini?

Kwanini ulikua muoga kutoa ushirikiano kama ulikua na nia ya dhati?? Ulitaka mlungula kumuumbua mdhambi?
Nikupe ushirikiano na kufahamu wewe ndio mwoga hata namba uliogopa kutoa ila mm nilikupa nilivyoona mwoga nikajua hamna mtu hapa

USSR
 
Nakwambia ww kilaza kuwa mm nilikuwa mashariki wa muda sana pale ,nimesali kama wanavyosali wengine

USSR
Acha kuongopea Wanajukwaa ,wakawaida ungekua na taarifa za Kiboko kumpa mimba Liu?

Why ulikua unafuta text zako inbox? Kwa taarifa tu nlikua na screen shot na nimewapa mwananchi na wao kuamua kwenda.

Nilitaka tuungane kumuumbua wewe ukataka namba zangu na mkwanja kutoa taarifa za Kiboko,Hukua na ni njema
 
Nikupe ushirikiano na kufahamu wewe ndio mwoga hata namba uliogopa kutoa ila mm nilikupa nilivyoona mwoga nikajua hamna mtu hapa

USSR
Wewe kwanini ulikua unafuta text?
 
Acha kuongopea Wanajukwaa ,wakawaida ungekua na taarifa za Kiboko kumpa mimba Liu?

Why ulikua unafuta text zako inbox? Kwa taarifa tu nlikua na screen shot na nimewapa mwananchi na wao kuamua kwenda.

Nilitaka tuungane kumuumbua wewe ukataka namba zangu na mkwanja kutoa taarifa za Kiboko,Hukua na ni njema
Weka screen shot hapa acha kelele

USSR
 
Back
Top Bottom