Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wapumbavu watabisha
Na wengi bado wapo hapo wanazunguka ingawa limefungwa
Hao wachapwe tu
Na wengi bado wapo hapo wanazunguka ingawa limefungwa
Hao wachapwe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Dominic awe na spy kama mimi ninamzidi kila kitu aje aniajili , mwanzoni nilimuona kama nabii baadae nikagundua hakuna lolote la maana ni utapeli tu so kuona mada zangu alitakiwa ujilidhishe na wakati wa sasa ,sema wewe ni mwanaume mwoga unamuogopa kichaa yule , very patheticKuna mtu pia naomba niweke wazi yupo kama spy wake humu
Alikua anadai ana taarifa nimpe namba nilipokataa akagoma kutoka taarifa zaidi
Kuja kuchunguza post zake nakuta aliwahi kupost/kualika watu waende kula ngombe kanisani kwa Kiboko ya wachawi mkesha wa xmass 2023
Tuwe makini ,Mtu huyo ni USSR
Niliwazaaaaaaa..nikajiona ramli chonganishiNaomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.
1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.
2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa (staged miracles).
3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha (MUHIMU SANA)
4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.
Mimi ndio kilimshataki wizara bila kupepesa macho na hapa nilimpm waziri Dorothy Gwajima akanielekeza wizara ya mambo ya ndani kwa hoja moja kuu kuwa "Dominic akiwa redioni hasemi kuqa kumuona ni hela la mtu akifika pale anatajiwa hela ,nikasema huo ni utapeli" wewe ulibakia kulialia hapa bila hatua stahikiAngalau wengine wataogopa kufanya uhuni wa kidini,ramli chonganishi nk
Mimi nilifika pale baada ya muda nikaona usanii sana kuna jamaa alikuja kama mlemavu wa strock akasombewa baada ya wiki nikamuona stand kwa lulenge kumuuliza akasema ilikuwa sanaa tu alisema maisha magumu kakaNiliwazaaaaaaa..nikajiona ramli chonganishi
Hahahahaha, jamaa alivuta ngapi?Mimi nilifika pale baada ya muda nikaona usanii sana kuna jamaa alikuja kama mlemavu wa strock akasombewa baada ya wiki nikamuona stand kwa lulenge kumuuliza akasema ilikuwa sanaa tu alisema maisha magumu kaka
USSR
Hahahahaha, jamaa alivuta ngapi
10K to 15K mbn ndogo sana kwa uongo wanafanya? Hy kamati ndio huratibu hao watu ?Wale hupewa kati ya 10000-15000 inategemea na hayo maigizo
Kuna kamati ya miujiza kabisa
USSR
Mbona haumalizii ako kamsemo?Ukiwasanua kwa huyu watahamia pengine so wacha wapigwe tu
Hiyo kwa mtu wa Buza ni pesa ndefu sana10K to 15K mbn ndogo sana kwa uongo wanafanya? Hy kamati ndio huratibu hao watu ?
Unajua nlichofanya ????Mimi ndio kilimshataki wizara bila kupepesa macho na hapa nilimpm waziri Dorothy Gwajima akanielekeza wizara ya mambo ya ndani kwa hoja moja kuu kuwa "Dominic akiwa redioni hasemi kuqa kumuona ni hela la mtu akifika pale anatajiwa hela ,nikasema huo ni utapeli" wewe ulibakia kulialia hapa bila hatua stahiki
USSR
Nakwambia ww kilaza kuwa mm nilikuwa mashariki wa muda sana pale ,nimesali kama wanavyosali wengineWaambie kua wewe pia ulikua ni sehemu ya miujiza feki
Wewe ungekua unamzidi kila kitu husingeshirikiana nae kwenye uongo wako wa kuwaita watu waende kanisani kwake.Sasa Dominic awe na spy kama mimi ninamzidi kila kitu aje aniajili , mwanzoni nilimuona kama nabii baadae nikagundua hakuna lolote la maana ni utapeli tu so kuona mada zangu alitakiwa ujilidhishe na wakati wa sasa ,sema wewe ni mwanaume mwoga unamuogopa kichaa yule , very pathetic
USSR
Nikupe ushirikiano na kufahamu wewe ndio mwoga hata namba uliogopa kutoa ila mm nilikupa nilivyoona mwoga nikajua hamna mtu hapaUnajua nlichofanya ????
Hiyo wizara bila mwananchi wangefanya Nini?
Kwanini ulikua muoga kutoa ushirikiano kama ulikua na nia ya dhati?? Ulitaka mlungula kumuumbua mdhambi?
Acha kuongopea Wanajukwaa ,wakawaida ungekua na taarifa za Kiboko kumpa mimba Liu?Nakwambia ww kilaza kuwa mm nilikuwa mashariki wa muda sana pale ,nimesali kama wanavyosali wengine
USSR
Weka screen shot hapa acha keleleAcha kuongopea Wanajukwaa ,wakawaida ungekua na taarifa za Kiboko kumpa mimba Liu?
Why ulikua unafuta text zako inbox? Kwa taarifa tu nlikua na screen shot na nimewapa mwananchi na wao kuamua kwenda.
Nilitaka tuungane kumuumbua wewe ukataka namba zangu na mkwanja kutoa taarifa za Kiboko,Hukua na ni njema
Kwa kuwa nilikuwa nimeshawapa wakubwa sikuona umuhimu wasambaza kabwa ya majadiliano ya hukumuWewe kwanini ulikua unafuta text?