Wizara husika imchunguze Pastor Dominick (kiboko ya wachawi)

Kanisani kwa Kiboko ya Wachawi
KANISA.jpg
 
Nyumbani kwa Kiboko ya Wachawi(Zaka na Sadaka + gharama ya kumuona)

IMG_20240711_070057.jpg
 
Compare and contrast,,Nyumba ya Mungu na Nyumba ya Mtumishi
 
Kabla hatujajadili kuhusu huo umri nikuulize, je unafahamu Marry (mother of Jesus) aliolewa akiwa na miaka mingapi? na alimzaa Jesus akiwa na miaka mingapi?

Ukijishapata majibu naomba tuendelee
We unapoenda sikusomi Mary mama wa Yesu aliolewa na nabii kwani ?

Biblia haijataja umri wake lakini inakadiliwa ni kati ya miaka 14-19 labda kama kwenye kitabu chenu wametaja umri(lakini angalizo Mariam wa kwenye biblia sio Mariam wenu wa kutunga wa kwenye Quran,Kwasababu kuu mbili,Wenu mnataja kua ni dada wa Aron mbili ,Anatajwa ni mtoto wa Imran) Hence two different people.

Nikiendelea nawewe itakua ni mjadala juu ya mjadala hatutamaliza
 
Ni narrations zenu wenyewe Boss, and the most popular opinion was that she was 12-16 years of age, the same range when she had a baby Jesus, infact alimzaa Yesu kwanza kabla ya kuolewa.

Kama alikuwa na miaka 12 alipomzaa Jesus ina maana mimba ilitunga akiwa probably 11 years old! ... sasa turudi kwa Mtume (SAW) na Aisha, ni kweli aliolewa akiwa na miaka 6 na ndoa ilikamilika rasmi (consummation of marriage) akiwa na miaka 9 (after passing the age of puberty).

Ni mungu yuleyule aliyetungisha mimba ya Yesu kwa mwanamke wa miaka 11, pia ni Mungu yuleyule aliemuozesha Aisha kwa Mtume (SAW), kama hili ulikuwa hulijui basi chukua hii.

Nimeshangaa sana ulipohoji eti "kwani Joseph alikuwa nabii?"... lipi kubwa Joseph kutokuwa nabii au Mungu mwenyewe kutungisha mimba ya Yesu kwa Marry?
 
Hii miaka ya Mariam umeipata kwenye kitabu Gani kaka?

Na kutokana na Biblia na Quran Mariam hakuwah kuingiliwa na Yusuph so ni case tofauti kabisa Moh'd alimuingilia bi Aisha katika umri mdogo.

Na Quran inaenda mbali zaidi kua Mariam hata baada ya kumzaa Issa Bin Mariam hakuwah kuingiliwa na mumewe kama ni kweli kufananisha Ishu ya Aisha na Muhammad na Ya Mariam na mumewe ni vitu viwili tofauti,

Mmoja aliingiliwa mwengine hakuingiliwa .

Na huna ushahidi wowote kama Muhammad hakuwahi kumuingilia Bi Aisha kabla hajavunja ungo.

Ikiwa Quran inaruhusu kumuingilia Binti hasiyevunja ungo ni sahihi kufanya hitimisho kua Kuna uwezekano nae alimuingilia mkewe kabla hajavunja ungo
 
We upo katika kubishana zaidi kiongozi, na si busara kubishania mambo ya dini.

Japo nina mengi ya kusema, mi naona bora tuishie hapa
 
Na ufanya kufulu kusema Mungu kamuozesha mtume bi Aisha,Umekua brainwashed kiasi hiki??????Mungu amuozeshe mtoto wa miaka SITA Muhammad? Useme ni tamaa zake mwenyewe ntakuelewa .

Ikiwa unaamini hivyo kua Mungu ndo kawaunganisha Leo naungana rasmi na wanaosema Allah si Mungu tunaemjua ,Ni Mungu mwengine kabisa.
 
Wewe ndo umeleta huu mjadala kwenye huu Uzi,aliyefanya tufike huku ni wewe Wala si Mimi. kwakua uliyeanzisha umesema tuishie hapa nami naishia hapa.

Tuendelee na Kiboko ya Wachawi.
 
Na ufanya kufulu kusema Mungu kamuozesha mtume bi Aisha,Umekua brainwashed kiasi hiki??????Mungu amuozeshe mtoto wa miaka SITA Muhammad? Useme ni tamaa zake mwenyewe ntakuelewa .

Ikiwa unaamini hivyo kua Mungu ndo kawaunganisha Leo naungana rasmi na wanaosema Allah si Mungu tunaemjua ,Ni Mungu mwengine kabisa.
Unachokihitaji wewe ni elimu ndugu, na ni wazi kabisa kwa namna tunavyokwenda hapa hakuna elimu inapatikana isipokuwa mabishano.

Ila niweke sawa kidogo tu ili usipotoshe na wengine, Mtume (SAW) hakumuingilia Aisha alipokuwa na miaka 6.

Kabla ya kukufuru juu ya Allah (Mungu), mi naomba jielimishe kwanza, usichague yaliyomagumu kuyaelewa wewe na kuyafanya ndo msingi wa kumkufurisha Mungu (Allah) .... Mungu huyu huyu unaemuamini wewe alimuamrisha Abraham amchinje mwanawe ... unamkufurisha na hapa pia? si ni Mungu huyu huyu anaetukataza tusiue?

Jitahidi sana usiendeshwe na chuki na propaganda katika dini.
 
Kuhusu kumuingilia au kutomuingilia bi Aisha tuliache maana sote hatukuwepo nyumbani kwao,Hoja yangu iliyofanya niseme hivyo ipo kwenye statement hizi mbili(Just fallacy)
Ikiwa Quran inaruhusu Binti hasiyevunja ungo kuingiliwa na kwakua Muhammad ndie aliyepokea hiyo quran,Hivyo Aisha atakua aliingiliwa(Si lazima iwe sahihi)

Kwenye hoja ya pili kua Mungu si Allah na Allah si Mungu Wala sio kufuru

Angalia mafundisho yafuatayo yanaonyesha kua ni viwili tofauti,Haiwezekani mmoja afundishe kingine na mwengine kingine

Kushoto kuoa Wake wanne
Kulia kuoa mke mmoja

Kushoto unaweza kumuingilia mke wa mtumwa wako
Kulia husizini

Kushoto mbinguni Kuna mabikra,mito ya pombe
Kulia fundisho ilo halipo

Kushoto kuua kafiri ni ruksa utaiona Pepo
Kulia usiue

Kushoto kuchinja mbuzi wawili wa hakika kwa mtoto wa kiume na mmoja kwa wakike(fundisho la Allah)
Kulia fundisho ilo halipo

Kushoto Yesu hakusulubiwa msalabani bali mtu mwengine alipewa sura yake na sauti
Kulia Yesu alikufa msalabani ,akazikwa siku ya tatu akafufuka

Kushoto Yesu alioa
Kulia Yesu hakuoa

Kushoto Kuna majini wazuri na wabaya
Kulia majini yote ni mabaya

Kushoto majini pia huingia msikitini na kuswali
Kulia Majini hayaingii kanisani na kusali

Kushoto Ukiingia chooni tanguliza mguu Fulani na useme Dua hii
Kulia hakuna mguu maalum wa kuingilia chooni

Kwa kuangalia hayo machache utaona kua ,Haiwezekani Mungu mmoja kua na mafundisho tofauti tofauti , Inaonyesha Allah na Mungu ni tofauti.

Japo siwezi kataa kua Allah ni mungu,Nakataa kua ni Mungu.

Na nahisi ndio maana Moja ya msingi mkuu wa Imani Yako(kwa kujihami) ni there is no other god but Allah "Defensive mechanism"
 
Wachangiaji tafadhali msitoke kwenye mada kuu. Hapa anazungumziwa Dominick. Ningependa kujua BACKGROUND YAKE... dume30 dadavua tafadhali...
 
Huyu tapeli ni Muislam jina lake halisi ni Hassan Wamba ni raia wa DRC. Akamatwe mara moja,afilisiwe na arusishwe kwao
 
Hii miaka ya Mariam umeipata kwenye kitabu Gani kaka?

Na kutokana na Biblia na Quran Mariam hakuwah kuingiliwa na Yusuph so ni case tofauti kabisa Moh'd alimuingilia bi Aisha katika umri mdogo.

Na Quran inaenda mbali zaidi kua Mariam hata baada ya kumzaa Issa Bin Mariam hakuwah kuingiliwa na mumewe kama ni kweli kufananisha Ishu ya Aisha na Muhammad na Ya Mariam na mumewe ni vitu viwili tofauti,

Mmoja aliingiliwa mwengine hakuingiliwa .

Na huna ushahidi wowote kama Muhammad hakuwahi kumuingilia Bi Aisha kabla hajavunja ungo.

Ikiwa Quran inaruhusu kumuingilia Binti hasiyevunja ungo ni sahihi kufanya hitimisho kua Kuna uwezekano nae alimuingilia mkewe kabla hajavunja ungo
Ni kweli kabisa kuwa Joseph hakuwahi kumwilingilia Mariam kabla ya kuoana. Ila ujue kuwa Joseph alikuwa mtu mstaarabu sana, aliamua kumuepusha Mariam na adhabu ya kupigwa mawe hadi kufa kwa kupata mimba kabla ya ndoa. Kiukweli aliyempa mimba bikra Mariam alikuwa mmojawapo wa maaskari wa utawala wa kirumi. Joseph aliamua kufunika kombe mwanaharamu apite, vinginevyo Mariam angeuawa na kufukiwa kisimani kwa kutumia mawe.
 
Nawashukuru wote tuliopaza sauti juu ya Kiboko ya wachawi.

Hatimaye kanisa la buza kwa lulenge limefungwa
 
Kuna mtu pia naomba niweke wazi yupo kama spy wake humu

Alikua anadai ana taarifa nimpe namba nilipokataa akagoma kutoka taarifa zaidi

Kuja kuchunguza post zake nakuta aliwahi kupost/kualika watu waende kula ngombe kanisani kwa Kiboko ya wachawi mkesha wa xmass 2023

Tuwe makini ,Mtu huyo ni USSR
 
Nikiweka hapa taarifa za siri na uhakika kuhusu huduma ya kiboko ya wachawi kesho watu hawataki kwenda pale ,najua mengi na nimejuta kuyajua I was one core

USSR
Huyu hapa
 
Hongera Tena Kwa wote tuliopaza sauti
 
Back
Top Bottom