dume30
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 549
- 530
- Thread starter
- #201
Haya nayo vipi mkuu nikijikita kwenye hoja ya science kwasasaTatizo ni pale mnapotaka kulazimisha ujinga wenu (kumradhi, hapa nimemaanisha ujinga kwa maana ya kutokulielewa jambo unaloliongelea) kuwa ndio ukweli wa mambo ulivyo.
Vipi unaweza kumshutumu Mtume Muhammad (SAW) kwa mafundisho yake ikiwa yeye ndo aliyefikishia watu Quran iliyoyajaa scientifc evidences? tena evidences nyingi tu ndo zinatambuliwa sasa na science yetu (within our century), e.g. Isostasy knowledge, embryology knowledge, ring composition within quran etc. Yote haya yapo kwenye Quran since it was revealed 14 centuries ago and the human is only able to understand and appreciate this knowledge in our century, bado unamuona mtume ndo mwenye shida na sio wewe?
Ukitaka kuongelea upande mwengine kutoka kwako, jielimishe kwanza.
1. Fundisho kua shahawa zinatengenezwa(patikana) eneo lililopo katikati ya mapafu na uti wa mgongo ? Wakati eneo sahihi ni kwenye testicles ????? Rejea Surah 86:6-7
2. Fundisho la Dunia ni flat 13:3,15:19,50:7,51:48 nk
3.Jua kuzama topeni 18:86
4. kila kitu kiliumbwa kwa pair wakati gunduzi za sasa zaonyesha Kuna viumbe havipo pair na uzazi unafanyika 51:49
5. Shooting stars ni makombola ya kuulia majini 67:5,15:16-18
Nina muda Leo tunaweza kuendelea mpaka utakapochoka ,Karibu