Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muache apige hela aiseeNaomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.
1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.
2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa (staged miracles).
3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha (MUHIMU SANA)
4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.
King Kong III wanatumia nguvu za giza kuwapumbaza waumini wao, ndio maana waumini hawashtuki!Thanks sana Burrell ,watu wanatapeliwa kijinga sana ,sijui kwanini wanashindwa kuona USANII wa wazi wazi wa hao MATAPELI kupitia Dini.
Jamaa amejitajirisha sana kwa kuwaibia watu,kwasasa anatoa misaada kuficha WIZI wake ,ametoa DIFENDA tatu kwa kituo cha Polisi kwa ajili ya patrol ,kwasasa anatoa misaada ya kijamii kwenye taasisi mbali mbali ,anagawa fedha elfu 10 kumi sehemu anazopita.
King Kong III wanatumia nguvu za giza kuwapumbaza waumini wao, ndio maana waumini hawashtuki!
Ukishakuwa muumini wa madhabahu ya pastor "feki" kama huyu kutoka ni vigumu.
Kwenda kumuona tu bila 500,000 huwezi muona!! Ni bonge la tapeli, na serikali ina mchekea tu kwani mpiga ramliNaomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.
1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.
2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa (staged miracles).
3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha (MUHIMU SANA)
4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.
Wache wapigwe akili ziwakae sawaNaomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.
1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.
2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa (staged miracles).
3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha (MUHIMU SANA)
4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.
Ubarikiwe mkuu, umesema jambo nyeti sana.Jumapili wajinga wananipanga barabarani wakimsubiri awagawie elfu 10 kisha awaibie nyota zao waanze kupata shida.
Unaandika kama hujielewi vile unajua tofauti ya kanisa na hospitalkwani wanapelekwa? si wananenda wenyewe? hata huko Hospitali watu wanakufa hadi mochwari inajaa kama Hoja ni watu kufa.
Matumizi ya pesa mtaani anazogawaMkuu Kuna kiashilia gani kilichokupa wasiwasi Hadi unahisi Pastor Dominick anatakatisha fedha ?
Defender tatu azitoe wapi gari yake tu hata defender moja haifikiThanks sana Burrell ,watu wanatapeliwa kijinga sana ,sijui kwanini wanashindwa kuona USANII wa wazi wazi wa hao MATAPELI kupitia Dini.
Jamaa amejitajirisha sana kwa kuwaibia watu,kwasasa anatoa misaada kuficha WIZI wake ,ametoa DIFENDA tatu kwa kituo cha Polisi kwa ajili ya patrol ,kwasasa anatoa misaada ya kijamii kwenye taasisi mbali mbali ,anagawa fedha elfu 10 kumi sehemu anazopita.
wewe ndio hujielewi mkuu. Hiyo itabaki kuwa hivyo ukipeleka huko shida ako ukandwe hadi useme na usiposema utasema tu.Unaandika kama hujielewi vile unajua tofauti ya kanisa na hospital
USSR
Hawa wajinga hawajui kinachotendeka katika ulimwengu wa rohoni.Ubarikiwe mkuu, umesema jambo nyeti sana.
ukichunguza kwa makini kuhusu utendaji kazi wa serikali yetu hii ni wa staili hiyohiyo ya huyo nabii kiboko ya wachawi ni uchonganishi unafki na uwongo.. sasa katika mazingira kama hayo hawataweza sanasana wanamuona ni mtoto mdogo tu anajitafuta kiridhiki chake huko uswahilini..!Naomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.
1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.
2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa (staged miracles).
3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha (MUHIMU SANA)
4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.
Na mzinzi wa wake za watuNaomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.