Taja kilichofanyika. Hayo mabarabara yenu na takataka nyingine zinazoharibika kila mvua ikinyeshaKama hujui kinachofanyika nchini,funga bakuli lako, kama hujui makusanyo yanaishia wapi, hupaswi hata kuhoji kuhusu kukopa,maana ni buyu tupu umebeba huko juu
Nimesema kama hujui kinachofanyika funga bakuliTaja kilichofanyika. Hayo mabarabara yenu na takataka nyingine zinazoharibika kila mvua ikinyesha
Hiyo SGR ya mchongo mliyopigwa pesa
Head of the state alisema pesa zinaenda kwenye mifuko yenu. Are you informed than her ?
Ukitembelea nchi za watu ndiyo kutakua hakuna kinachofanyika nchini,we *** wa wapi?!..umejaza mavi kichwani!!Hakuna kinachofanyika. Toka hapo Shimoni. Tembea nchi za watu ufute ukoko wa kichwani mwako
Akili yako imefungwa kama sandwich
Wewe unaushahidi gani kwamba inadaiwa,? usinilete habari za media.Kwamba marekani haidawi
Ukiniweka ignore list inanipunguzia nini we mchimba chumviDogo wewe ni caged bird , nakuweka kwenye ignore list
Unataka habari za nani!?..nyi watu mmechanganyikiwa!?Wewe unaushahidi gani kwamba inadaiwa,? usinilete habari za media.
Wewe ndiye uliyechanganyikiwa kuilinfanisha TZ na USAUnataka habari za nani!?..nyi watu mmechanganyikiwa!?
Na katununulia treni mitumba za kizamaniWewe ni mpumbavu,
Jibu hoja iliyopo, mbona unapuyanga kama ubongo wako umejaa michuzi ya bendera ya kijani?
Zaidi ya 30.t. zimetumika kwenye nini?
Unajua 30.t zinaweza kujenga JKNHP mangapi na Madaraja mangapi kama Busisi,