#COVID19 Wizara ya Afya: Hadi Agosti 7, 2021, watu 105,745 walikuwa wamepatiwa chanjo ya UVIKO-19

Kwa hiyo mpaka sasa tuna mazombi zaidi ya laki moja ? Yameshaanza kula nyama za watu?
 
nami pia ntakuwa wa mwisho kuchanjwa

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kumbuka hapa ni for selected centers tu.

Hivyo zikiwepo chanjo za kutosha maana yake vituo vitaongezeka,idadi pia itakuwa kubwa.

Haitahitaji mwezi kuchanja watu milioni 30.
Hana anachojua huyo mwana sayansi.
 
Mwenzio anazungumzia centers wewe unakuja na habari zako za kujifurahisha, mwanasayansi wa wapi wewe!.
 
Unatumiaje namba ambazo zinaweza kubadilika wakati wowote, hiyo sio kama unavyosema moja na moja ni mbili na dunia nzima inajua hivyo, idadi ya watu wanaopata chanjo ya Corona inaweza kuongezeka wakati wowote, fact ndogo tu but huielewi.
 
Rekebisha takwimu zako wanaochanjwa ni miaka 18 na kuendelea

Na pia chanjo ya Jensen haina booster shot

Mengine wacha tusikilizie kwanza waliotangulia😂😂

Mimi binafsi nishajitoa muhanga nimechanja wengine tulieni muangalie tukiwa mazombie mkimbie msichanje. Manaaake mazungu majanja janja sana
 
Mkuu nikifanya marekebisho kwenye takwimu nikaweka na vijana wa 18, hapo watahaohitajika kuchwanjwa watafika 40m, watoto, under 18 wako karibu 20m jumla tutakua 60m.

Lakini pia mkuu kampuni zote za chanjo zinatazamiwa kutoa booster shot ikiwemo J&J.

 
Unatumiaje namba ambazo zinaweza kubadilika wakati wowote, hiyo sio kama unavyosema moja na moja ni mbili na dunia nzima inajua hivyo, idadi ya watu wanaopata chanjo ya Corona inaweza kuongezeka wakati wowote, fact ndogo tu but huielewi.
Inaweza kuongezeka kutokana na nini, hiyo fact yako basis yake iko wapi?
 
Mwanzo mzuri, ndugu zangu tuchanje tuacheni imani potofu
 
Wanasema kabla ya kuchanjwa unatakiwa kupimwa kwanza kama una maambukizi au la!! Wataalamu mnalizungumziaje hili? Kama ni kweli je hao wote waliopata chanjo walipimwa?
 
Mbona tunalazimishana hzi chanjo?
Basi iwe hivi, km unataka chanjo, ukishakuwa chanja ww ndye ujikinge na ambao hawajachanja!

Kwani hukulazimishwa kuchanjwa Bali Ni hiari yako.
Iwe km matumizi ya condomu, iwe Ni hiari ya mtumiaji.

Hii dunia Ni yetu sote.Tusianze kuwekeana masharti magumu ya kuishi wakati kila mtu ana haki ya kuishi.

Umechanja, fine.hujachanja fine
 
Poor planning, tunataka kuonyesha dunia kuwa nasisi tuna chanja, ndio maana kila mtu anakuja na takwimu zake, lakini hawasemi chanjo hizo ni kweli zinazuia? kama ndio kwa nini maambuki mapya USA yaibuke tena na kuanza kudai booster?
 
Kuna wakati wajinga kama wewe walikuwa wanakuwa banned katika hili jukwaa. Lakini inaelekea sasa hivi lunatics mmeachiwa mtawale asylum. Ni watu kama nyinyi ndio mmepunguza credibility ya hili jukwaa na kuligeuza sehemu ya watoto wajinga kama wewe kuligeuza uwanja wa matusi.
You are beyond contempt.

Amandla...
 
Unawaza nini mzee? Mbona vitu ni rahisi pia.

Ni factors zipi unatumia?

Changamoto kubwa ni utayari wa watu kuchanjwa na uwepo wa chanjo.

Miundombinu haina shida. Hata wiki tu tunaweza chanja 30m+.
 
SAFI SANA TUNATAMANI WATU KAMA NYIE NDO MNAUPIGA MWINGI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…