Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu unadhani wote wanaenda interview za kuandika wapo watu hawajui kuandika wala hicho kizungu cha kuunga ila kwa kazi zao wanapiga pesa ndefu Sana kwa mwezi...Mkurugenzi. Sio mkulugenzi
Mara ya mwisho. Sio mala ya mwisho
Huzuni. Sio hudhuni.
Darura. Sio dharula.
Halafu. Sio alafu.
Bora usiende kwenye huo usaili, ungepoteza nauli na tozo ya kipimo. Hujui kuandika Kiswahili, utaweza nini, kupikia chai maofisa?
Hapo kaleta chuki ya kuona wewe umesema unaenda kutafuta kazi nje ya Nchi tu hakuna kingine hao mpaka uzi wa taarifa ya ajali wao wapo busy kujifanya kukosoa....Ungeweza kurekebisha tu bila kejeli zako, hii sio mada ya kujifunza lugha ya kiswahili ndugu, i hate this kind/level of stupidity , watu wanaleta thread zao badala ya kurekebisha tu palipokosewa mtu unaanza kukejeli as if you are perfect in everything.
Ndefu sana. Sio ndefu Sana.Mkuu unadhani wote wanaenda interview za kuandika wapo watu hawajui kuandika wala hicho kizungu cha kuunga ila kwa kazi zao wanapiga pesa ndefu Sana kwa mwezi...
Muda mwingine ni simu tuu hizi tembea uone ukibaki umejifungia bandani utabaki kubisha tuu...Ndefu sana. Sio ndefu Sana.
Usichanganye herufi kubwa na ndogo katikati ya tungo.
Unaenda nje ya nchi kufanya usaili mtu kuandika Kiswahili hujui, utapiga hela ndefu kwa kazi gani ya kuajiriwa, kuchimba bomba la mafuta? Brunei labda, sio Uganda!
Usiende kupoteza nauli na tozo ya kipimo cha Covid, utarudi na hasara na maambukizi ya Covid. Kaa chini jifunze kwanza kusoma na kuandika.
Sijajifungia bandani, nimetembea tembea duniani. Sijafika kote lakini viwanja tajiri kuliko vyote duniani nimefika, nikaona.Muda mwingine ni simu tuu hizi tembea uone ukibaki umejifungia bandani utabaki kubisha tuu...
Serikali ya wanyongeNa bado ukifikia aiport unachajiwa 57,500 tena wanataka cash
Hi ni gharama ya nini tena?Na bado ukifikia aiport unachajiwa 57,500 tena wanataka cash
Kwako waziri wetu wa Afya Dr. Gwajima.
Sijajua sababu ilofanya hadi muweke bei ghari hivyo kuoata hichi kipimo kwa wanaosafiri, kipimo ni 235,000 Tsh. (100 USD) , hii sio sawa kiukweli mnatuumiza sana sisi wa vipato vya chini ambao tunapata visafari vya dharula katika kutafuta maisha, huu ni unyonyaji, mala ya mwisho ilikua ni elf 40 kupima na ilikuwa very fair, sijajua why mmefanya kiwe ghari, alafu kibaya zaidi hamuweki taarifa wazi, yani mtu hadi uende maabara ya Taifa ndo unaambiwa.
Haya pili kumbe mmehamishia upimaji wa Covid kwenye Hospitali zingine na maabara ya taifa imebakiza kupokea samouli tu, lakini hakuna taarifa zozote kwa umma (unless sikuona mimi) ila nilikuta watu wengi wanaenda mabara ya Taifa wanaishia getini wanaambiwa sasa hivi hawapimi. Mnatukosea jamani, yani Wizara ya afya mambo mengi hayako wazi na yaliyoko wazi hayako sahihi, huku mnasema hivi mtu akienda hospitalini au taasisi zilizo chini ya wizara anakuta mambo tofauti, hii sio sawa kabisa.
Waziri Gwajima wewe ndo waziri wa sasa na unajitahidi sana lakini hili la kipimo cha Covid hapana jamani msifanye kama ndio kitegauchumi mtakua mnatuumiza, sio kila anaeenda nnje ya nchi ana uwezo, wengine ni waganga njaa tu, au hata wale tunaosafiri East Africa basi mngeangalia upya bei za kupima, kaeni na wadau muone mnatusaidiaje wananchi wenu.
Hapa nimeandika kwa hudhuni sanan sababu nahisi nakosa interview yangu ya kazi sababu sina uwezo na nimepata kazi Uganda huko na natakiwa nisafiri, nimejichanga kwa ndugu jamaa na marafiki ila la Covid nimeshindwa na sijui nafanyaje manake nimeenda hadi Maabara ya Taifa kupeleka ombi langu nisaidiw nipimwe ili niwahi kazi wamekataa wanasema kipimo hakina exemption , [emoji24][emoji24][emoji24] Kama mkulugenzi upo humu unisikie , hii sio sawa jamani. Nakosa hata cha kuandika sababu nimeghafirika na sijui la kufanya, yani budget yangu nzima ya kwenda na kurudi na kuishi huko ndio bei ya kupima Covid....
Ww mwnye kujua kiswahili kimekiwezesha hata kwenda Malawi??Mkurugenzi. Sio mkulugenzi
Mara ya mwisho. Sio mala ya mwisho
Huzuni. Sio hudhuni.
Dharura. Sio dharula.
Halafu. Sio alafu.
Bora usiende kwenye huo usaili, ungepoteza nauli na tozo ya kipimo. Hujui kuandika Kiswahili, utaweza nini, kupikia chai maofisa?
kile kwa kweli hapana.hata wakiweka bure [emoji3][emoji3]Mara mhitaji kupima mara, mlalamike, subiri kile kipimo kipya kitakua bei rahisi tu
Mkuu ulishiriki kupanga bei ya kipimo nn?maana unaonekana kujawa na chuki bila sababu ya msingi juu ya Mtanzania mwenzio sio poa roho za kichawi hizo ndio nyie mnaolifikisha kwenye hali hizi Taifa letu kwa roho mbaya jitahidi kuficha uchawi wako bwa mdogoMkurugenzi. Sio mkulugenzi
Mara ya mwisho. Sio mala ya mwisho
Huzuni. Sio hudhuni.
Dharura. Sio dharula.
Halafu. Sio alafu.
Bora usiende kwenye huo usaili, ungepoteza nauli na tozo ya kipimo. Hujui kuandika Kiswahili, utaweza nini, kupikia chai maofisa?
Wewe umeona kipimo cha covid tuu?. So bora huko nje ya nchi unaweza kuamua kuacha kusafiri. Fikiria ukandamizaji unaofanywa makusudi kabisa na askari wa usalama bara bara ni waliopewa zile Pos. Usilogwe utoke na Suzuki carry yako nyumbani. Traffiki anasama amepewa malengo lazima yatimie. Kwa kubambika makosa au kwa kufuata sheria. Sasa sijui Taasisi ya TRA yenye jukumu la kukusanya kwa mujibu wa nahitaji ya bajeti ya taifa wanakusanya na kuvuka malengo hizi zinazotokana na makusanyo haramu zina pelekwa wapi. Mungu atusaijie tuu siku ya judgment inakuja na hakika kila mtu atalipwa kwa Bali tena hapa hapa duniani.Yani ni biashara kabisa hii, tena anaeifanya anataka apate faida mala dufu wakati ni taasisi ya serikali