Wizara ya Afya, mnawaachiaje watu wenye dalili ya Corona waendelee na shughuli zao?

Tume survive Ebola, Nzige....nina imani hata hili litapita.
 
You have a point somehow. Ila sasa itabid sasa kuwe na quarantine maalum kwa ajili ya jii issue
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cdm kila kitu siasa? Unafikiri wizara ya afya wapuuzi kama unavyowachukulia? Nchi haiwezi kuendeshwa kwa mihemko
 
Hii ni hatari...

Huko Uinhereza kuna dada mmoja alitokea Italia, pamoja na kwamba hakuwa na dalili zozote wala udhaifu wowote, amechukuliwq vipimo na kawekwa chini ya uangalizi wakati majibu ya vipimo yakingojewa (majibu yanachukua muda kidogo kutoka kwa UK)
 
Ni mtaalamu wa sheria kama sijakosea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…