- Thread starter
- #21
afadhali hukomimi huku nilipo ,hizo dawa walipewa juma moja lilipita , jambo moja muhimu watoto waliambiwa wabebe chakula na wale ambao hawakubeba walirudishwa nyumbani wakabebe chakula kabla ya kupewa dawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
afadhali hukomimi huku nilipo ,hizo dawa walipewa juma moja lilipita , jambo moja muhimu watoto waliambiwa wabebe chakula na wale ambao hawakubeba walirudishwa nyumbani wakabebe chakula kabla ya kupewa dawa.
Hii nchi imeisha uzwa hao walio nanunuwa wanatumia serikali kuhakikisha watu weusi wanaisha taratibu. Haiwezekani dawa zenye kusudi njema zitolewe bila kuhusisha wazazi. Kama wanapenda watoto mbona hawapi Bima ya afya bure ili wawe wanafanya check up mara mbili kwa mwaka kama nchi nyingine?Nimesikitishwa sana kuona leo watoto wa shule ya msingi "serikali" wakirudi kutoka shuleni wakiwa wamedhoofika sana, miili ikiwa dhaifu na macho mekundu kabisa. Nilipowauliza, walisema wamepewa dawa shuleni na kumeza bila kula. Dawa hizo wamesema ni za kichocho na minyoo, na wamepewa pasipo wazazi kuarifiwa wala kuulizwa ridhaa yao. Walimu nao wameeleza kuwa walipewa taarifa ghafla kwa njia ya simu kwamba waandae watoto kumeza dawa hizo.
Najiuliza, shuleni wana lengo la kuua watoto au kuna shida gani? Je, shule za msingi za serikali zimegeuzwa kuwa sehemu za majaribio ya dawa kwa watoto? Kila mzazi ana utaratibu wake wa kutibu watoto wake. Kwa nini watoto wanalazimishwa kumeza dawa bila taarifa kwa mzazi?
Mnawapa dawa za kichocho na minyoo, lakini mnajuaje kama tayari wazazi wao wamewapa dawa nyumbani?
Lengo la kupeleka mtoto shuleni ni kujifunza na kusoma, si kumeza dawa. Wanapata wapi ujasiri wa kuwamezesha watoto dawa kinyemela pasi na ridhaa ya wazazi? Serikali yangu inasikitisha sana kwa matendo haya.
Kweli hapo wamechemka mazima. Halafu wanajitetea eti ni Taarifa ya ghafla tena kwa simu. Haya ni majibu ya kikatili kwani Hiyo ghafla imetokea wapi? Kwani hizo dawa haziwezi kuhifadhiwa wakati utaratibu wa kutoa Taarifa kwa wazazi/walezi ukifanyika? Inashangaza bado waTz tunafanya kazi kwakukurupuka hadi kwenye mambo yanayohusisha Uhai na mustakabali wa Afya ya Jamii.wanalengo gani hasa? wameshindwa kuwapa elimu nzuri watoto...wameanza kuwanywesha dawa!!..tena kimya kimya?....wazazi wataamini vipi kama hizo dawa ni za minyoo na kichocho?, kwakuwa watoto hawana maamuzi basi wanawapa tu dawa bila mzazi kuhusishwa?
Dah! We kibokoItakuwa hii ndio maana na tafsiri ya mtoto ni wa Jamuhuri
Viboko je mbona ulichapwa sana lakini saizi watoto hawaguswiUnaleta hoja utadhani ni jambo geni, toka miaka 90 huko tumekunywa sana dawa shuleni
Hilo kundi kubwa la watoto umelikuta wapi wewe peke yako tu ndiyo waone wengine wasiwaone?Nimesikitishwa sana kuona leo watoto wa shule ya msingi "serikali" wakirudi kutoka shuleni wakiwa wamedhoofika sana, miili ikiwa dhaifu na macho mekundu kabisa.
Nilipowauliza, walisema wamepewa dawa shuleni na kumeza bila kula. Dawa hizo wamesema ni za kichocho na minyoo, na wamepewa pasipo wazazi kuarifiwa wala kuulizwa ridhaa yao.
Walimu nao wameeleza kuwa walipewa taarifa ghafla kwa njia ya simu kwamba waandae watoto kumeza dawa hizo.
Najiuliza, shuleni wana lengo la kuua watoto au kuna shida gani? Je, shule za msingi za serikali zimegeuzwa kuwa sehemu za majaribio ya dawa kwa watoto? Kila mzazi ana utaratibu wake wa kutibu watoto wake. Kwa nini watoto wanalazimishwa kumeza dawa bila taarifa kwa mzazi?
Mnawapa dawa za kichocho na minyoo, lakini mnajuaje kama tayari wazazi wao wamewapa dawa nyumbani?
Lengo la kupeleka mtoto shuleni ni kujifunza na kusoma, si kumeza dawa. Wanapata wapi ujasiri wa kuwamezesha watoto dawa kinyemela pasi na ridhaa ya wazazi? Serikali yangu inasikitisha sana kwa matendo haya.
Watu mna gubu sana aisee, hizo dawa nakumbuka hata mimi nilikunywa nikiwa shule ya msingi. Dawa za kichocho na Minyoo ni utaratibu wa kawaida wa mass kampeni ya kuzuia hayo magonjwa husika, yemeonekana yanasumbua sana watoto wakati ni kitu kinazuilika.
Kuna watu wapo huko wizara ya afya kazi yao ni kuwaza wanapunguzaje haya magonjwa kwa watoto, njia wanazokuja nazo ndio kama hizi. Kama umempatia mtoto wako nyumbani hamna shida na wao wanajua hilo.
ndugu tuna watoto na tunawachunga kila wakati, na tunatambua mtoto asipokuwa sawa. yaani mwanangu aende shule mzima arudi hoi alafu uniambie maneno yako..ungekuwa karibu ningekupa bakora tuheshimiane kidogo mkuuHilo kundi kubwa la watoto umelikuta wapi wewe peke yako tu ndiyo waone wengine wasiwaone?
Na kama walilegea hadi macho kuwa mekundu ulitumia kipimo gan au taaluma gani kubaini hadi dawa waliyopewa ndiyo zimesababisha hali hiyo?
Serikali ndiyo mzazi wa kwanza je hizo taarifa kuwa wazazi hawajapewa taarifa umepata kwa wazazi wapi?
viongozi wetu hawa naona maarifa hakuna kabisa, nakumbuka sisi zamani tulikuwa tunapewa madaftari peni rula mikebe kutoka shuleni, siku hizi wapo bize kuwaywesha dawa kama shule zimegeuka hospitali sasa. Hata taarifa kwa wazazi hawatoi..hovyo sana yaaniKweli hapo wamechemka mazima. Halafu wanajitetea eti ni Taarifa ya ghafla tena kwa simu. Haya ni majibu ya kikatili kwani Hiyo ghafla imetokea wapi? Kwani hizo dawa haziwezi kuhifadhiwa wakati utaratibu wa kutoa Taarifa kwa wazazi/walezi ukifanyika? Inashangaza bado waTz tunafanya kazi kwakukurupuka hadi kwenye mambo yanayohusisha Uhai na mustakabali wa Afya ya Jamii.