Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Uanfikiri mishahara ndo inawafanya wanaiba dawa? Ni tabia yao tu na hakuna anaelidhika na hela ata uwalipe kiwango cha chini milion 5 bado wataona haitoshiTuongezeeni mishara.
Hujaelewa Nini wewe? Waziri kasema watawafunga wote wanaojihusisha na wizi wa dawa. Sasa wewe kaibe halafu useme waziri Hana uwezo wa kusema wezi wa dawa watafungwa.Waziri wangu rekebisha kauli yako SIO utawafunga wote kisheria wewe huna mamlaka hayo,mamlaka ya kuhukumu yapo chini ya COURT,wewe uwezo wako ni kufungua mashitaka polisi.
Na polisi watachunguza ikiwa ni pamoja na kukusanya ushahidi then wanashauriana na prosecutors kuona kama wana winnable case,always waziri wangu fanya kazi zako kwa mujibu wa sheria, hili la kuwekana ndani ni kinyume cha sheria na elewa hauna hatia mpaka ukutwe na hatia na mahakama!.