Wizara ya Afya: Wasafiri watapimwa covid19 kwa dola 100

Wizara ya Afya: Wasafiri watapimwa covid19 kwa dola 100

Kijana wangu anatamani kwenda kuosha macho huko kwa wazungu kidogo kupanua CV yake, amefika Dar kufuatilia cheti Cha covid 19 anaambiwa kupima ni dola mia moja sawa na laki mbili na nusu kwa mtu mmoja...
Mtu anaenda kuosha macho huyo dollar 100 bado ni kidogo hata wazungu wanapokuja kuosha macho huku wanalipa zaidi ya gharama za kawaida
 
Baadhi ya maoni ya watalii kuhusu bajeti zao za utalii:
B M
Europeans have travel companies like Intrepid, Tui, Condor, etc that arrange packages for their own with charter flights to boot. A lot of the tourists that come are blue collar workers in Europe - not rich folks. The travel companies allow clients to pay in installments over several months making their tour experience easy to plan and affordable. The hotels they visit (mostly mzungu owned) have partnerships with the travel companies and have guaranteed occupancy by European visitors. The Afrikan diaspora could do the same if equally organized. An easy place to start is by establishing partnerships,e.g. with local tour operators and hotels owned by locals - or invest in local travel companies and hotels then attract diasporans there for their vacation

Watalii wengi kulipia dola 100 inawaongezea gharama kubwa. Wengi wa watalii ni wadunduliazi wa fedha kidogo walizo nazo waje sehemu kama Tanzania kwa wiki chache. Kuwaona watalii hawa ni "matajiri" ni makosa makubwa na hasa wakati Tanzania haiamini kuwa Covid ipo bali ni njama za mabeberu kuvuruga uchumi wa dunia.

Zanzibar, Tanzania
29 December 2020

Black people are afraid of Africa while white people love it


29 Dec 2020
While you’re stuck in your hole because of lockdown, Tanzania is a place people come to escape Covid-19. No masks or curfews.
Source: GoBack2Africa
 
Kama hataki kutoa 100 USD apishe wenye Nazo. Nauliza hivyo vyeti vya COVID vipoje? Wajanja hawawez kuvifanyia makalatee??
 
Kijana wangu anatamani kwenda kuosha macho huko kwa wazungu kidogo kupanua CV yake, amefika Dar kufuatilia cheti Cha covid 19 anaambiwa kupima ni dola mia moja sawa na laki mbili na nusu kwa mtu mmoja....
Ahaaaa 5 Tena 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama hataki kutoa 100 USD apishe wenye Nazo. Nauliza hivyo vyeti vya COVID vipoje? Wajanja hawawez kuvifanyia makalatee??

Hata mimi nahisi hiki ndio kitakachotokea...Wajanja watapiga piga pesa sana.
 
Kijana wangu anatamani kwenda kuosha macho huko kwa wazungu kidogo kupanua CV yake, amefika Dar kufuatilia cheti Cha covid 19 anaambiwa kupima ni dola mia moja sawa na laki mbili na nusu kwa mtu mmoja.

Naomba kujua Kama hizi gharama zilizopitishwa toka zamani au ni mpya? Kama gharama ni kubwa kiasi hiki na watu wanatakiwa kusafiri nje pale tu wanapokuwa na covid certificate, je madreva na Watanzania wa kipato Cha chini wanaofanya shughuli zao kwa kuvuka mipaka wataziweza hizi gharama?

Mwenye kuelewa hizi gharama vizuri kwa Tanzania na nje ya Tanzania atusaidie kulinganisha.

Tujadili madhara ya kuwa na gharama kubwa kupima covid 19 na uwezo wa Watanzania kumudu gharama hizi


Tafadhali Beatrice Kamugisha soma

Mkuu hizi gharama umepewa na kijana wako au umefika pale maabara ukiambatana na kijana wako kuuliza

Gharama ni sh 40,000/= kwa locals( watanzania)
Kwa wageni ni 50USD (115,000tsh)
Mimi nimepima hata mwezi haujaisha
 
January 09, 2021
Zanzibar, Tanzania

Chartered Airlines 6 kubwa zatua leo Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar

Watalii toka nchi za uchumi wa kati kama Russia, Ukraine n.k leo washuka kwa mamia Zanzibar na ndege maalum za kukodi zenye uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 300 kila moja za mashirika ya UTair https://www.utair.ru/en/ , Sky AirLine, Royal Flight Royal flights , Azur https://www.azurair.ru/en n.k yakitua kutoka Ukraine, Russia

Source : KTV TZ ONLINE
 
Samahani naomba kujuzwa.Kwa Dar unakipatia wapi hiko cheti cha Covid?Nahitaji haraka
Mkuu hizi gharama umepewa na kijana wako au umefika pale maabara ukiambatana na kijana wako kuuliza

Gharama ni sh 40,000/= kwa locals( watanzania)
Kwa wageni ni 150USD
Mimi nimepima hata mwezi haujaisha
 
Back
Top Bottom