Wizara ya Afya: Wasafiri watapimwa covid19 kwa dola 100

Wizara ya Afya: Wasafiri watapimwa covid19 kwa dola 100

IMG-20210110-WA0006.jpg
 
January 09, 2021
Zanzibar, Tanzania

Chartered Airlines 6 kubwa zatua leo Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar

Watalii toka nchi za uchumi wa kati kama Russia, Ukraine n.k leo washuka kwa mamia Zanzibar na ndege maalum za kukodi zenye uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 300 kila moja za mashirika ya UTair https://www.utair.ru/en/ , Sky AirLine, Royal Flight Royal flights , Azur https://www.azurair.ru/en n.k yakitua kutoka Ukraine, Russia

Source : KTV TZ ONLINE

Watalii toka Russia wanawasili kwa wingi. Tujiongeze wenzetu wanaweka madawati maalum kusaidia watalii wanaokuja kwa wingi nchini mwao mfano kwa Tanzania lugha zetu ni English na Kiswahili tujiogeze kwa lugha nyingi kubwa za kigeni, ili kupata uelewa wa vitu kama habari za mila tamaduni desturi zetu pia na kupunguza tozo zinazoweza kutupatia ushindi dhidi ya destination zingine.

TANZANIA / ТАНЗАНИЯ​

 
Mkuu hizi gharama umepewa na kijana wako au umefika pale maabara ukiambatana na kijana wako kuuliza

Gharama ni sh 40,000/= kwa locals( watanzania)
Kwa wageni ni 50USD (115,000tsh)
Mimi nimepima hata mwezi haujaisha

Gharama mpya toka zitangazwe wiki haijakata, hutoki na Covid certificate bila 100USD
 
Back
Top Bottom