January 09, 2021
Zanzibar, Tanzania
Chartered Airlines 6 kubwa zatua leo Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar
Watalii toka
nchi za uchumi wa kati kama Russia, Ukraine n.k leo washuka kwa mamia Zanzibar na ndege maalum za kukodi zenye uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 300 kila moja za mashirika ya UTair
https://www.utair.ru/en/ , Sky AirLine, Royal Flight
Royal flights , Azur
https://www.azurair.ru/en n.k yakitua kutoka Ukraine, Russia
Source : KTV TZ ONLINE