Sasa wakati zoezi linaendelea wao walikuwa wapi?..
Ina maana wazikaji walijiamulia Tu kuzika usiku?
Hawa wanawafanya watu mabwege mtozeni kila siku wanabadilika kama vinyonga. Watangaze rasmi kuwa Corona hakuna wafungue shule na vyuo maisha yaendeleeWatu kuzikwa kama wanyama usiku wa manane haikubalikik nakupongeza sana mganga mkuu prof. Abel Makubi na wizara kwa ujumla uwezo wako toka ulipokua bugando ulionekana Hongera sana...
Its not over until its over...
View attachment 1438546
Huyu aliyeandika taarifa hii ya wizara hajui kitu katika uandishi wa taarifa za umma...very sad..sijui serikali inawapata wapi watu wa Aina hii..hii taarifa ni serious na sensitive Sasa unamwachia mtu asiyejua kuwa taarifa inaweza kuzua maswali mengine...hopeless kabisa...mtu mwenyewe anaandika swala baadala ya suala na maswala baadala ya masuala...Kigongo aliposema watu wa zikwa usiku walikataa.... Sasa inakuwaje wanazuia kitu ambacho hakikuwepo!!?
Suala #2 na #3 maelezo yanaonyesha udhaifu mkubwa wa wataalamu wa wizara.Tiba mbadala ilihimizwa na mwanasiasa cum mwanasayansi na watu wote wakaelekea huko.Leo ndipo ufafanuzi unatoka baada ya watu kuweka imani kubwa huko.Suala #3 mazishi yamefanyika chini ya Polisi kwa nini watu walipolalamika ufafanuzi haukutoka mpaka Mkulu alipolalamika kuhusu DC wake kuzikwa Mtwara?
Mkuu,ulikua hufuatilii mitandaoni au? Ulikua huamini?Kumbe bhana walikuwa wanazika usiku daaah!!utu ni muhimu sana hakuna kitu kinauma kumzika ndugu yako kama ngombe au mbwa!!kwanza kuna plastic bags unaweza kumfunga mtu vizuri tu!
Kingine kuzika mtu bila kuzingati misingi ya dini yake siyo sawa!!hakuna shee wala mchungaji mbona wakubwa getruda,ndasa,Dc yule walipata heshima za ibada kwa dini zao? View attachment 1438649
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kuna mtu asiye mbumbu anaweza kujibu unavyojibu kweli.Wewe unadhani nchi inaongozwa na mbumbu? Kwa kuwa hujui unyamaze tu. Tabia ya kurukia mambo ni umbea.
Nawasubiri wapiga filimbi wa Amlin.Tulisema kuwa hili jambo si sahihi na hakuna sababu ya kuzika usiku, kwani kifo ni kifo tu na kinatokea siku zote..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unadhani nchi inaongozwa na mbumbu? Kwa kuwa hujui unyamaze tu. Tabia ya kurukia mambo ni umbea.Nitoke nje ya mada.
Hatuwezi kuongozwa na wanasiasa kwenye hiki kipindi kigumu kisha tutarajie kuushinda huu ugonjwa.
Ingekuwepo kamati ya wataalamu wa afya na majanga ingekuwa heri mihemko na hisia zingepungua.
Ni kosa mawaziri, wabunge na Rais wawe ndiyo wasemaje wakuu. Hawa kazi yao ilikuwa kupokea ripoti kutoka kwa kamati ya wataalamu.
Wao wanajua walau kila kitu kuhusu magonjwa...hawana mihemko...hawana chuki...wala hawana mirengo ya kisiasa wanasimamia miiko ya kazi.
Unashangaa hilo wakati Rais katuma ndege Madagascar kuchukua dawa ya kutibu ugonjwa unaoathiri Mafenesi?Huyu aliyeandika taarifa hii ya wizara hajui kitu katika uandishi wa taarifa za umma...very sad..sijui serikali inawapata wapi watu wa Aina hii..hii taarifa ni serious na sensitive Sasa unamwachia mtu asiyejua kuwa taarifa inaweza kuzua maswali mengine...hopeless kabisa...mtu mwenyewe anaandika swala baadala ya suala na maswala baadala ya masuala...
Masikio yao ni kama ya kenge. Bila juhudi za dada wa taifa 'strong girl' yangeendelea tu kuzika watu usikuWatu kuzikwa kama wanyama usiku wa manane haikubalikik nakupongeza sana mganga mkuu prof. Abel Makubi na wizara kwa ujumla uwezo wako toka ulipokua bugando ulionekana Hongera sana...
Its not over until its over...
View attachment 1438546
Maji yashakorogeka.Kwi Kwi Kwi ! Hii nchi sasa inaendeshwa kama gari lililokatika senta bolti .
Mwenzio ndio yupo? Aliyeandika upupu nimemjibu umeona utumbo alioandika
Lipi zuri la kumpongeza? Kukimbilia Chato!?Ukweli ni kuwa yote uliyoyasema yanahitaji kukemewa, kuzuiwa yasitokee. Lakini hata kukiwa na mabaya 10, likarekebishwa moja, kwenye hilo moja tupongeze maana kiongozi amesikiliza sauti zetu. Tumpongeze katika hilo alilofanya vizuri, huku tukimwomba kuchukua hatua dhidi ya 9 yaliyosalia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wakati zoezi linaendelea wao walikuwa wapi?..
Ina maana wazikaji walijiamulia Tu kuzika usiku?