Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Wanafunzi wengi wa Advance wamejikuta kwenye hali ngumu hususani kwenye masomo ya Mathematics, Physics, Chemistry na Biology
Kwanza, Mambo ya kujifunza ni mengi sana (materials) bila kupima uwezo wa ubongo wa mwanafunzi ivo kupelekea kufeli
Pili,Uchache ama ufinyu wa mda, miaka miwili kwa mwanafunzi wa PCB, PCB ni ngumu kumfanya aelewe kila kitu na inapelekea wengi kukariri tu masomo kama form one.
Tatu, Kukosekana kwa vitabu vyenye kukamilika (contents) zote zitakazoweza kumsaidia mwanafunzi kuelewa Jambo kiundani mfano vitabu vya TIE (physics, Chemistry, Mathematics and Biology) havijitoshelezi.
Hivyo Wadau wa Elimu kwa kushirikiana na Wizara haina budi kutatua tatizo hili. Maana itazalisha wataalamu nyanja za juu wasio na ubora unaohitajika.
Nakaribisha maoni na proposal zipi zifanyike kusolve hili suala