Wizara ya Elimu ipitie upya Mtaala wa Masomo ya Sayansi wa A-Level

Wizara ya Elimu ipitie upya Mtaala wa Masomo ya Sayansi wa A-Level

Topics ni nyingi sana na ni ngumu kwa mwanafunzi kuelewa vizuri. Huwa sometimes nawaza niliwezaje kuzisoma topics zote katika kipindi kifupi kama kile.

Physical measurements (Errors & dimensions)
Mechanics
Fluid dynamics
Heat
Wave motion
Current electricity
Electrostatics
Electromagnetism
Electronics
Atomic physics
Environmental physics

Kila topic hapo ina subtopics ambazo unaweza ukatunga kitabu.

Rip Muddy physics,
Mgote
Mtiiga

Enzi hizo tuition mchikichini na Mwenge ITV.
Umemsahau na Eliasi kihombo.
 
Enzi zetu daah tulisoma kwa tabu sana

Yale ma Chand, muncaster, Ramsden, nelkon,

Masyllabus ya India na ulaya

Haikuwa kazi rahisi kutoboa.
Dah mzee baba umenikumbusha mbali sana nlikuwa na UP (university physics) na Muncaster langu dadeki. Ngumu kumeza ile
 
Watu wa Biology na chemistry kwa ticha Mbuga na Sir waunga!! Mchikichini moja hiyo, ukitoka pembeni kuna Muddy, hesabu kuna mwarami sio poa...!!
 
Muddy physics ivi bado yupo mchikidown pale?
 
Acheni Ngono someni

Mimi nimefundisha hapo Temeke Advance wanafunzi mnatombana Sana.

Mwanafunzi smart hawezi kufeli Advance pia huko vijijin ngono imetawala . Serikali naomba Alama ziongezwe za kutoka Advance kuja chuo kikuu Angalau D inabidi Kuanzia 65+
We ni ticha dotto nini wa temeke?
 
Mtoa mada anasubiri kuwa miongoni mwa wazee watakaotoa maoni yao kwenye katiba mpya. Sidhani kama tutarudi uchumi wa kati kwa kweli
 
Acheni Ngono someni

Mimi nimefundisha hapo Temeke Advance wanafunzi mnatombana Sana.

Mwanafunzi smart hawezi kufeli Advance pia huko vijijin ngono imetawala . Serikali naomba Alama ziongezwe za kutoka Advance kuja chuo kikuu Angalau D inabidi Kuanzia 65+

We kama mtu serious umeisaidia nini Nchi so far?

D ianzie 65+ wewe vyeti vyako vikibadilishwa saiv utajikuta una Division 4 mbovu sana au zero.

Fundisheni watu wapate maarifa sio wapate grades nzuri mwisho wa siku tumesoma lakini hatuna maarifa ya kutengeneza hata kijiti cha kuchokonoa meno.

Hovyo sana waafrika tunawekeza kukomoa sana na kukariri.

Afrika haitoboi kwa akili hizi tulizonazo za kuangalia grades tu
 
Wanafunzi wengi wa Advance wamejikuta kwenye hali ngumu hususani kwenye masomo ya Mathematics, Physics, Chemistry na Biology

Kwanza, Mambo ya kujifunza ni mengi sana (materials) bila kupima uwezo wa ubongo wa mwanafunzi ivo kupelekea kufeli

Pili,Uchache ama ufinyu wa mda, miaka miwili kwa mwanafunzi wa PCB, PCB ni ngumu kumfanya aelewe kila kitu na inapelekea wengi kukariri tu masomo kama form one.

Tatu, Kukosekana kwa vitabu vyenye kukamilika (contents) zote zitakazoweza kumsaidia mwanafunzi kuelewa Jambo kiundani mfano vitabu vya TIE (physics, Chemistry, Mathematics and Biology) havijitoshelezi.

Hivyo Wadau wa Elimu kwa kushirikiana na Wizara haina budi kutatua tatizo hili. Maana itazalisha wataalamu nyanja za juu wasio na ubora unaohitajika.

Nakaribisha maoni na proposal zipi zifanyike kusolve hili suala
Advance sio kwa kila mtu pia sio lazima. Inaitwa ADVANCED or high school so why uende high bakia na ordinary inatosha later college baadaye University maisha murua
 
We kama mtu serious umeisaidia nini Nchi so far?

D ianzie 65+ wewe vyeti vyako vikibadilishwa saiv utajikuta una Division 4 mbovu sana au zero.

Fundisheni watu wapate maarifa sio wapate grades nzuri mwisho wa siku tumesoma lakini hatuna maarifa ya kutengeneza hata kijiti cha kuchokonoa meno.

Hovyo sana waafrika tunawekeza kukomoa sana na kukariri.

Afrika haitoboi kwa akili hizi tulizonazo za kuangalia grades tu
Huyu ana mental problem sio bure mkuu. Yaani sio lazima uwe mirembe Ile inakuwaga serious you can't your handle your mind or the people talking in your head so wakiwa wanaongea na wewe huku unaongea Basi.
Ila ukiwa kawaida wakiwa wanaongea unakuwa kawaida
 
Cha kusikitisha ni kuwa wizara haina muongozo wala vitabu vilivyotungwa kuzingatia mitaala ya elimu ya Advanced level.

Kwenye physics haijulikani ni kitabu gani mwanafunzi atumie, Chand's vya muhindi au vya mzungu.
Wametoa mwaka 2020 vya TIE ni vizuri mno mimi nimevipitia Biology na Chemistry nasema viko bomba na deep..
 
Habari ndugu naomba kujua ni culcultor zipi zimeluhusiwa kuingia nazo kwenye mtiani wa hesabu kidato cha nne..?
 
Wametoa mwaka 2020 vya TIE ni vizuri mno mimi nimevipitia Biology na Chemistry nasema viko bomba na deep..
Nakataa kwa 100% wanaovitumia nna maoni yao mengi wanasema havina maajabu,usiingize siasa mkuu
 
Back
Top Bottom