Wametoa mwaka 2020 vya TIE ni vizuri mno mimi nimevipitia Biology na Chemistry nasema viko bomba na deep..
Tie hawakuwaga na books za advance.ila bana mfumo wa elimu ufumuliwe kuendana na soko ama spidi ya dunia.maarifa mengi huwa mtu anatapaga akiwa job anajifundisha yeye mwenyewe ama anakamua kurudi shule.
Yaani walegeze kama ilivyo kwa erb walivyolegeza from graduate engineer to professional Engineer Ila Sasa wakaenda kubana from Professional to Consultant Engineer.
Na mfumo wa elimu walegeze baadaye baadaye huko masters na waweke viwango vya kitaluma like law schools,cpa and like. Hata ticha wawe na levels pia ,you acquire more real professional when you're working and practicing real career. Engineering inawezekana ikasomwa three years,
Kwa waliosoma Engineering fourth haina Mana kabisa. Mtu anaweza akatoka na third year akiwa vizuri na practice za kufa mtu sidhani Kama Kuna kitu Cha yule aliyesoma fours years anaweza akamshinda.
Mfano mtu anakamatalia kaeneo fulani anakuwa nondo mpaka balaa. Ishu kubwa na mbaya wengi watu wanapenda kuwa multipurpose or multitask. Mfano civil engineer anataka ajue masuala ya maji yote ama majengo yote na masuala ya roads yote ili aheshimiwe kuwa jamaa yupo nondo Ila hakuna kitu icho kwa dunia ya saivi.specialization Ni nzuri mno na inalipa mbaya kuliko kutaka sifa kuwa kila eneo Niko nondo.
Unataka ucheze soka,kikapu,tennis, athlete,car race,mwanamieleka Mara heavy lifting na zote ushinde. Maisha yenyewe ya kuishi dunia hii Ni mafupi mno yaani mno. We work nadhani only 40yrs Basi.
From 25-60 Basi kwanza Ni 35 so why uhangaike na Mambo mengi,so from 60 unaanza ku decay kwa Ile growing curve ya binadamu unaanza ku retard ilipotokea.
No need to complicate life.