goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Bas broo angu kfanya vzr mwanae kapasua vzr olevel ila akamua kumtafutia mist mbeya uko akapige diploma yake ya ujenziKuna watu walitoka na div One ,science O'level wakiwa na ndoto za kwenda kuwa madaktari ila Advance level wakajikuta wana div Zero au four. Walikuwa na uwezo wa kuelekea college wakapiga diploma ya clinical medicine halafu wakaendelea university kusoma MD au hata kuishia na hiyo diploma na kuajiriwa serikalini kufanya kazi mahospitalini.
Binafsi sitaki wanangu wasome hii A-level ni kupoteza muda tu. Mtoto anaweza kufaulu PCB form six ila TCU wakampeleka kwenda kusoma course za ajabu ajabu ambazo sio malengo yake. Ni bora umpeleke mtoto akasome diploma katika health institute au adome hata kwenye technical college