Wizara ya Elimu ipitie upya Mtaala wa Masomo ya Sayansi wa A-Level

Wizara ya Elimu ipitie upya Mtaala wa Masomo ya Sayansi wa A-Level

Ningelikutana na ushauri huu enzi hizo ningeliufuta. Chands zote ziliniishia, plus BS, Wakina Ngaiza, mod na wenzie! Nilikesha usiku kucha, Jumamosi wenzangu wanacheki movies social hall, mi nipo na mbegi wangu chimbo! Leo hii sina maisha, hii degree ya Microbiology naitumia kuulia mbu kwa vidonge vya shn'g 100 100 [emoji24][emoji24][emoji24]
Kuna watu walitoka na div One ,science O'level wakiwa na ndoto za kwenda kuwa madaktari ila Advance level wakajikuta wana div Zero au four. Walikuwa na uwezo wa kuelekea college wakapiga diploma ya clinical medicine halafu wakaendelea university kusoma MD au hata kuishia na hiyo diploma na kuajiriwa serikalini kufanya kazi mahospitalini.

Binafsi sitaki wanangu wasome hii A-level ni kupoteza muda tu. Mtoto anaweza kufaulu PCB form six ila TCU wakampeleka kwenda kusoma course za ajabu ajabu ambazo sio malengo yake. Ni bora umpeleke mtoto akasome diploma katika health institute au adome hata kwenye technical college
 
Nakubaliana na wewe
 
Sayansi ya Advance ni balaa.. ... sisi mwaka wetu vipanga karibu wote wa O - level walipiga TWO. Ilikuwa patashika. Ndoto za wengi zilikuwa UDSM, MUHAS na SOKOINE ila watu wakajikuta wako IFM, CBE, IAA, SAUT, ST JOSEPH na vyuo vingine kimbilio la division Three. Kuna kipanga wangu mmoja alipata UDSM ila kozi za sayansi tena. Yule jamaa chuo hakumaliza yuko zake Matejoo kawa mlevi. Binafsi naona hakuna haja ya kulegeza kamba acha tu moto uendelee kuwaka... ili wanaoweza wasonge mbele. Sio lazima wote tusome sayansi.
Umepigilia msumari wa Moto kweny kidonda ,waache waisome namba😅,Kuna haja ya mabadiliko kusema kweli Maana advance inaweza sababisha low life span
 
Kama unataka kuja kuwa mfamasia....ukifaulu masomo ya sayansi form four..moja kwa moja nenda kasome diploma ya pharmacy..ukihitimu unaweza kuingia kwenye ajira moja kwa moja au ukaamua kuunganisha kwenda kusoma bachelor ya pharmacy.
 
Topics ni nyingi sana na ni ngumu kwa mwanafunzi kuelewa vizuri. Huwa sometimes nawaza niliwezaje kuzisoma topics zote katika kipindi kifupi kama kile.

Physical measurements (Errors & dimensions)
Mechanics
Fluid dynamics
Heat
Wave motion
Current electricity
Electrostatics
Electromagnetism
Electronics
Atomic physics
Environmental physics

Kila topic hapo ina subtopics ambazo unaweza ukatunga kitabu.

Rip Muddy physics,
Mgote
Mtiiga

Enzi hizo tuition mchikichini na Mwenge ITV.
Nilifanya kazi na Muddy Physics mwaka 2011 pale mchikichini. Nilikuwa mpiga debe wake na kukusanya pesa za pindi.
 
Topics ni nyingi sana na ni ngumu kwa mwanafunzi kuelewa vizuri. Huwa sometimes nawaza niliwezaje kuzisoma topics zote katika kipindi kifupi kama kile.

Physical measurements (Errors & dimensions)
Mechanics
Fluid dynamics
Heat
Wave motion
Current electricity
Electrostatics
Electromagnetism
Electronics
Atomic physics
Environmental physics

Kila topic hapo ina subtopics ambazo unaweza ukatunga kitabu.

Rip Muddy physics,
Mgote
Mtiiga

Enzi hizo tuition mchikichini na Mwenge ITV.
Hao jamaa uliowataja mwishoni,kwani walishakufa? Ni mda sasA
 
Afu pia huwez sema shule za boarding nazo wanafany madudu especially boys tupu au girls tupu ,special case wapo waliofaulu vizur tu o level lakn advance panagoma ,tupe tatzo kuu na namna ya kulitatua
Mkuu, mwanafunzi anayepata division three o level kisha akaja kupata division one A level huyu tunasemaje? Ana akili au hana akili?
 
Ata o level pia matatizo yana exist nlikua nashangaa madogo wanajaa kwa HIDDEN pale mtaalamu wa mathematics 😅
 
Kabla Ya Tamko la Hayati Magufuli, Div 3 walikuwa wakienda Advance mkuu, vuta kumbu kumbu vizuri
Naunga hoja,.. Mzee wa Msoga alichangia msoto kwa vijana div 3 walizichukua juu juu
 
Umepigilia msumari wa Moto kweny kidonda ,waache waisome namba😅,Kuna haja ya mabadiliko kusema kweli Maana advance inaweza sababisha low life span
Watu waache kulia. Mimi huwa najipa moyo angalau sikuwahi kusoma tuition kabisa. Likizo zangu zote za A-level nilikuwa napiga vibarua vya ujenzi.... hiyo ndo miaka nilijua mitaa yote ya Arusha. Kilichonisaidia nilipata rafiki yangu aliyenifundisha topics karibu zote za hesabu na physics wakati naingia form six. Ndani ya hiyo miezi ya form six nilipiga msuli ambao hauelezeki. Matokeo yanakuja ninachekelea. Mungu ambariki sana yule jamaa yangu maana bila yeye ningepiga zero au four. Bila yeye ningechelewa sana kuijua Dar. 😄
 
Back
Top Bottom