Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
- Thread starter
- #21
Hapan mkuu nmepropose reason natak mawazo yenu na maoni ,njia zipi zitumike?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nakubaliana na wew tuwalipe walimu mshahara mkubwa kuzuia uvivu wao ,suala la private kufaulisha Lina factor nyingi kwasabab hata shule za serikal znafaulish pia ,una hakika vitabu wanavyotumia feza ni ivo ivo vya Pugu au Minaki!!Hata mimi nina experience, na nimesoma PCM. Walimu waliopo hawatoshelezi mahitaji, walimu wengi wamejazana mijini tu. Pili nimekwambia ili watu wafauluu kinachotakiwa ni kuboresha miundo mbinu kwa maana ya madarasa, laboratory nzuri yenye vifaa, Library nakadhalika, cha pili waboreshe maslahi ya walimu...
Ngono sio sababu mkuu ,ukisema waache ngono kama solution ya kutatua tatizo utakua unatoka kweny mstariAcheni Ngono someni
Mimi nimefundisha hapo Temeke Advance wanafunzi mnatombana Sana.
Mwanafunzi smart hawezi kufeli Advance pia huko vijijin ngono imetawala . Serikali naomba Alama ziongezwe za kutoka Advance kuja chuo kikuu Angalau D inabidi Kuanzia 65+
Afu pia huwez sema shule za boarding nazo wanafany madudu especially boys tupu au girls tupu ,special case wapo waliofaulu vizur tu o level lakn advance panagoma ,tupe tatzo kuu na namna ya kulitatuaAcheni Ngono someni
Mimi nimefundisha hapo Temeke Advance wanafunzi mnatombana Sana.
Mwanafunzi smart hawezi kufeli Advance pia huko vijijin ngono imetawala . Serikali naomba Alama ziongezwe za kutoka Advance kuja chuo kikuu Angalau D inabidi Kuanzia 65+
Ni ngumu kucover hiyo sylabus kwa muda wa miezi 16. Ninao rafiki zangu walisoma Feza miaka hiyo.Na jamaa walichokuwa wakikifanya ni kuwa kwanza shule zinafunguliwa pindi tu matokeo ya form 4 yanapotoka.Hata mimi nina experience, na nimesoma PCM. Walimu waliopo hawatoshelezi mahitaji, walimu wengi wamejazana mijini tu. Pili nimekwambia...
Cha muhimu someni msiendekeze starehe vinginevyo hapo Udsm na Muhas mtabaki kupasikia tu! Watu wote wanapitia Magumu SanaAfu pia huwez sema shule za boarding nazo wanafany madudu especially boys tupu au girls tupu ,special case wapo waliofaulu vizur tu o level lakn advance panagoma ,tupe tatzo kuu na namna ya kulitatua
Shukrani ,kwa sisi tushavuka izo level lakn sio vema kufumbia macho hili sualaCha muhimu someni msiendekeze starehe vinginevyo hapo Udsm na Muhas mtabaki kupasikia tu! Watu wote wanapitia Magumu Sana
Omba Mungu + Commitment
Qumer wewe...inaonekana ni la 7 FailureKati ya syllabus Elimu zilizo bora hapa Bongo ni Hii level ya Advance, Hizi zingine ni wizi Mtupu.
Hizo mbili tu ni sawa na Chemistry yote ya OlevelOrganic chemistry na Inorganic chemistry tu inaweza amua upate F au C ya chemistry
Walimu wengi wa kata advance kwa science wanafundishia hela.Sawa nakubaliana na wew tuwalipe walimu mshahara mkubwa kuzuia uvivu wao ,suala la private kufaulisha Lina factor nyingi kwasabab hata shule za serikal znafaulish pia ,una hakika vitabu wanavyotumia feza ni ivo ivo vya Pugu au Minaki!!
Pamoja na hayo...wasipopenyezewa pepa wanasugua miswaki kama kawaidaNi ngumu kucover hiyo sylabus kwa muda wa miezi 16. Ninao rafiki zangu walisoma Feza miaka hiyo.Na jamaa walichokuwa wakikifanya ni kuwa kwanza shule zinafunguliwa pindi tu matokeo ya form 4 yanapotoka.
Wakati ninyi wa serikali mnangojea selections mjue mnapelekwa wapi wao huko washaanza kusoma na kila somo lina walimu sio chini ya watatu. Nakumbuka miaka ile kulikuwa kuna ticha mzuri sana wa physics alikuwa akifundisha tuition pale mwenge ITV huku pia anafundisha feza alikuwa akiitwa Mtiiga.
Yaani huku sisi wa Gov't ndio tunafunga likizo ya mwezi wa 6 wao kule washamaliza sylabus ya form 5 wanakimbizana na ya form 6...sisi huku tukianza form 6 wao washamaliza syllabus ya form 6...wanapiga practicals na mitihani kwa kwenda mbele.
Hivi ndivyo feza,almuntazir n.k wanavyofanya na bado mwisho wa siku wanapenyezewa pepa za Necta. Yaani usipofaulu shule zile wewe jua kuwa ni kilaza wa kiwango cha SGR
Kashindwa kutumia uhalisia ,watu tupo nao kabisa ukimwambia nakurudisha advance na bonus juu ,mtu anakwambia hapana Bora nife😅🙌 na cheti ana ufaulu mzuri tu,Advance hapafaiQumer wewe...inaonekana ni la 7 Failure
Kusogeza madesa kwanza ngumu Teacher anaona ya nn asumbuke syllabus imekaza hatariWalimu wengi wa kata advance kwa science wanafundishia hela.
Mimi nlisoma PCB
Masomo yote tulikuwa tunalipia 5, 000 au 10, 000 kwa topic...msipotoa mwalimu haonekani darasani
nimesoma post yako mkuu mabadiliko ayaitajiki ktk masomi ya science tu bali yanaitajika katika sekta nzima ya elimu ebu pitia hii post yang alaf utaelewa namaanisha nnWanafunzi wengi wa Advance wamejikuta kwenye hali ngumu hususani kwenye masomo ya Mathematics, Physics, Chemistry na Biology
Kwanza, Mambo ya kujifunza ni mengi sana (materials) bila kupima uwezo wa ubongo wa mwanafunzi ivo kupelekea kufeli
Pili,Uchache ama ufinyu wa mda, miaka miwili kwa mwanafunzi wa PCB, PCB ni ngumu kumfanya aelewe kila kitu na inapelekea wengi kukariri tu masomo kama form one.
Tatu, Kukosekana kwa vitabu vyenye kukamilika (contents) zote zitakazoweza kumsaidia mwanafunzi kuelewa Jambo kiundani mfano vitabu vya TIE (physics, Chemistry, Mathematics and Biology) havijitoshelezi.
Hivyo Wadau wa Elimu kwa kushirikiana na Wizara haina budi kutatua tatizo hili. Maana itazalisha wataalamu nyanja za juu wasio na ubora unaohitajika.
Nakaribisha maoni na proposal zipi zifanyike kusolve hili suala
Sawa sawa mkuu nmepitia andiko lako kwa umakini wa hali ya juu ,Elimu yetu inahitaji mabadiliko from bottom mpk vyuo vikuu ili kuendana na soko la ajiranimesoma post yako mkuu mabadiliko ayaitajiki ktk masomi ya science tu bali yanaitajika katika sekta nzima ya elimu ebu pitia hii post yang alaf utaelewa namaanisha nn
Thread 'Elimu ni mwanga ila kwa upande huu ni giza' SoC 2022 - Elimu ni mwanga ila kwa upande huu ni giza