Wizara ya Elimu ipitie upya Mtaala wa Masomo ya Sayansi wa A-Level

Hapan mkuu nmepropose reason natak mawazo yenu na maoni ,njia zipi zitumike?
 
Sawa nakubaliana na wew tuwalipe walimu mshahara mkubwa kuzuia uvivu wao ,suala la private kufaulisha Lina factor nyingi kwasabab hata shule za serikal znafaulish pia ,una hakika vitabu wanavyotumia feza ni ivo ivo vya Pugu au Minaki!!
 
Ngono sio sababu mkuu ,ukisema waache ngono kama solution ya kutatua tatizo utakua unatoka kweny mstari
 
Afu pia huwez sema shule za boarding nazo wanafany madudu especially boys tupu au girls tupu ,special case wapo waliofaulu vizur tu o level lakn advance panagoma ,tupe tatzo kuu na namna ya kulitatua
 
Hata mimi nina experience, na nimesoma PCM. Walimu waliopo hawatoshelezi mahitaji, walimu wengi wamejazana mijini tu. Pili nimekwambia...
Ni ngumu kucover hiyo sylabus kwa muda wa miezi 16. Ninao rafiki zangu walisoma Feza miaka hiyo.Na jamaa walichokuwa wakikifanya ni kuwa kwanza shule zinafunguliwa pindi tu matokeo ya form 4 yanapotoka.

Wakati ninyi wa serikali mnangojea selections mjue mnapelekwa wapi wao huko washaanza kusoma na kila somo lina walimu sio chini ya watatu. Nakumbuka miaka ile kulikuwa kuna ticha mzuri sana wa physics alikuwa akifundisha tuition pale mwenge ITV huku pia anafundisha feza alikuwa akiitwa Mtiiga.

Yaani huku sisi wa Gov't ndio tunafunga likizo ya mwezi wa 6 wao kule washamaliza sylabus ya form 5 wanakimbizana na ya form 6...sisi huku tukianza form 6 wao washamaliza syllabus ya form 6...wanapiga practicals na mitihani kwa kwenda mbele.

Hivi ndivyo feza,almuntazir n.k wanavyofanya na bado mwisho wa siku wanapenyezewa pepa za Necta. Yaani usipofaulu shule zile wewe jua kuwa ni kilaza wa kiwango cha SGR
 
Umesema ukweli mtupu Exactly,izo mbinu haziepukiki na wanafanya ivo kutokana na ugumu wa syllabus ,tatzo kuu ni syllabus MDA, CONTENTS NYINGI(MATOPICS+ PRACTICAL),VITABU .
 
Afu pia huwez sema shule za boarding nazo wanafany madudu especially boys tupu au girls tupu ,special case wapo waliofaulu vizur tu o level lakn advance panagoma ,tupe tatzo kuu na namna ya kulitatua
Cha muhimu someni msiendekeze starehe vinginevyo hapo Udsm na Muhas mtabaki kupasikia tu! Watu wote wanapitia Magumu Sana
Omba Mungu + Commitment
 
Kwa kweli kwasisi slow learner advance ni basi tu,tulienda kufurahisha familia
 
Cha muhimu someni msiendekeze starehe vinginevyo hapo Udsm na Muhas mtabaki kupasikia tu! Watu wote wanapitia Magumu Sana
Omba Mungu + Commitment
Shukrani ,kwa sisi tushavuka izo level lakn sio vema kufumbia macho hili suala
 
Organic chemistry na Inorganic chemistry tu inaweza amua upate F au C ya chemistry
 
Sawa nakubaliana na wew tuwalipe walimu mshahara mkubwa kuzuia uvivu wao ,suala la private kufaulisha Lina factor nyingi kwasabab hata shule za serikal znafaulish pia ,una hakika vitabu wanavyotumia feza ni ivo ivo vya Pugu au Minaki!!
Walimu wengi wa kata advance kwa science wanafundishia hela.
Mimi nlisoma PCB
Masomo yote tulikuwa tunalipia 5, 000 au 10, 000 kwa topic...msipotoa mwalimu haonekani darasani
 
Pamoja na hayo...wasipopenyezewa pepa wanasugua miswaki kama kawaida
 
Qumer wewe...inaonekana ni la 7 Failure
Kashindwa kutumia uhalisia ,watu tupo nao kabisa ukimwambia nakurudisha advance na bonus juu ,mtu anakwambia hapana Bora nife😅🙌 na cheti ana ufaulu mzuri tu,Advance hapafai
 
Walimu wengi wa kata advance kwa science wanafundishia hela.
Mimi nlisoma PCB
Masomo yote tulikuwa tunalipia 5, 000 au 10, 000 kwa topic...msipotoa mwalimu haonekani darasani
Kusogeza madesa kwanza ngumu Teacher anaona ya nn asumbuke syllabus imekaza hatari
 
nimesoma post yako mkuu mabadiliko ayaitajiki ktk masomi ya science tu bali yanaitajika katika sekta nzima ya elimu ebu pitia hii post yang alaf utaelewa namaanisha nn
Thread 'Elimu ni mwanga ila kwa upande huu ni giza' SoC 2022 - Elimu ni mwanga ila kwa upande huu ni giza
 
Sawa sawa mkuu nmepitia andiko lako kwa umakini wa hali ya juu ,Elimu yetu inahitaji mabadiliko from bottom mpk vyuo vikuu ili kuendana na soko la ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…