Wizara ya Elimu liwekeni sawa hili la watoto kutoka shule saa 11:30 jioni

Wizara ya Elimu liwekeni sawa hili la watoto kutoka shule saa 11:30 jioni

Hii kitu itawaumiza sana watoto,kuna mtoto mmoja 5yrs anaamshwa saa 11 asubuhi,gari inawapitia 11:30 alfajili na anarufi 12:00 jioni hadi huruma.Ndani ya hizi siku mtoto amedhoofika kabisa,Wazazi inatakiwa tuangalie hata shule za kupeleka watoto siyo mashindano tuu or school bus itamuacha mara Junio junio,,,Nikole nikole n.k kumbe tunaleta athari kubwa ubongoni mwa Watoto
hahahaaa eti JUnior Junior Nicole Nicole...ndo majina tunayowapatia watoto wetu hayo..uzungu uzungu tuu
 
Suala la watoto kurudi majumbani usiku halijaanza leo, tena ni dathramu tu... mikoani hata wakitoka saa 11 nusu saa tu wamefika nyumbani.

Dathramu mnajua matatizo yenu ya usafiri, na hata wazazi mashindano kupeleka watoto shule za mbali.

Elimu sio mateso!
 
Back
Top Bottom