Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Sio afungiwe ashauriwe tu awe na kiasi.
Pia historia ya huyo mwalimu ifuatiliwe hasa tabia zake baada ya kazi. Mienendo yake ichunguzwe maana ni nadra sana kijana wa kiume aliye lijari kukata mauno kitaalam namna hiyo.
Tusimhukumu kabla ya uchunguzi.
Naungana na wewe kabisa kwenye hili......
Mtoto wa kiume mauno hayo hadharani hivyo.......hapana kwa kweli.......