Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madhara ya hii njaa tutayaona miaka michache baade.
Siasa zimechangia serikali kuingia huu mkenge.
Ni Government opportunity kwani private na veta vyote vipo chini ya mfumo wa elimu ya serikali. Hata mitihani inaandaliwa na kupitishwa na serikali. Chakuzingatia ni kuwa, maadili yetu hayaruhusu Mzazi kukaa darasa moja na watoto.Angalau wewe umesema ukweli.
Ukipata mimba serekali inakufukuza kwenye mfumo wake wa elimu.
Ina maana ni mzazi kwenda private au Veta, ambayo huwezi kusema ni government opportunity.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaposema ataendelea na masomo baada ya kujifungua na kulea mtoto sio kwenye secondary! Bali vyuo au VETA au QT!Wale Lumumba walivyojaaliwa kukosa aibu watajifanya ni juhudi za Magu
Hizo siasa tu kijana! Ukipata mimba mpaka unazaa ni mwaka mmoja (yaani miezi 10). Ongeza miaka 2 ya kunyonyesha miaka 3 imeishapotea. Sasa atarudi asome secondary hipi? Hapa ni kwenda veta tu, wala sio secondary zetu! Weeee kalaghabao!Kama ni kweli shukrani zimfikie mhe. Zitto Kabwe hata kama alikwiaha uawa kwa maamuzi ya bunge.
Nchi maskini zingekuwa binadamu tungezifananisha na mwanaume hasiye na nguvu za kiume.Mkuu bepari ni bepari tuu anajua jinsi ya kukuminya ukose pumzi
Hii inaitwa ruti ndefu pumzi fupi
Sent using Jamii Forums mobile app
haya mzee wa pingamizi awaambie jamaa watupe mkopo basi walichokitaka tayariKatika kile kinachoonekana kama kupiga hatua kwenye uelekeo sahihi, wizara ya elimu kupitia katibu mkuu wake Dr. Leonard Akwilapo imekanusha madai ya kuwa watoto wa kike waliopo mashuleni watapimwa mimba kwa lazima.
Taarifa hiyo iliyotolewa tarehe 06-03-2020 imefafanua kuwa kauli ya kuwapima mimba wanafunzi haikutoka wizara ya elimu, na pia hakuna sera wala sheria yoyote inayowaelekeza wakuu wa shule au mamlaka nyingine yeyote kuwapima mimba kwa lazima wanafunzi wa kike.
Pia kwenye taarifa hiyo, wizara imesema mwanafunzi atakaye bainika kuwa na ujauzito, atapewa muda wa kutosha kumttunza mtoto wake mchanga na baadaye katika muda sahihi ataruhusiwa kuendelea na masomo.
View attachment 1381582
Kiingereza bado nitatizo kwa baadhi yawatu hum jf. Tatizo hapa ni neno opportunity siyo shall! Wangetumia neno shall! Hapo mgesema serikari imesalim amri.Katika kile kinachoonekana kama kupiga hatua kwenye uelekeo sahihi, wizara ya elimu kupitia katibu mkuu wake Dr. Leonard Akwilapo imekanusha madai ya kuwa watoto wa kike waliopo mashuleni watapimwa mimba kwa lazima.
Taarifa hiyo iliyotolewa tarehe 06-03-2020 imefafanua kuwa kauli ya kuwapima mimba wanafunzi haikutoka wizara ya elimu, na pia hakuna sera wala sheria yoyote inayowaelekeza wakuu wa shule au mamlaka nyingine yeyote kuwapima mimba kwa lazima wanafunzi wa kike.
Pia kwenye taarifa hiyo, wizara imesema mwanafunzi atakaye bainika kuwa na ujauzito, atapewa muda wa kutosha kumttunza mtoto wake mchanga na baadaye katika muda sahihi ataruhusiwa kuendelea na masomo.
View attachment 1381582
Madhara ya hii njaa tutayaona miaka michache baade.
Siasa zimechangia serikali kuingia huu mkenge.
Kiingereza kinalitesa sana taifa hili. Mtu hajaelewa maana halisi anaanza kumshangilia Zito na kuiponda serikali. Technically hakuna chochote kilichobadirika, hayo aliyoandika katibu ndo sela iliyopo inasema hivo. Watanzania wengi wajinga ndo wanajiona wanajua zaidi. Tunaliangamiza taifaHamuelewi nyie, hawajawahi kukatazwa masomo shida wataendea na masomo wapi ndiyo big case.
Wamebadili gia angani. Asante World Bank!Ishukuriwe marekani.
Wamebadili gia angani. Asante World Bank!
Acha ujuaji, hiyo ni taarifa tu. Ukitaka hizo 'shall' nenda kasome sera ya elimu.Kiingereza bado nitatizo kwa baadhi yawatu hum jf. Tatizo hapa ni neno opportunity siyo shall! Wangetumia neno shall! Hapo mgesema serikari imesalim amri.
RUDINI SHULE MKASOME WOTE MLIOSHANGILIA ETI SERIKARI IMESALIM AMRI BADO FURUSA ZIPO.
Soma vizuri hiyo BaruaWataendelea wapi kwa wewe unavyofahamu?