Wizara ya elimu yakana kuwapima mimba watoto wa kike kwa lazima, yasema wataendelea na masomo baada ya kujifungua

Wizara ya elimu yakana kuwapima mimba watoto wa kike kwa lazima, yasema wataendelea na masomo baada ya kujifungua

Ni kweli hawajaweka full commitment. Lakini sera ya elimu iliyopo na inayotumika sasa inataka watoto wakishajifungua warudi shule ileile waliyokuwa wanasoma.
Na the right time hua ni mwaka wa masomo unaofuata, yaani mtoto atarudia darasa.
Lete hiyo sera humu

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Ajabu ni kuwa wale wale waliokuwa wanashangilia na kuipongeza serikali wakati kauli za kutosomesha wazazi zikitolewa ndio hao hao watakuja kushangilia na kupongeza serikali kwa kuruhuusu wazazi kuendelea na elimu
 
Kama haya ni ya kweli basi ni jambo jema, ilikua inaniumiza sana kuona mtoto yupo chini ya miaka 18 karubuniwa then kapata mimba then anafukuzwa shule kumbuka tunasema ni mtoto kwa sababu ni under 18 bado hajitambui halafu serikali ilikua inapoteza ndoto zake kabisa.
 
Hilo ndilo mkae msahau, siasa hamzijui vizuri nyie..! Mkumbuke tangie pale wasichana watakuwa ni wazazi wanategemewa na watoto wao sasa mbona hamtetei watoto watakao zaliwa au mnaona bora watoto wao wakawe machokaraa..?
tunataka waendelee katika formal system ya primary, secondary etc, siyo VETA na upuuzi mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona watu mnajenga matumaini yasiyokuwepo. Ukisoma kwa makini, barua hii haionyeshi serikali kujirudi baada ya kubanwa na Mabeberu na hasa ukiangalia kifungu cha mwisho. Hakuna kinachobadilika katika sera ya elimu ya sasa bado mtoto anayepata mimba ataweza kuendelea na masomo lakini sio kupitia mfumo rasmi wa elimu bali kwa kile serikali inachokiita "Education through alternative path"

View attachment 1381789
Kweli hilo neno "Tanzania has a system in place"
 
Ajabu ni kuwa wale wale waliokuwa wanashangilia na kuipongeza serikali wakati kauli za kutosomesha wazazi zikitolewa ndio hao hao watakuja kushangilia na kupongeza serikali kwa kuruhuusu wazazi kuendelea na elimu
Hivi umeelewa kilichoandikwa?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Ni kweli hawajaweka full commitment. Lakini sera ya elimu iliyopo na inayotumika sasa inataka watoto wakishajifungua warudi shule ileile waliyokuwa wanasoma.
Na the right time hua ni mwaka wa masomo unaofuata, yaani mtoto atarudia darasa.
Unazungumzia Sera ipi ya elimu; maana kuna Sera ya Elimu na Mafunzo ya 1995 na 2014 lakini katika sera zote hizo hakuna sehemu inasema kuwa mtoto anaweza kurudi shule baada ya kujifungua achilia mbali kuwa anaweza kurudi shule yake ya awali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado la tume huru ya uchaguzi, wazungu shikilieni hapo mpaka wazee wa siasa chafu wanyooke. Inatakiwa wapinzani wasusie uchaguzi mpaka ipatikane tume huru ya uchaguzi ipatikane. Na isipopatikana tuwekewe vikwazo vya kiuchumi.
Umeelewa kilichoandikwa au LUGHA ni ttz?Hahahahahahah
tapatalk_1583758411060.jpeg

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Unazungumzia Sera ipi ya elimu; maana kuna Sera ya Elimu na Mafunzo ya 1995 na 2014 lakini katika sera zote hizo hakuna sehemu inasema kuwa mtoto anaweza kurudi shule baada ya kujifungua achilia mbali kuwa anaweza kurudi shule yake ya awali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaongea vitu wasivyovijua.Hata huo waraka hakuna kilichobadilika ila kwakua Tanzania Lugha ya Malkia ni shida ndio maana wanaongea vitu vya ajabu ajabu.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Kiingereza kinalitesa sana taifa hili. Mtu hajaelewa maana halisi anaanza kumshangilia Zito na kuiponda serikali. Technically hakuna chochote kilichobadirika, hayo aliyoandika katibu ndo sela iliyopo inasema hivo. Watanzania wengi wajinga ndo wanajiona wanajua zaidi. Tunaliangamiza taifa
Wengi hawakuelewa wanatririka tu kwa kumfuata aliyewatafsiria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi hawakuelewa wanatririka tu kwa kumfuata aliyewatafsiria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahah nimecheka sana.Yaani Watanzania wavivu sana kujisomea na shida nyingine LUGHA YA MALKIA ni Ttz. Huyo aliyetafsiri sijui kama anajua kiingilish hahahahahahah

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Umeelewa kilichoandikwa au LUGHA ni ttz?Hahahahahahah View attachment 1382003

Senti bai yuzingi tecno T301

Unajichekelesha nini dogo? Wakati nachangia wala hicho ulichoweka hapa hakikuwepo, na hata kingekuwepo bado nilichomaanisha ni kuwa kilichotelekezwa na serikali ni shinikizo la wazungu, na iwapo wazungu watakaza uzi kwenye tume huru ya uchaguzi, ni lazima itapatikana.
 
Back
Top Bottom