Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Unafikiri ni jambo rahisi kijana mdogo anasoma huku analea mtoto wake?
Huu utaratibu mpya unaondoa ule wasiwasi wa mwanafunzi kuzaa akiwa shuleni tena akiwa na umri mdogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri ni jambo rahisi kijana mdogo anasoma huku analea mtoto wake?
Tume huru na ikiwezekana mgombea binafsi ndio ushindi mkubwa kwa wapenda demokrasia na mabadiliko ya kweli.Bado la tume huru ya uchaguzi, wazungu shikilieni hapo mpaka wazee wa siasa chafu wanyooke. Inatakiwa wapinzani wasusie uchaguzi mpaka ipatikane tume huru ya uchaguzi ipatikane. Na isipopatikana tuwekewe vikwazo vya kiuchumi.
Angalia vizuri, wamebadilisha tangazo, lile la awali lilikua na implication kuwa watoto wangepewa nafasi ya kuendelea na masomo, BTW hata wanaochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza ni 'opportunity', huwezi kuifunga serikali ikikunyima nafasi hiyo. Hakunaga 'shall' kwenye mambo haya.Opportunity mzee ni fulsa , na ukisema fulsa maana yke nikwenda qt, vetta nk. Kama wangetumia shall basi tungesema serikari imesalim amri! Maana ingekuwa lazima.
Kwahiyo hiyo barua mpaka uwe mweledi kuisoma lakini uwe unajua kuvunja mayai kisawasawa vinginevyo unaweza kubeba jiwe lakuponda mwizi hafu likakomea juu baada yakuona sura ya mwizi😎😎
Unadhani kwanini wametoa ya pili?Wewe hata hiyo Barua ya kwanza mbon iko clear?Shida lugha?
Senti bai yuzingi tecno T301
Kiazi kweli wewe, katibu mkuu analazimika kutoa barua ya pili na kuifuta ile ya awali wewe unasema ziko sawa, watanzania mnashida vichwani.Hata hiyo ya awali mbona iko clear na Hakuna kilichobadilika?Mkuu hujui kiingilish?
Senti bai yuzingi tecno T301
Wizara wamebadili gia angani, msimamo uko palepale.Haku nawaambia habari hii kama ni kweli wanafunzi huko mtaani wanagongwa saizi...
ni sawa na kuruhusu mapenzi..... Tena ngono zembeee
mbona liko wazi sana ndg!Opportunity mzee ni fulsa , na ukisema fulsa maana yke nikwenda qt, vetta nk. Kama wangetumia shall basi tungesema serikari imesalim amri! Maana ingekuwa lazima.
Kwahiyo hiyo barua mpaka uwe mweledi kuisoma lakini uwe unajua kuvunja mayai kisawasawa vinginevyo unaweza kubeba jiwe lakuponda mwizi hafu likakomea juu baada yakuona sura ya mwizi😎😎
liko wapi!?Wizara wamebadili gia angani, msimamo uko palepale.
Tatizo la watu ni shule.Wewe hata hiyo Barua ya kwanza mbon iko clear?Shida lugha?
Senti bai yuzingi tecno T301
Em PunguzA miheMko basi.. Soma tena. Hakuna tofauti yeyote.Update
Naona katibu mkuu kabadili gia angani, wameifuta ile taarifa ya awali na kuweka nyingine kama inavyo onekana hapa chini. Ni hatari kwelikweli.
Kwa minajili hiyo msimamo wa serikali ni uleule, watoto wa kike wataendelea kunyimwa fursa ya elimu wakipata mimba.
SAD
hata hivyo sitetei mimba mashuleni.Ahsante USA...
SERIKALI IMELAINISHA LUGHA...
Unajifanya mjuaji kwenye vitu usivyo vijua, serikali haiwezi kuweka 'shall' hapo hata siku moja, labda kama wewe ni mgeni na nyaraka za serikali. Serikali haiwezi kujifunga mikono kijinga kiasi hicho.Kuna jamaa alinunua gari harafu akaliandika nyuma.. TATIZO SHULE nahao waliotoa puvu wte kuwa serikari imesalim amri TATIZO CYO WAO ILA NI SHULE ndo maana niliwaambia mapema ilichopo hapo ni opportunity sio shall. Nikajibiwa nisome waraka.
duh! Kunawatu wanateseka na maendereo ya nchi hii kupitia kamanda mkuu Baba lao JPM
kunawatu wanatesekaaaaa!!! Nawaona nawaona!! Nabado kuna kongore la trump linakuja very soon.
Rudia kusoma, kama hauoni tofauti unalo tatizo mahala.Em PunguzA miheMko basi.. Soma tena. Hakuna tofauti yeyote.
pole mzee...Rudia kusoma, kama hauoni tofauti unalo tatizo mahala.
Mpe pole katibu mkuu wizara ya elimupole mzee...
Huyo jamaa Lugha ni shida. Hiyo ya kwanza yenyewe iko clear tu.Em PunguzA miheMko basi.. Soma tena. Hakuna tofauti yeyote.