Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama we jeuri na huna kitu jaribu uoneNjaa mbaya sana.
Yaani jirani anakupangia style ya maisha yako kisa anashika ela ya mchezo....hatari sana
Nenda ka download sera ya 2014 acha uvivu, ukiipata soma kipengele 3.3 kisha uje uendelee kubisha.Lete hiyo sera humu
Senti bai yuzingi tecno T301
Katibu amebadili gia angani, soma tena uzi linganisha hizo nyaraka mbili. Atakua kapigiwa simu na mzee baba.UMEELEWA lkn?
Senti bai yuzingi tecno T301
Wameifuta kwenye website ile taarifa ya awali kisha wakaweka nyingine. Nimezi attach zote mbili, itakua maagizo toka juu.Unajichekelesha nini dogo? Wakati nachangia wala hicho ulichoweka hapa hakikuwepo, na hata kingekuwepo bado nilichomaanisha ni kuwa kilichotelekezwa na serikali ni shinikizo la wazungu, na iwapo wazungu watakaza uzi kwenye tume huru ya uchaguzi, ni lazima itapatikana.
nielewesheHivi umeelewa kilichoandikwa?
Senti bai yuzingi tecno T301
Serikali imesalim amri?Sana yani
Opportunity mzee ni fulsa , na ukisema fulsa maana yke nikwenda qt, vetta nk. Kama wangetumia shall basi tungesema serikari imesalim amri! Maana ingekuwa lazima.Acha ujuaji, hiyo ni taarifa tu. Ukitaka hizo 'shall' nenda kasome sera ya elimu.
Kwani we ni polisi?Serikali imesalim amri?
Senti bai yuzingi tecno T301
Kimetekelezwa nini?Kuna kilichobadilika kutokana na misimamo ya serikali dhidi ya wenye MIMBA kurudi shule?Hayo ya kwenye tamko ni mapya?Hata hiyo Barua aliyotafsiri jamaa kawaingiza chaka coz iko clear serikali haijasalim amriUnajichekelesha nini dogo? Wakati nachangia wala hicho ulichoweka hapa hakikuwepo, na hata kingekuwepo bado nilichomaanisha ni kuwa kilichotelekezwa na serikali ni shinikizo la wazungu, na iwapo wazungu watakaza uzi kwenye tume huru ya uchaguzi, ni lazima itapatikana.
Sera ya nini wakati tamko liko hapa na umeleta mwenyewe?Kwamba shida ni Lugha au nini?Nenda ka download sera ya 2014 acha uvivu, ukiipata soma kipengele 3.3 kisha uje uendelee kubisha.
Ingia wizara ya Elimu, Hiyo barua sio ya leo. Pili Hata barua uliyopost mbona iko wazi?Shida ni Lugha au nini?Katibu amebadili gia angani, soma tena uzi linganisha hizo nyaraka mbili. Atakua kapigiwa simu na mzee baba.
Hata hiyo ya awali mbona iko clear na Hakuna kilichobadilika?Mkuu hujui kiingilish?Wameifuta kwenye website ile taarifa ya awali kisha wakaweka nyingine. Nimezi attach zote mbili, itakua maagizo toka juu.
Jibu swali kwanza,umeelewa kilichoandikwa?nieleweshe
Wewe hata hiyo Barua ya kwanza mbon iko clear?Shida lugha?Katika kile kinachoonekana kama kupiga hatua kwenye uelekeo sahihi, wizara ya elimu kupitia katibu mkuu wake Dr. Leonard Akwilapo imekanusha madai ya kuwa watoto wa kike waliopo mashuleni watapimwa mimba kwa lazima.
Taarifa hiyo iliyotolewa tarehe 06-03-2020 imefafanua kuwa kauli ya kuwapima mimba wanafunzi haikutoka wizara ya elimu, na pia hakuna sera wala sheria yoyote inayowaelekeza wakuu wa shule au mamlaka nyingine yeyote kuwapima mimba kwa lazima wanafunzi wa kike.
Pia kwenye taarifa hiyo, wizara imesema mwanafunzi atakaye bainika kuwa na ujauzito, atapewa muda wa kutosha kumttunza mtoto wake mchanga na baadaye katika muda sahihi ataruhusiwa kuendelea na masomo.
View attachment 1381582
Update
Naona katibu mkuu kabadili gia angani, wameifuta ile taarifa ya awali na kuweka nyingine kama inavyo onekana hapa chini. Ni hatari kwelikweli.
Kwa minajili hiyo msimamo wa serikali ni uleule, watoto wa kike wataendelea kunyimwa fursa ya elimu wakipata mimba.
SAD
View attachment 1382096
Zitto
Wanaongea vitu wasivyovijua.Hata huo waraka hakuna kilichobadilika ila kwakua Tanzania Lugha ya Malkia ni shida ndio maana wanaongea vitu vya ajabu ajabu.
Senti bai yuzingi tecno T301