Haijulikani marehemu kaacha wake wangapi na watotoKipi kimejili
Hayo mambo si personal sasa 😄Haijulikani marehemu kaacha wake wangapi na watoto
😂😂😂😂Huyo mwanahabari kazipata wapi hizo habari? Wanafamilia tilizeni makalio acheni kugombania mali za marehemu.
Mkisogezewa mic mkaropoka waandiahi watawasanua tu, na ndiyo kazi yao.
Umefumaniwa?Inasikitisha kuona chombo cha habari kinatoa taarifa za ndani za kifamilia kiasi kuleta taharuki na ugomvi kwenye familia.
Huu ni uandishi wa hovyo na unapaswa kupigwa marufuku.
Public figure hanaga privacyHayo mambo si personal sasa 😄
Ova
Kabisa,lazima watu wafukunyueePublic figure hanaga privacy
Mtanzania mimi nimeshindwa kabisa kichwani, ndani kuna nini! Yaani kila kitu anataka afanyiwe. Utasikia ''mamlaka tunaomba muingilie kati''. Huyo mtu au familia inayofanywa namna hiyo kwa nini wasiende mahakamani?Inasikitisha kuona chombo cha habari kinatoa taarifa za ndani za kifamilia kiasi kuleta taharuki na ugomvi kwenye familia.
Huu ni uandishi wa hovyo na unapaswa kupigwa marufuku.
nikajua faragha za vyumbaniInasikitisha kuona chombo cha habari kinatoa taarifa za ndani za kifamilia kiasi kuleta taharuki na ugomvi kwenye familia.
Huu ni uandishi wa hovyo na unapaswa kupigwa marufuku.