Wizara ya Habari na Michezo hamtutendei haki watu wa mikoani Mechi za Kitaifa

kabila01

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2009
Posts
4,235
Reaction score
4,964
Mara nyingi mechi kubwa kama hizi utakuta ni channel moja tu inayorusha live zingine uki-tune unakutana na story zingine na kama huna king'amuz chao mpaka uende bat au vibanda umiza.

Wito wangu: Ili kukuza uzalendo kwa timu yetu ya taifa hasa kwa sisi wananchi wa mikoani ingependeza kama Chanel zote zingerusha mechi hizi za taifa star ikiwemo na TBC mpaka watoto wetu wangeanza kuzoea kuipenda Timu ya Taifa lao.
 
Nadhani malengo ya TBC 2 yalikuwa hayo kinyume chake inapiga muziki usiku kucha tukio hili ambao wimbo wa taifa unaimbwa, Bongo zozo katoka Ulaya kaja, hawana habari.
 
Wizara haihusiki, mhusika ni Shirikisho la Soka Tanzania,TFF. Wizara inaweza kushauri tu.
 
Mara nyingi mechi kubwa kama hizi utakuta ni channel moja tu inayorusha live zingine uki-tune unakutana na story zingine na kama huna king'amuz chao mpaka uende bat au vibanda umiza.

Wito wangu: Ili kukuza uzalendo kwa timu yetu ya taifa hasa kwa sisi wananchi wa mikoani ingependeza kama Chanel zote zingerusha mechi hizi za taifa star ikiwemo na TBC mpaka watoto wetu wangeanza kuzoea kuipenda Timu ya Taifa lao.
Kama timu ya Taifa ilikuwa Afcon lakini TBC wakawa wanaonyesha " tunatekeleza " ndio iwe vimechi hivi ?
 
Mara nyingi mechi kubwa kama hizi utakuta ni channel moja tu inayorusha live zingine uki-tune unakutana na story zingine na kama huna king'amuz chao mpaka uende bat au vibanda umiza.

Wito wangu: Ili kukuza uzalendo kwa timu yetu ya taifa hasa kwa sisi wananchi wa mikoani ingependeza kama Chanel zote zingerusha mechi hizi za taifa star ikiwemo na TBC mpaka watoto wetu wangeanza kuzoea kuipenda Timu ya Taifa lao.
Kwani huko mikoani hakuna Azam?
 
Tumia Azam app
Kwa 1000 tu unaangalia mechi yote na mb zinabaki.
Swala la TBC kuonyesha mpira watu washapiga kelele sana kipindi cha AFCON
Kuna suala la network, kwa nn iwe mateso hivi kuangalia mechi ya Taifa star. Mechi kama hii wangeruhusu station zingine waoneshe
 
Back
Top Bottom