Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Nonsense 🐒View attachment 3686728
Wizara haina muda na utekaji
Wizara haina muda na mauaji
Waziri hutamsikia akizungumzia mkakati uliopo wa kuzuia na kukamata wauaji na watekaji
Wizara haina muda na maslahi ya watumishi wake
Wizara huiskii ikizungumzia mikakati ya uokozi licha ya idara ya zimamoto uokozi kuwa choka mbaya
Waziri huwezi kuisikia akisema idara ya uokozi imejipangaje na Elinino
Yeye anahangaika na mambo ya Insta, kuita na kusamehe celebrity wa Insta.
Nimsimsikia Mambaz 24 akimtuhumu Waziri kutuma watu. Unajiuliza hiyo ni kazi ya waziri? Licha ya kutokuona makosa ya maana ya Dudubaya kiasi cha Waziri kuacha kudeal na mambo ya msingi, serikali haina watendaji huko chini mpaka iwe ni level ya waziri?
Inasikitisha sana
Huyu kijana bado ana akili za kitoto not mentally matured.View attachment 3686728
Wizara haina muda na utekaji
Wizara haina muda na mauaji
Waziri hutamsikia akizungumzia mkakati uliopo wa kuzuia na kukamata wauaji na watekaji
Wizara haina muda na maslahi ya watumishi wake
Wizara huiskii ikizungumzia mikakati ya uokozi licha ya idara ya zimamoto uokozi kuwa choka mbaya
Waziri huwezi kuisikia akisema idara ya uokozi imejipangaje na Elinino
Yeye anahangaika na mambo ya Insta, kuita na kusamehe celebrity wa Insta.
Nimsimsikia Mambaz 24 akimtuhumu Waziri kutuma watu. Unajiuliza hiyo ni kazi ya waziri? Licha ya kutokuona makosa ya maana ya Dudubaya kiasi cha Waziri kuacha kudeal na mambo ya msingi, serikali haina watendaji huko chini mpaka iwe ni level ya waziri?
Inasikitisha sana
Not matured, kuna kazi nyingi za kufanya but anafuta attention ndogo ndogo, safari ni ndefuHuyu kijana bado ana akili za kitoto not mentally matured.
Nchi imetulia. Maisha yanaenda. Watanzania wanadili na michongo yao usiku na mchana bila noma wala nini. Usalama wa raia na mali zao ni wa uhakika. Unataka afanyeje?View attachment 3686728
Wizara haina muda na utekaji
Wizara haina muda na mauaji
Waziri hutamsikia akizungumzia mkakati uliopo wa kuzuia na kukamata wauaji na watekaji
Wizara haina muda na maslahi ya watumishi wake
Wizara huiskii ikizungumzia mikakati ya uokozi licha ya idara ya zimamoto uokozi kuwa choka mbaya
Waziri huwezi kuisikia akisema idara ya uokozi imejipangaje na Elinino
Yeye anahangaika na mambo ya Insta, kuita na kusamehe celebrity wa Insta.
Nimsimsikia Mambaz 24 akimtuhumu Waziri kutuma watu. Unajiuliza hiyo ni kazi ya waziri? Licha ya kutokuona makosa ya maana ya Dudubaya kiasi cha Waziri kuacha kudeal na mambo ya msingi, serikali haina watendaji huko chini mpaka iwe ni level ya waziri?
Inasikitisha sana
Hivi mnategemea vision gani kwa kiumbe kama huyu? Hii ni takataka kabisaView attachment 3686728