Wizara ya Madini imesema inafuatilia jiwe la bilioni 240 linalopigwa mnada Dubai, yasema ilipata taarifa mtandaoni

Ruby kilo 2 kitu gani, serikali ifatilie lipo jiwe lina tani 2 Mahenge lipo chini ya ardhi kilometers 3 taarifa zake zipo Mahenge wafatilie lina geological report,plus picha ya scanner iliyopigwa chini huko eneo la tukio, kuna kampuni ya USA ilitaka kulitoa Magufuli akawa ameingia wakashindwa.
Sasa ni Shamba la bibi watalitoa. Kama kilo 2 bilioni 246 vipi tani 2 ni tilioni ngapi. Mimi sioni mantiki ya serikali kukamua kodi watza masikini hali madini yamejaa KILA wilaya yanaibwa na wageni huku yakipita mipakani, maana mswahili aachi pesa.
 
Hivi kweli kabisaaa tunayo hayo ya kutosha tuu halafu wanafunzi wanakaa chini, Barabara hazipitiki, mmmh tujitafakari
Bro acha tu, unaweza kulia machozi....jiwe moja lina thamani ya bilioni 240, halafu sisi tuna maeneo yenye mawe mengi ya hivyo lakini hatuna madawati, hatuna vitabu, hatuna madawa kwenye hospital zetu, hatuna vifaa tiba n.k...UNAWEZA KULIA MACHOZI.
 
Hiyo ruby imetoroshwa kati ya 2016-19 wakati wa dikteta wa Chato ambaye alikuwa anajiamini kuwa analinda raslimali ya Taifa.
Mwambie bibi yako afatilie rasilimali za taifa, muache kujificha kwenye mgongo wa Magufuli, Magufuli aliisha wahi kamata almasi zilizokuwa zikitoroshwa taifa zima tulishudia, kama liliibwa wakati wa Magufuli kwanini mnada utokee sasahivi baada ya mwaka kufa Magufuli?
 
Eti haki yenu haitopotea, kwa kusema tu mpaka waangalie nyaraka maana yake hawana uhakika
 
Smuggling ya gemstone, fuel, arms, illegal drugs na human trafficking ndiyo biashara zinazongoza kwa ukubwa duniani.

Kupambana na hizi ni kazi ngumu sana. You can win some and lose some
US mwenyewe drugs zinamshinda
 
Mabegi ya Rais hayakaguliwi popote pale, hivyo yawezekana ikawa kweli
 
Smuggling ya gemstone, fuel, arms, illegal drugs na human trafficking ndiyo biashara zinazongoza kwa ukubwa duniani.

Kupambana na hizi ni kazi ngumu sana. You can win some and lose some
Plus usafirishaji wa wanyama na kwa yoyote anayetaka kufanikiwa hizi ndio dili za kufanya. Sio unakaa tu na umasikini hadi unakufa kizembe.
 
Shida hapa ni kwamba aliyehusika na hii deal si mimi wala wewe. Wengi wetu hapa, tumeshindwa kupiga pesa ndefu kama hizo kwa sababu hatuna access, otherwise, binadamu karibu wote ni majizi. Kelele zetu ni za kukosa opportunity kama hizo na si za nia njema.

Utasikia mtu anasema, yaani ukipiga pesa kama hiyo utaishi hadi kufa bila kufanya kazi.
 
Tukubali tumeshapigwa ... Haya mengine ni drama tupu..
 
Tani mbili unaijua ilivyo.maana kama wewe unajua hilo jiwe lipo sidhani kama serikali haijui.Na hao wageni sio kwamba wanaiba bsli wanachukua kwasababu tunawapa wenyewe.
 
Tani mbili unaijua ilivyo.maana kama wewe unajua hilo jiwe lipo sidhani kama serikali haijui.Na hao wageni sio kwamba wanaiba bsli wanachukua kwasababu tunawapa wenyewe.
Madini yapo mengi hata zaidi ya hayo sema sisi ni walinzi lakini si wamiliki wa raslimali zetu. Madini yote duniani yanamilikiwa na familia ya De beers family. Google Debeers family. Hii ndo hupanga thamani na bei ya madini yote duniani.
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…