Wizara ya Madini imesema inafuatilia jiwe la bilioni 240 linalopigwa mnada Dubai, yasema ilipata taarifa mtandaoni

Nchi hata kulinda Mali zake inashindwa.
 
CCM ni janga la Taifa ,chini ya uongozi wao tumeshuhudia wizi/ufisadi, na mambo ya hovyo kabisa, na Bado wanaendelea kulindana
 
Leo wa mbunge Mkinga, Dastan Kitandula ameuliza bungeni kuhusu jiwe la Tanzania linalopigwa mnada Dubai, Uarabuni. Naibu waziri wa madini amesema nao waliona mtandaoni na wanafatilia.

=====

Dansatan Kitandula: Mheshimiwa spika, jiwe la ruby lenye uzito wa kilo 2.8 lipo kwenye maonesho kwasasa Dubai na jiwe hili linasadikika linatoka Tanzania na kwamba siku chache zijazo kutakuwa na mnada wa kuuza jiwe hili. Je kama nchi tunanufaika vipi na mnada huo?

Naibu waziri wa Madini: Ni kweli mnamo tarehe 13 April mwaka huu wizara ya madini ilipata taarifa kupitia mitandao ya kijamii kwamba kuna jiwe la madini ya ruby lenye uzito wa kilo 2.8 na ambalo linadaiwa kuwa na thamani ya dola milioni 120 sawa na zaidi ya bilioni 240 ambalo limepewa jina la bald al hamal na ambalo linakwenda kuwekwa mnadani ndani ya siku 30 baada ya mfungo na jiwe hilo kudaiwa limetoka Tanzania.

Mara baada ya kupata habari hizi, wizara ya Maliasili imechukua hatua za haraka kutafuta kama habari ni za kweli na kama jiwe hili limetoka Tanzania na kwasababu jiwe hili limeshavuka mipaka lipo kwenye nchi nyingine.

Taarifa hizi sasa ambazo tunazikusanya zinahusisha nchi za Dubai na tayari tunafanya mawasiliano na ubalozi wetu kufuatilia ukweli, pia tumebaini mmiliki wa sasa wa jiwe hilo yuko nchini Marekani na mawasiliano naye tumeshafanya tangu jana.

Tutapopata nyaraka za usafirishaji kama kweli limetoka Tanzania, thamani na asili, nyaraka za mauzo tutaleta taarifa bungeni na kama ni la kwetu niwahakikishie watanzania haki yao haitapotea.

Pia, soma=> Ruby yenye thamani ya bil 276 ilisafirishwa kimagendo huko Dubai? Serikali haina taarifa ilifikaje

=> Mali yetu inauzwa mnada wa Dubai Madini ya Ruby

View attachment 2195200
Lakini hii dunia siielewagi kabisa, hivi hilo jiwe linafanya kazi gani hasa ktk Dunia hii kiasi liuzwe hizo pesa zote, kwenye haya madini kila mmoja hua ana story zake za madini yanatengeneza mala hiki na kile, ukiwataka ushahidi au japo walisha wahi kuona hakuna kitu, mtu kazaliwa hapo Shelui kakulia Singida na yupo Dar anauza maji anakwambia yanatengenezea Siraha, jiwe dogo hilo linauzwa billions za pesa, linarejeshaje hizo hela???
 
Leo wa mbunge Mkinga, Dastan Kitandula ameuliza bungeni kuhusu jiwe la Tanzania linalopigwa mnada Dubai, Uarabuni. Naibu waziri wa madini amesema nao waliona mtandaoni na wanafatilia.

=====

Dansatan Kitandula: Mheshimiwa spika, jiwe la ruby lenye uzito wa kilo 2.8 lipo kwenye maonesho kwasasa Dubai na jiwe hili linasadikika linatoka Tanzania na kwamba siku chache zijazo kutakuwa na mnada wa kuuza jiwe hili. Je kama nchi tunanufaika vipi na mnada huo?

Naibu waziri wa Madini: Ni kweli mnamo tarehe 13 April mwaka huu wizara ya madini ilipata taarifa kupitia mitandao ya kijamii kwamba kuna jiwe la madini ya ruby lenye uzito wa kilo 2.8 na ambalo linadaiwa kuwa na thamani ya dola milioni 120 sawa na zaidi ya bilioni 240 ambalo limepewa jina la bald al hamal na ambalo linakwenda kuwekwa mnadani ndani ya siku 30 baada ya mfungo na jiwe hilo kudaiwa limetoka Tanzania.

Mara baada ya kupata habari hizi, wizara ya Maliasili imechukua hatua za haraka kutafuta kama habari ni za kweli na kama jiwe hili limetoka Tanzania na kwasababu jiwe hili limeshavuka mipaka lipo kwenye nchi nyingine.

Taarifa hizi sasa ambazo tunazikusanya zinahusisha nchi za Dubai na tayari tunafanya mawasiliano na ubalozi wetu kufuatilia ukweli, pia tumebaini mmiliki wa sasa wa jiwe hilo yuko nchini Marekani na mawasiliano naye tumeshafanya tangu jana.

Tutapopata nyaraka za usafirishaji kama kweli limetoka Tanzania, thamani na asili, nyaraka za mauzo tutaleta taarifa bungeni na kama ni la kwetu niwahakikishie watanzania haki yao haitapotea.

Pia, soma=> Ruby yenye thamani ya bil 276 ilisafirishwa kimagendo huko Dubai? Serikali haina taarifa ilifikaje

=> Mali yetu inauzwa mnada wa Dubai Madini ya Ruby

View attachment 2195200
Vipi kama wakifuatilia na kugundua hilo jiwe liliuzwa wakati wa Magufuli?. Vipi kama wakija kugundua ni sehemu tu ya mawe yaliyomtajirisha Laizer mzee wa kimasai?.

Watanzania tunapenda sana fitina na uchimvi wa kisiasa, vitu vinavyoturudisha nyuma siku zote.
 
Huu upumbavu tu kujifanya eti hawajui lilifikaje huko.. wanaona watu wote ni misukule?? Hivi Chief Hangaya atangazwe burj Al Khalifa siku mbili nzima bure kweli??? Wanampenda sana au??? Unaweza kuta ule msafara wa EXPO DUBAI ndio uliondoka na huo mzigo...Za kuambiwa changanya na za kwako.
Wewe unaweza kuwa mtoto mdogo wa juzi kwa fikra zako hizi.
 
Leo wa mbunge Mkinga, Dastan Kitandula ameuliza bungeni kuhusu jiwe la Tanzania linalopigwa mnada Dubai, Uarabuni. Naibu waziri wa madini amesema nao waliona mtandaoni na wanafatilia.

=====

Dansatan Kitandula: Mheshimiwa spika, jiwe la ruby lenye uzito wa kilo 2.8 lipo kwenye maonesho kwasasa Dubai na jiwe hili linasadikika linatoka Tanzania na kwamba siku chache zijazo kutakuwa na mnada wa kuuza jiwe hili. Je kama nchi tunanufaika vipi na mnada huo?

Naibu waziri wa Madini: Ni kweli mnamo tarehe 13 April mwaka huu wizara ya madini ilipata taarifa kupitia mitandao ya kijamii kwamba kuna jiwe la madini ya ruby lenye uzito wa kilo 2.8 na ambalo linadaiwa kuwa na thamani ya dola milioni 120 sawa na zaidi ya bilioni 240 ambalo limepewa jina la bald al hamal na ambalo linakwenda kuwekwa mnadani ndani ya siku 30 baada ya mfungo na jiwe hilo kudaiwa limetoka Tanzania.

Mara baada ya kupata habari hizi, wizara ya Maliasili imechukua hatua za haraka kutafuta kama habari ni za kweli na kama jiwe hili limetoka Tanzania na kwasababu jiwe hili limeshavuka mipaka lipo kwenye nchi nyingine.

Taarifa hizi sasa ambazo tunazikusanya zinahusisha nchi za Dubai na tayari tunafanya mawasiliano na ubalozi wetu kufuatilia ukweli, pia tumebaini mmiliki wa sasa wa jiwe hilo yuko nchini Marekani na mawasiliano naye tumeshafanya tangu jana.

Tutapopata nyaraka za usafirishaji kama kweli limetoka Tanzania, thamani na asili, nyaraka za mauzo tutaleta taarifa bungeni na kama ni la kwetu niwahakikishie watanzania haki yao haitapotea.

Pia, soma=> Ruby yenye thamani ya bil 276 ilisafirishwa kimagendo huko Dubai? Serikali haina taarifa ilifikaje

=> Mali yetu inauzwa mnada wa Dubai Madini ya Ruby

View attachment 2195200
cjuw kama majibu yatakuwa bora.Kwakuwa dini linasemakana limetoka tz kwanini wizara isijuwe hadi ishtuke tu mali ipo nje ya thamani ndefu hivyo?Nilimsikia nadhani kiongozi wa dubai wakati akieleza akasema mali toka kwetuhapa.
 
Nilikua ninawacheka Congo kuwa pamoja na utajiri wa madini walionao bado wana low literacy level, high mortality rate. Kumbe tunasafiri nao katika boat moja.
My
Madini siyo yetu sisi ni walinzi tu
 
Wamekubali limetoka Tanzania?
Wewe una uhakika ni jiwe kutoka Tanzania?
Hukuiona hio video hao wenye mzigo ndio waliosema jiwe limetoka Tz sio mimi haahaahaa..mnaibiwa halafu mnajibaraguza..Afrika ni bara la giza na kuja kuendelea ni mpaka siku ya kiama actually wanasema mtu mweusi ni kiumbe dhaifu kinachochakura chakura kama nyani hakijui uthamani wake wala wa maisha yake very selfish human being.....miafrika ndivyo ilivyo.
 
Habari Kama hii nzito ikaandikwa mitandaoni Ni fedhea kwa nchi,hapo mmechengana nyie na mkataka msimpe mwenzenu mgao wa Hilo jiwe,kitu kimeshatoka mikononi mwako na Wala hukuona Wala kuhoji wakati jiwe Hilo linaondoka inaonyesha udhaifu wa usimamizi kwa Mali za kitanzania,jiwe liko sokoni na wewe unafuatilia kuwa lilitokea Tanzania au nchi gani,waziri na timu yako jitafakali kwa Hilo jiwe lililoenda nchi za kiarabu litawanyanganya tonge mlilogawana na mkamusahau mwenzenu.
 
Yote haya Ni kumshauri mama yenu kwa kumdanganya,ati ameupiga mwingi,hiyo makamba piga chini,abdalah kinana,na wengine wengi wanaosemwa kuwa kundi la msoga Bora uondoe sura hizo zinakudharirisha,kwa mie Ni mtu mdogo hamtanielewa Ila ujumbe umefika.
 
Hiyo ndio BABA JEN tena kama yule Twiga aliyekwea pipa bila passport hii ndio TZ yetu tuliyo izoea,mwingi unapigwa, asali zinalambwa na milango inafunguka mpaka Dubai.Sijui ndio ile misafara ya kipindi kile ya Dubai EXPO ya mzee wa Schedule Maintenance.
Leo wa mbunge Mkinga, Dastan Kitandula ameuliza bungeni kuhusu jiwe la Tanzania linalopigwa mnada Dubai, Uarabuni. Naibu waziri wa madini amesema nao waliona mtandaoni na wanafatilia.

=====

Dansatan Kitandula: Mheshimiwa spika, jiwe la ruby lenye uzito wa kilo 2.8 lipo kwenye maonesho kwasasa Dubai na jiwe hili linasadikika linatoka Tanzania na kwamba siku chache zijazo kutakuwa na mnada wa kuuza jiwe hili. Je kama nchi tunanufaika vipi na mnada huo?

Naibu waziri wa Madini: Ni kweli mnamo tarehe 13 April mwaka huu wizara ya madini ilipata taarifa kupitia mitandao ya kijamii kwamba kuna jiwe la madini ya ruby lenye uzito wa kilo 2.8 na ambalo linadaiwa kuwa na thamani ya dola milioni 120 sawa na zaidi ya bilioni 240 ambalo limepewa jina la bald al hamal na ambalo linakwenda kuwekwa mnadani ndani ya siku 30 baada ya mfungo na jiwe hilo kudaiwa limetoka Tanzania.

Mara baada ya kupata habari hizi, wizara ya Maliasili imechukua hatua za haraka kutafuta kama habari ni za kweli na kama jiwe hili limetoka Tanzania na kwasababu jiwe hili limeshavuka mipaka lipo kwenye nchi nyingine.

Taarifa hizi sasa ambazo tunazikusanya zinahusisha nchi za Dubai na tayari tunafanya mawasiliano na ubalozi wetu kufuatilia ukweli, pia tumebaini mmiliki wa sasa wa jiwe hilo yuko nchini Marekani na mawasiliano naye tumeshafanya tangu jana.

Tutapopata nyaraka za usafirishaji kama kweli limetoka Tanzania, thamani na asili, nyaraka za mauzo tutaleta taarifa bungeni na kama ni la kwetu niwahakikishie watanzania haki yao haitapotea.

Pia, soma=> Ruby yenye thamani ya bil 276 ilisafirishwa kimagendo huko Dubai? Serikali haina taarifa ilifikaje

=> Mali yetu inauzwa mnada wa Dubai Madini ya Ruby

View attachment 2195200
 
... tulipata taarifa "kupitia mitandao ya kijamii". Mbona yule mwehu alitamani ifungiwe?
Serikali chanzo cha habari ni mitandao ya jamii hii ni udhaifu wa hali ya juu afadhali ya huyo mwehu wako
 
Jiwe limeshatoka nje ya nchi ndio mnalifwatilia ni akili au matope?
 
Jiwe limetoka Tanzania kinyemela na Serikali imekiri kutokuwa na taarifa zake za mauzo na kusafirishwa kwake. Wanaolimiliki kwa sasa wametamka wazi kuwa linatoka Tanzania.
Ushauri wangu kwa Serikali, kupitia wizara ya madini, ishiriki mnada uliopangwa kuliuza na ihakikishe inalinunua upya, naamini uwezo wa kulinunua tena tunao na baada ya hapo tujitathmini kama kweli tunalinda raslimali zetu ipasavyo.
 
Back
Top Bottom