Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue siyo uzalendo tuMswahili mpe pesa chochote kitapita uzalendo bado ni sifuri kwa wengi
Sehemu za kutoka madina ndiyo zilivyo kuanzia tunduru, mahenge,matombo,winza mpwapwaBro acha tu, unaweza kulia machozi....jiwe moja lina thamani ya bilioni 240, halafu sisi tuna maeneo yenye mawe mengi ya hivyo lakini hatuna madawati, hatuna vitabu, hatuna madawa kwenye hospital zetu, hatuna vifaa tiba n.k...UNAWEZA KULIA MACHOZI.
Mzee hii ni gameHuwa mnapapatikia sana wazungu
Yaani anakuja na private jet kwenye mbuga akiwa kabeba makamera eti kaja kupiga picha kumbe mwizi
Mswahili anabeba mabegi hajui kuna nini ndani eti Potter
Haya mambo hYajaanza leoNchi inayotoa ruby ya bilioni 240 inasubiri pesa za msaada wa Uviko kujenga vyoo vya shule na vyumba vya madarasa.
Sehem zote za madina ndiyo zilivyoNilikua ninawacheka Congo kuwa pamoja na utajiri wa madini walionao bado wana low literacy level, high mortality rate. Kumbe tunasafiri nao katika boat moja.
Ungekuwa kwenye hii field ndiyo ungenielewaNo not me
I wish
Yes , wachimbaji wengi awajui thamani ya mawe.Kuna mmoja aliuza milioni 2 aliyenunua milioni 2 akaenda uza bilioni 26.Ndo game ya ilivyo.Issue siyo uzalendo tu
Swali huyo mwenye kulipata anafaidika vipi?
Unajuwa mchimbaji/mkulima anaweza kupata jiwe asilijue thamani yake sasa kama mchimbaji smart anaweza mtafuta broker ,na broker akiwa smart muelewa hapo wanaweza kulipiga hilo jiwe kwa bei ya juu
Kingine anaweza nunua jiwe mln 10,huyo akaenda liuza sehem mln 30,wa 30 akaenda liuza mln 60
So ni game hiyo inavyokuwa
Ova
Ndiyo game yenyew nnayo isemaYes , wachimbaji wengi awajui thamani ya mawe.Kuna mmoja aliuza milioni 2 aliyenunua milioni 2 akaenda uza bilioni 26.Ndo game ya ilivyo.
Kuna dogo aliiba gram tatu kwenye eneo letu kaenda uza laki 3, aliyenunua laki tatu kaenda uza milioni 70.
Uko mahenge nnYes , wachimbaji wengi awajui thamani ya mawe.Kuna mmoja aliuza milioni 2 aliyenunua milioni 2 akaenda uza bilioni 26.Ndo game ya ilivyo.
Kuna dogo aliiba gram tatu kwenye eneo letu kaenda uza laki 3, aliyenunua laki tatu kaenda uza milioni 70.
Nipo TANZANIA poteUko mahenge nn
Ova
Mchimbaji apollo hawezi kuwa tajiri hata siku moja anasota miaka analala kwenye turubai akipata anahamia guest kuukimbizana na sketi na chupa,kesho akiamini atapata zikisha anarudi kwenye turubai,mara paap uzee huu hapa.Ndiyo game yenyew nnayo isema
Hiyo
Kikubwa mchimbaj anatakiwa ajielewe au amshirikishe broker
Anayejitambua,angalau akiuza apige pesa ndefu
Ova
Teh teh haya banaNipo TANZANIA pote
Teh teh kwelu kabisaMchimbaji apollo hawezi kuwa tajiri hata siku moja anasota miaka analala kwenye turubai akipata anahamia guest kuukimbizana na sketi na chupa,kesho akiamini atapata zikisha anarudi kwenye turubai,mara paap uzee huu hapa.
Huku tunacheza na Pink,blue,red karibu lukande,Teh teh haya bana
Karibu pwaga tubangaize hela ya ugali
Ova