Wizara ya Madini imesema inafuatilia jiwe la bilioni 240 linalopigwa mnada Dubai, yasema ilipata taarifa mtandaoni

Wizara ya Madini imesema inafuatilia jiwe la bilioni 240 linalopigwa mnada Dubai, yasema ilipata taarifa mtandaoni

Na siingii ng’o
Kila mmoja anafanya anachojua au kwa mapenzi tu na kutafuta maisha
Ila mimi hata hapo kwenye dhahabu napaogopa
Dhahabu zamani nilikuwa nanunua kwa sonara na kuweka kama akiba na kila wakati najiwekea na baada ya miaka nauza
Ila sio kama mnunuzi kama biashara

Hiyo nawachia nyie wenye uzoefu
True simama na kile nyota yako au kipawa chako kinasemaje na moyo wako.
KILA mmoja kuna field yake ndo itakuja mtoa, ushahidi unaweza hangaika sana na Kazi nyingi ikaja kukutoa moja wapo ukasema ningejua toka mwanzo ningekuwa mbali.
 
Kweli maisha na kifo ni fumbo hujui kesho itakuwaje ila tunajitahidi tu na kujaribu mengi
Labda siku moja nikapata mzoefu na muaminifu nikajaribu you never know na ndio ikniongezea kipato changu
Asante kwa kuwapa moyo na wengine
 
True simama na kile nyota yako au kipawa chako kinasemaje na moyo wako.
KILA mmoja kuna field yake ndo itakuja mtoa, ushahidi unaweza hangaika sana na Kazi nyingi ikaja kukutoa moja wapo ukasema ningejua toka mwanzo ningekuwa mbali.
Mawe ya pisi inataka akili nyingi na utulivu
Ukienda kichwakichwa unakata mtaji wote
Acha nkomae na semi precious tu haha
Pisi labda itoke zali lakini syo kuitolea macho

Ova
 
Na siingii ng’o
Kila mmoja anafanya anachojua au kwa mapenzi tu na kutafuta maisha
Ila mimi hata hapo kwenye dhahabu napaogopa
Dhahabu zamani nilikuwa nanunua kwa sonara na kuweka kama akiba na kila wakati najiwekea na baada ya miaka nauza
Ila sio kama mnunuzi kama biashara

Hiyo nawachia nyie wenye uzoefu
Dhahabu uki master rahs

Kwanza unauza wakt wwt

Dhahabu haina sjui kreki,inclusion etc

Haha

Bei,soko like open

Sema utapeli upo

Ova
 
Dhahabu uki master rahs

Kwanza unauza wakt wwt

Dhahabu haina sjui kreki,inclusion etc

Haha

Bei,soko like open

Sema utapeli upo

Ova
Kuna mashine fulani hivi nataka niziingize kabla ya wachina hawajaanza kula dhahabu kwenye mito yetu, hizi flyboat pamoja na mwalo wake kwa siku unaweza chekecha mchanga tani 150 kwa masaa 16 SAwa na lori tano, hizi unaweka mtoni haziharibu mazingira zinapump mchanga wenye dhahabu toka majini kupandisha juu kwenye chekeche linalonasa dhahabu pekee kisha mchanga unarudishwa majini so we unatembea na mto wakati maji yamepungua hii kwa ajili ya dhahabu za vikole pekee. Kuna Mchina aliwahi leta moia mto lupa akatimuliwa. Wenye kujua nchi hii Ina mali ni wachina. Tuendelee kubakia mjini tukilalamika maisha magumu.

Proline-6-Inch-Dredge-With-Twin-GX270-And-HP500-Pumps.jpg

Customized-Professional-River-Mini-Gold-Dredger-Equipment-Supply.jpg

proline-gold-dredges-1(1).jpg
 
Kuna mashine fulani hivi nataka niziingize kabla ya wachina awajaanza kula dhahabu kwenye mito yetu,hizi flyboat pamoja na mwalo wake kwa siku unaweza chekecha mchanga tani 150 kwa masaa 16 SAwa na lori tano,hizi unaweka mtoni haziharibu mazingira zinapump mchanga wenye dhahabu toka majini kupandisha juu kwenye chekeche linalonasa dhahabu pekee kisha mchanga unarudishwa majini so we unatembea na mto wakati maji yamepungua hii kwa ajili ya dhahabu za vikole pekee. Kuna Mchina aliwahi leta moia mto lupa akatimuliwa. Wenye kujua nchi hii Ina mali ni wachina. Tuendelee kubakia mjini tukilalamika maisha magumu.

View attachment 2197641

View attachment 2197642

View attachment 2197643
Safi sana

We mtu potential kwangu

Naona tunaweza fanya kitu

Iko kma sluice machine hii

Ova
 
Dhahabu uki master rahs

Kwanza unauza wakt wwt

Dhahabu haina sjui kreki,inclusion etc

Haha

Bei,soko like open

Sema utapeli upo

Ova

Hapo kwenye dhahabu afadhali kuliko hayo mawe ndio mziki
Yaani huwa naona mtu anaweka picha na kuuliza haya Madini gani
Atapondwa hapo na kuambiwa hakuna kitu hapo huku wanamuambia njoo PM [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jiwe lenyewe Mbona halina thamani ya hiyo pesa Kwa tunaojua mawe alonunua itakua kapigwaaa mbaya hilo jiwe hata 50M tu halifiki kulinunua Tanzania nahisi alieuziwa hapa alipigwa hajui kitu masikini ..
Serikali nayo wameingizwa kingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] labda kama kuna jiwe jingine lakini kwa lile lililoonyweshwa Hapana milioni 5 tu ukilinunua bd utakua umelipa sana sana Sielewi ma value wa serikali sijui wanaogopa nao sbb Ndio vitu vishasambazo wanaogopa kusema ukweli maana wote wanaotoa povu hawana hata wanalojua kuhusu hii biashara ya mawe..
Watu tunaojua hii biashara wote tunaona ni vitu [emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni ngumu sana kuwapata wahusika, hiyo issue inahusisha pesa nyingi sana...

Hamna kitu halo alonunua kapigwaa hilo jiwe halina thamani hiyo serikali nayo sijui imefeli wapi [emoji1787]
 
Leo wa mbunge Mkinga, Dastan Kitandula ameuliza bungeni kuhusu jiwe la Tanzania linalopigwa mnada Dubai, Uarabuni. Naibu waziri wa madini amesema nao waliona mtandaoni na wanafatilia.

=====

Dansatan Kitandula: Mheshimiwa spika, jiwe la ruby lenye uzito wa kilo 2.8 lipo kwenye maonesho kwasasa Dubai na jiwe hili linasadikika linatoka Tanzania na kwamba siku chache zijazo kutakuwa na mnada wa kuuza jiwe hili. Je kama nchi tunanufaika vipi na mnada huo?

Naibu waziri wa Madini: Ni kweli mnamo tarehe 13 April mwaka huu wizara ya madini ilipata taarifa kupitia mitandao ya kijamii kwamba kuna jiwe la madini ya ruby lenye uzito wa kilo 2.8 na ambalo linadaiwa kuwa na thamani ya dola milioni 120 sawa na zaidi ya bilioni 240 ambalo limepewa jina la bald al hamal na ambalo linakwenda kuwekwa mnadani ndani ya siku 30 baada ya mfungo na jiwe hilo kudaiwa limetoka Tanzania.

Mara baada ya kupata habari hizi, wizara ya Maliasili imechukua hatua za haraka kutafuta kama habari ni za kweli na kama jiwe hili limetoka Tanzania na kwasababu jiwe hili limeshavuka mipaka lipo kwenye nchi nyingine.

Taarifa hizi sasa ambazo tunazikusanya zinahusisha nchi za Dubai na tayari tunafanya mawasiliano na ubalozi wetu kufuatilia ukweli, pia tumebaini mmiliki wa sasa wa jiwe hilo yuko nchini Marekani na mawasiliano naye tumeshafanya tangu jana.

Tutapopata nyaraka za usafirishaji kama kweli limetoka Tanzania, thamani na asili, nyaraka za mauzo tutaleta taarifa bungeni na kama ni la kwetu niwahakikishie watanzania haki yao haitapotea.

Pia, soma=> Ruby yenye thamani ya bil 276 ilisafirishwa kimagendo huko Dubai? Serikali haina taarifa ilifikaje

=> Mali yetu inauzwa mnada wa Dubai Madini ya Ruby

View attachment 2195200
mtanikumbuka. R.I.P MAGUFULI WAPIGAJI NDO WANAONGOZA TZ
 
Back
Top Bottom