Wizara ya Maji: Mfumo wa Maji uwe wa "Water Pipeline Grid" ya Taifa

Wizara ya Maji: Mfumo wa Maji uwe wa "Water Pipeline Grid" ya Taifa

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,446
Reaction score
1,645
Habari Tanzania !

Wizara ya Maji mnaonaje pawepo na "Water Pipeline" nchi zima kwaajili ya Uunganishaji wa maji kwenye Mikoa yote.

Watu waburudike wafurahie nchi yao.

Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi muungane kimajukumu na Wizara ya Maji; maana maji mengi yanapotea sehemu zenye Barabara na miundombinu inayoendana na hiyo.

Watu wa Dar es Salaam wanaweza tumia maji toka Kigoma ziwa Tanganyika au Mwanza ziwa Viktoria.

Karibu.
 
Back
Top Bottom