Wizara ya Maliasili na Utalii yatuhumiwa kutumia Tsh. 2.5B kuanzisha chaneli ya Urithi Festival nje ya Bajeti iliyopitishwa na Bunge

Kama source aliyotumia huyo mbunge ni hii, hasa hapo kwenye Urithi TV, napata wasiwasi na uwezo wake wa Kiinglish, lakini pia na mleta mada naye hapo ameonyesha ukihiyo kwenye hilo eneo.
Nyie watu siwezi kubishana na nyie, evidence hio hapo, CAG ni wa kwenu, Waziri ni wa kwenu, Report ni ya kwenu, TV ni ya kwenu. Mimi nimeonyeha tu ushahidi, basi
 
Unabishana na Report ya CAG? Kama una uwezo wa kubishana na Report ya CAG mimi nitaweza kweli kukujibu? Sitaweza Mkuu
Hapana sijabishana na repoti ya CAG, hizo ni querries zinazohitaji maelezo kabla ya kuhitimisha wizi na ufisadi ndugu! WMU wanaweza kuja na ushahidi wa maelezo ya kina baadae ukajikuta unashangaa na kuomba msamaha!

Nilichokuwa nataka kuona ni ufafanuzi wa kina juu ya matumizi yake ili kujua wapi imepigwa kama kweli watz tumepigwa! Haya maswali ni wazi yapo juu sana ya uwezo wako kwa kuwa ww umechukua querries hiyo kwa kushabikia kuwa sasa kigwa amekamatika! Umewahi sana kuanza kushangilia hata kama unachuki na HK!

Taarifa hizo nazohitaji zipo wizarani Elli Mshana, wakitaka kuzimwaga hapa tutajua na tutakuwa ktk mazingira mazuri ya kufikia hitimisho! Hiyo rpt ya CAG siyo final inataka maelezo ya kina ndg!
 
Nyie watu siwezi kubishana na nyie, evidence hio hapo, CAG ni wa kwenu, Waziri ni wa kwenu, Report ni ya kwenu, TV ni ya kwenu. Mimi nimeonyeha tu ushahidi, basi
Jaribu kuelewa Buda. Mimi naongelea hoja ya urirhi TV inayosemwa kuanzishwa wakati tayari kuna Tanzania Safari Channel. Ukisoma hiyo taarifa uliyoweka hakuna huyo kitu, bali TV unayozungumziwa ni moja. Ndio happy nikasema hapo Kiinglish kwa Mh.na.mleta mada ni changamoto, labda wawe wamepotosha makusudi.
 
Basi samahani nimeshindwa
 
Umewahi sana kuanza kushangilia hata kama unachuki na HK!
Sijawahi kuwa na chuki na mru, sijashangilia mahali popote kwa namna yoyote, mlitaka evidence nikawweka hapo, sasa mbona mnataka tuhamishe magoli tuanze kulumbana? Tujadili evidence Vs tuhuma sio personalities.
 
Elitwege,
Si usema tu ulitamani TL angekufa kabisa na zile risasi sema Mungu aliwaonyesha alivyo juu yenu? Chuki yenu inavuja damu aliyomwaga Lissu..

Zamu yake iliisha. Zamu yenu inakuja. Na siku hiyo ndiyo itajulikana nani yuko upande wa Mungu na yupi hayuko.

Kwa wizi mkubwa aliofanya Ndugai alipolazwa India, nisingetegemea leo awe mstari wa mbele kufichua malipo ya Lissu ambayo ni haki yake.

Kabla ya kumjadili Lissu na visenti alivyolipwa kihalali, Ndugai aseme alitumiaje billions za bunge kwa kulazwa miezi 3. Na kama Bunge litataka Lissu arudishe pesa waliyomlipa akiwa mgonjwa, watangaze na waseme lini wanazitaka. Zitachangwa ndani ya masaa..

You can't fool us all, not all the time.
 
Sijawahi kuwa na chuki na mru, sijashangilia mahali popote kwa namna yoyote, mlitaka evidence nikawweka hapo, sasa mbona mnataka tuhamishe magoli tuanze kulumbana? Tujadili evidence Vs tuhuma sio personalities.
Haya basi kama nimeeleweka hivyo, naomba unisamehe! Detail report itatolewa na WMU! Ngoja tuisubiri kabla ya jufikia hitimisho!
 
Waache wachezee. Season hii hakuna cha TAnapa.,TawA wala Ncca wote wataisoma number yaani hata waki shusha park fee na concessions fees watalii may be after 18 months na tusipokuwa makini majirani zetu watachangamka mapema kwa kuleta strategies ambazo zitafanya tourists waende kwao badala ya kuja Tz
 
He
Hebu warushie hata stategy moja ya kuwasaidie WMU waweze kuwapiku kenya!
 
Sijawahi vutiwa na ubora wa akili ya waziri huyu. Tangu akiwa Afya na hata hapo alipo. Naamini anastahili kuachwa nje ya barza. Kama wana nzega wanaona bado anawafaa, basi wabakli naye huko jimboni. Hafai kuwa ni figure ya kitaifa.
 
Tuliaaaa we kaa kmya
Acha kukwepesha magoli

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…