mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,568
- 6,424
Usitegemee ufafanuzi zaidi juu ya hili na usitegemee amekula peke yake, huyo unaemtegemea kama mtumbuaji ndo mlaji wa hiyo pesa hapo kwa waziri imepitia tu na hivyo vikao usikute ni hewa watu wamelipwa kidogo huku hesabu zimezidisha.
Sio kila anaewaongelea watu wenu wa ccm basi ni chama pinzani wengine ni ccm kama wewe hivyo muhemko wa vyama uweke pembeni uweze kuelewa kinachoongelewa.
Sio kila anaewaongelea watu wenu wa ccm basi ni chama pinzani wengine ni ccm kama wewe hivyo muhemko wa vyama uweke pembeni uweze kuelewa kinachoongelewa.
teWhaaat!? Wanagawana 2.5 B? Tena ktk awamu hii!? Hapana kuna jambo hapa, kuna namna hapa, hamjamuelewa HK, hawezi akawa mjinga kiasi hiki hata kama ni kuiba! Bado nasubiri taarifa rasmi ya mchanganuo wa hiyo 2.5 B! I 'm sure huyu daktari HK hataniangusha! 2.5B haiwezi ikatumika kwa vikao tu, labda kama vilifanyika mwezini! Mnaomchukia hasa wale wa ufipa muwe na subira msije aibika baada ya HK kuleta mkeka wake!