Wizara ya Maliasili na Utalii yatuhumiwa kutumia Tsh. 2.5B kuanzisha chaneli ya Urithi Festival nje ya Bajeti iliyopitishwa na Bunge

Bora hiyo wizara ya Kigwa angepewa Bashe ili atuletee majangili ya kisomali katika kipindi hichi cha corona wachukue nafasi ya Watalii wa kimagharibi
 
Hivi wewe mimba uliyonayo imeingia ubongoni kupitia mdomoni? Mada iliyopo mezani ni ya Said Nassoro kupiga zaidi ya 2bn, wewe unakuja na lisu hapa kama vile kakukula jicho pori

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bilioni umesema!? Tuletee na mnyumbuisho wa matumizi vs kilichokwapuliwa kabla ya kumtuhumu huyu njemba!
Maana watu wa ufipani hawachezi wala kukaa mbali na bla kadabra!
 
Bulembo naye ni mmoja kati ya wale kumi wa mh rais
 
Manunuzi ya ndege zote hizi yalipitishwa na Bunge?
Chato International Airport ujenzi wake ulipitishwa na Bunge?
SGR bajeti yake ilipitishwa na Bunge?
Hamna cha ajabu hapa,serikali hii wao wenyewe ni executive,wenyewe ni Bunge na wenyewe ni Mahakama!
Msituchoshe CDM


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umeharisha, katawaze halafu upumzike sasa ukisubiri buk 7
 
Kigwangallah katia aibu sana wizara ya maliasili Na utalii, alipaswa kufukuzwa Mara moja...
 
Wewe jamaa ni mpumbav aiseee sijapata ona!
 
Hapana, hakieleweki kwa kuwa hoja bilioni kutumika kwa kutangazia vivutio na utalii! Sasa hapo naona bajeti ya vikao!
Ndo huo wizi wenyewe sasa badala ya kutumika kwa ajili ya utalii wamekaa wakagawana huko kwenye vikao
 
Ndo huo wizi wenyewe sasa badala ya kutumika kwa ajili ya utalii wamekaa wakagawana huko kwenye vikao
Whaaat!? Wanagawana 2.5 B? Tena ktk awamu hii!? Hapana kuna jambo hapa, kuna namna hapa, hamjamuelewa HK, hawezi akawa mjinga kiasi hiki hata kama ni kuiba! Bado nasubiri taarifa rasmi ya mchanganuo wa hiyo 2.5 B! I 'm sure huyu daktari HK hataniangusha! 2.5B haiwezi ikatumika kwa vikao tu, labda kama vilifanyika mwezini! Mnaomchukia hasa wale wa ufipa muwe na subira msije aibika baada ya HK kuleta mkeka wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…