Wizara ya Maliasili na Utalii yatuhumiwa kutumia Tsh. 2.5B kuanzisha chaneli ya Urithi Festival nje ya Bajeti iliyopitishwa na Bunge

Usitegemee ufafanuzi zaidi juu ya hili na usitegemee amekula peke yake, huyo unaemtegemea kama mtumbuaji ndo mlaji wa hiyo pesa hapo kwa waziri imepitia tu na hivyo vikao usikute ni hewa watu wamelipwa kidogo huku hesabu zimezidisha.

Sio kila anaewaongelea watu wenu wa ccm basi ni chama pinzani wengine ni ccm kama wewe hivyo muhemko wa vyama uweke pembeni uweze kuelewa kinachoongelewa.
te
 
Aah, nimetulia kusoma mchango wako nikitegemea sasa unakuja na 'tangible evidence' na mnyumbuisho kumbe unaleta ngojera za kusadikika za ufipa za kufikiri fikiri, kudhanidhani tu! Umenipotezea muda wangu...omba msamaha!
 
Kwa mujibu wa Tweet na excerpt ya Ripoti iliyowekwa katika uzi huu;
Mbona Mheshimiwa ametafsiri tofauti na Ripoti ya CAG inavyosema?.


Nilivyoelewa andiko la CAG
Wizara na washirika wake(taasisi) wametumia Sh.Bilioni 2.58 nje ya bajeti iliyoidhinishwa na Bunge kwa ajili ya shughuli za 'Urithi Festival Celebration' na kutangaza utalii kupitia 'Tanzania Safari Chanel'

Na sio kuanzisha channel!
Afterall kwani kuna channel ya Urithi Festival?
 
Aah, nimetulia kusoma mchango wako nikitegemea sasa unakuja na 'tangible evidence' na mnyumbuisho kumbe unaleta ngojera za kusadikika za ufipa za kufikiri fikiri, kudhanidhani tu! Umenipotezea muda wangu...omba msamaha!
Shukrani kwa kusoma, hope umeelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…