Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel imetoa pole kuhusu kifo cha Joshua Mollel, Ubalozi wa Palestine hapa Tanzania umekaa kimya tu

Taarifa watakazokupa ni za kufanya uwachukie hamas ziwe za kweli au za uongo kama walivyozoea

KWANZA TOKEA LINI TUKIO KUBWA KAMA HILO MAINSTREAM MEDIA HATA ZA KWAO WENYEWE HAO WAYAHUDI KAMA BBC,CNN WAACHE KURIPOTI??

MAUAJI WANAFANYA WENYEWE KISHA WANATUPIA LAWAMA HAMAS,MAGAIDI KABISA HAO ISRAEL
 
HAYO MAUAJI WAMEFANYA HAO WENYEWE MAGAIDI WA TAIFA TUELE LA MUNGU KISHA WANASEMA NI HAMAS,PROPAGANDA ZA KIPUUZI KABISA
Mudi anakufanya vibaya sana na huyo Allahu Akbaru anawafundisha vibaya inakuaje mtu ambae hausiki na Vita yenu mnakimbilia kafir kafir pumbavu
 
KWANZA TOKEA LINI TUKIO KUBWA KAMA HILO MAINSTREAM MEDIA HATA ZA KWAO WENYEWE HAO WAYAHUDI KAMA BBC,CNN WAACHE KURIPOTI??

MAUAJI WANAFANYA WENYEWE KISHA WANATUPIA LAWAMA HAMAS,MAGAIDI KABISA HAO ISRAEL
Kwa hio hio page ya ubalozi ni ya mchongo? Mudi amewajaza ujinga kabisa
 
Taarifa watakazokupa ni za kufanya uwachukie hamas ziwe za kweli au za uongo kama walivyozoea
Soma andiko la Waziri wa mambo ya Nje wa Tanzania, Januari Makamba... Hamas ndio wameua... Sijui unatetea ujinga gani... Hamas wamekuwa wakiua raia hovyo hovyo tangu waanzishe vita, wamemiminia raia risasi... Katafute hizo video mtandaoni, wacha kutetea DINI yako, ambayo hao waarabu wenyewe wanaua Watu wetu... Unajaribu kuwasafisha HAMAS, na wenyewe wanakuonesha kuwa wao ni katili kwa kuendelea kuua raia wetu. Kwa hiyo utasema na Waziri wa Tanzania nae anawasingizia Hamas

Screenshot_20231217-192817_014202 (2).png
 
Wizara ya mambo ya Nje ya Israel, imetoa pole na kuoneshwa kusikitishwa kwa mauaji yaliyotendeka kwa kijana Joshua, kupitia ukurasa wa mitandao ya kijamii.

Ikumbukwe kuwa Israeli haina Ubalozi wowote Nchini Tanzania kwa miaka mingi, ila imekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa endapo kuna mtanzania kapata shida katika hiyo vita.
View attachment 2845971

Hata hivyo Tanzania inaitambua Palestina kama Nchi huru, na Palestina inaubalozi wake jijini Dar es salaam. Lakini Ubalozi huo umekuwa hautoi pole wala habari yoyote ya watanzania wanaopitia shida huko Palestine. Na ubalozi huo haujatoa tamko lolote kuhusu mauaji ya vijana wa kitanzania waliouwawa na wanamgambo wa kipalestina wanajulikana kama HAMAS.

Ubalozi huo haupambanii hata vijana wetu waliotekwa na wapalestina waachiwe. Yani wapo tu hapa Tanzania kama galasha, wanajua fika kabisa kwamba Watanzania wametekwa na kikundi chao cha Hamas ila wamekaa kimya
Wanafik waong hao, wamemuuwa wao.

Si kwanza walisema wameshikwa mateka na Hamas?

Wametafuta pakutokea wamepapata kwa wajinga ndiyo waliwao.
 
HAYO MAUAJI WAMEFANYA HAO WENYEWE MAGAIDI WA TAIFA TUELE LA MUNGU KISHA WANASEMA NI HAMAS,PROPAGANDA ZA KIPUUZI KABISA

Kwa hiyo hata waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania ambaye kidini nae ni Muislamu, kawasingizia Hamas kwa mauaji? Kwa hiyo wakiua Israel ni kweli, ila wakiua Hamas, wamesingiziwa? Fuatilia video mbalimbali uone namna HAMAS wanavyoua mateka.
Screenshot_20231217-192817_014202 (2).png
 
Soma andiko la Waziri wa mambo ya Nje wa Tanzania, Januari Makamba... Hamas ndio wameua... Sijui unatetea ujinga gani... Hamas wamekuwa wakiua raia hovyo hovyo tangu waanzishe vita, wamemiminia raia risasi... Katafute hizo video mtandaoni, wacha kutetea DINI yako, ambayo hao waarabu wenyewe wanaua Watu wetu... Unajaribu kuwasafisha HAMAS, na wenyewe wanakuonesha kuwa wao ni katili kwa kuendelea kuua raia wetu. Kwa hiyo utasema na Waziri wa Tanzania nae anawasingizia Hamas

View attachment 2846016
Mimi nawashauri kabla ya kusitishwa mapigano huko msiwapeleke. Mazayuni watawaua na wao wawatengenezee mchezo mwengine kama wa hawa vijana.
 
MAKAFIR WA BONGO WAO ISRAEL NI TAIFA TEULE LA MUNGU,DAMU YA ISRAEL NI TAKATIFU,CHOCHOTE WANACHOSEMA ISRAEL WAO NI SAWA.

HATA UBALOZI WA PALESTINA WAKISEMA KUW MAUAJI HAYO HAWAHUSIKI NAYO AU HAMAS WAKIKATAA KUHUSU HILO WAO HAWAWEZI KUKUBALI,AJABU TAARIFA YA MAUAJI IMETOKA KWA WAPINZANI WA HAMAS UTAWEZA VIPI KUIAMINI??
Alliwakibaru, ni lugha ya gani...

Muyahudi tangu lini anasema Aliwakibaru, Wayahudi wanazungumza kiebrania na si kiarabu
 
Kwa hio hio page ya ubalozi ni ya mchongo? Mudi amewajaza ujinga kabisa

ALIEWAJAZA UJINGA NYINYI NI YULE MSELA AMBAE MMEVALISHA CHUPI NA KUMTUNDIKA PALE MSALABANI KISHA MKAMUITA MUNGU??

TEH TEH TEH,MAKAFIR HAMNA AKILI HATA KIDOGO,SASA LILE SANAMU WEWE UNALIPIGIA MAGOTI NA KULIITA MUNGU NI AKILI AU MATOPE??

USIVYO NA AKILI SASA,KWANI UNADHANI UBALOZI WA ISRAEL UNAWEZA ZUNGUMZA ZURI LOLOTE KUHUSU HAMAS??WANASHINDWA NINI KUUUA WAO LAWAMA WAKAWAPA HAMAS??
 
Tumewapa Ubalozi kwa nini hawataki kusaidia watanzania, na wanawaua watu wetu wakati Nchi yetu inatambua uhuru wa palestina
Yaani wewe una mawazo ya kifala sana, wananchi wao wa palestina maelfu wamekufa halafu wamfikirie mtanzania mmoja au wawili??
 
Mimi nawashauri kabla ya kusitishwa mapigano huko msiwapeleke. Mazayuni watawaua na wao wawatengenezee mchezo mwengine kama wa hawa vijana.

NA KWELI,KAMA HAWASKII WAENDELEE KUWAPELEKA JAMAA ZAO,KWANZA ISRAEL UKIPELEKA NGOZI NYEUSI KULE MOSTLY WANAASIWA WASIWEZE KUZALISHA WANAWAKE WAO KULE,HAYA MAJITU HAYASKII KUTWA KUJIPENDEKEZA KWA THE SO CALLED TAIFA TEULE LA MUNGU,TAIFA TEULE LA MUNGU HILO LIPI??
 
Wanafik waong hao, wamemuuwa wao.

Si kwanza walisema wameshikwa mateka na Hamas?

Wametafuta pakutokea wamepapata kwa wajinga ndiyo waliwao.
Unahaha kisa katajwa Allahu Akbaru au sio ni nani huyo Allahu Akbaru kwanini wamemtaja sana wakati wakiwa wanaua kwa kumchoma kisu tumboni Josh ambae hakua hata na pin au kiwembe mkononi kutetea uhai wake kisha wanammiminia risasi na kumtaja Allahu Akbaru ni nani huyo Allahu Akbaru kwanini wamemtaja sana wakati wanatekeleza mauaji?
 
Wizara ya mambo ya Nje ya Israel, imetoa pole na kuoneshwa kusikitishwa kwa mauaji yaliyotendeka kwa kijana Joshua, kupitia ukurasa wa mitandao ya kijamii.

Ikumbukwe kuwa Israeli haina Ubalozi wowote Nchini Tanzania kwa miaka mingi, ila imekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa endapo kuna mtanzania kapata shida katika hiyo vita.
View attachment 2845971

Hata hivyo Tanzania inaitambua Palestina kama Nchi huru, na Palestina inaubalozi wake jijini Dar es salaam. Lakini Ubalozi huo umekuwa hautoi pole wala habari yoyote ya watanzania wanaopitia shida huko Palestine. Na ubalozi huo haujatoa tamko lolote kuhusu mauaji ya vijana wa kitanzania waliouwawa na wanamgambo wa kipalestina wanajulikana kama HAMAS.

Ubalozi huo haupambanii hata vijana wetu waliotekwa na wapalestina waachiwe. Yani wapo tu hapa Tanzania kama galasha, wanajua fika kabisa kwamba Watanzania wametekwa na kikundi chao cha Hamas ila wamekaa kimya
Kwa hiyo unataka kusemaje?? Watanzania ndio wamefufuliwa?

Mtu ashakufa ashakufa tu, hata yakija maelezo kibao hausaidii kitu
 
Mimi nawashauri kabla ya kusitishwa mapigano huko msiwapeleke. Mazayuni watawaua na wao wawatengenezee mchezo mwengine kama wa hawa vijana.
Fyeka mbali HAMAS... Mazayuni wamekuwa watu wetu wa karibu toka enzi na enzi, hata baada ya Nyerere kuwaletea shit ila bado wamekuwa nasi karibu...mimi nina mchizi wangu mpaka sasa yuko Israeli, tena chini ya uangalizi wa jeshi.

Screenshot_20231218-150037.jpg
 
NA KWELI,KAMA HAWASKII WAENDELEE KUWAPELEKA JAMAA ZAO,KWANZA ISRAEL UKIPELEKA NGOZI NYEUSI KULE MOSTLY WANAASIWA WASIWEZE KUZALISHA WANAWAKE WAO KULE,HAYA MAJITU HAYASKII KUTWA KUJIPENDEKEZA KWA THE SO CALLED TAIFA TEULE LA MUNGU,TAIFA TEULE LA MUNGU HILO LIPI??
Wewe ni gaidi unaeishi Tanzania
 
KWANZA TOKEA LINI TUKIO KUBWA KAMA HILO MAINSTREAM MEDIA HATA ZA KWAO WENYEWE HAO WAYAHUDI KAMA BBC,CNN WAACHE KURIPOTI??

MAUAJI WANAFANYA WENYEWE KISHA WANATUPIA LAWAMA HAMAS,MAGAIDI KABISA HAO ISRAEL
Propaganda za kijinga sana, wanajitekenya na kucheka wenyewe

Watu wana chuki sana na dini kuliko hayo mauaji

Wanaokufa kule ni wengi mno, hata waandishi wa aljazeera watatu washakufa
 
ALIEWAJAZA UJINGA NYINYI NI YULE MSELA AMBAE MMEVALISHA CHUPI NA KUMTUNDIKA PALE MSALABANI KISHA MKAMUITA MUNGU??

TEH TEH TEH,MAKAFIR HAMNA AKILI HATA KIDOGO,SASA LILE SANAMU WEWE UNALIPIGIA MAGOTI NA KULIITA MUNGU NI AKILI AU MATOPE??

USIVYO NA AKILI SASA,KWANI UNADHANI UBALOZI WA ISRAEL UNAWEZA ZUNGUMZA ZURI LOLOTE KUHUSU HAMAS??WANASHINDWA NINI KUUUA WAO LAWAMA WAKAWAPA HAMAS??
Kwa hio ndio wale magaidi wenzio wamuue Josh na kumtaja Allahu Akbaru sababu ndio hio au sio?
 
Back
Top Bottom