Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Ile ilopanda juu kabisaa,Pale jamgwani, ule mtosimbazi na mingine, natamani ijengwe kama ilivyo ile ya Italia
Yule mzee aAlaumiwe CCM na Nyerere
Huyu mzee angemsikiliza Kambona na akajishusha tungekuwa mbali sana. Ila kwa haya ya sasa wala tusimlaumu hayupoAlaumiwe CCM na Nyerere
Wameishia kula posho tu. Hata hawawazi mambo makubwa namna hiyo. Ni kufanya mambo bora liende tuPale jamgwani, ule mtosimbazi na mingine, natamani ijengwe kama ilivyo ile ya Italia
Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.Kwenu Wizara ya Ujenzi
Hizi ni barabara za Jiji la Biashara Luanda. Mji Mkuu wa Angola
Jifunzeni kuwa kwenye miji mikubwa ya biashara wenzenu wanajenga barabara njia 3 hadi 4 kila upande sio vituko vyenu vya njia 2 kila upande mnavyotujengea barabara za mbagala na Gongo la Mboto hapo Dar.
Najua kwa somo hili hamtajenga hivyo vituko Mwenge- Kurasini na Bunju hadi PostaView attachment 2847820
Ndo akili zenu zilipoishia kila siku kutafuta sababu kukwepa majukumu.Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.
Dhahabu na alamasi hamna, chakula hamna, mbuga za wanyama hamna, mifugo hamna, na huduma zingine zinazoweza kuingiza pesa hamna.Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.
Watasingizia Angola Wana dollar kibao za mafuta, so wanaweza kugharamia Barabara za aina hiyoKwenu Wizara ya Ujenzi
Hizi ni barabara za Jiji la Biashara Luanda. Mji Mkuu wa Angola
Jifunzeni kuwa kwenye miji mikubwa ya biashara wenzenu wanajenga barabara njia 3 hadi 4 kila upande sio vituko vyenu vya njia 2 kila upande mnavyotujengea barabara za mbagala na Gongo la Mboto hapo Dar.
Najua kwa somo hili hamtajenga hivyo vituko Mwenge- Kurasini na Bunju hadi PostaView attachment 2847820
Nilitegemea hiki kisingizio kuibuka. Wakati huo viongozi wakiendelea kuiba Kwa mwavuli wa ccm. Wapuuzi sana.Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.
Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.
Hadi Posta sio Ubungo tuIle ya kuanzia kibaha ilitakiwa kufika hadi ubungo.,,,
Achana nae huyuTuna madini ya kila aina mpaka Gas, afu unajiita Dr Akili [emoji706][emoji706]
Yule mzee ingawa sikumkubali kwenye maeneo kadhaa ila kwenye haya mambo nilimkubali sanaJPM alijaribu kujenga kuanzia Kimara Mwisho hadi Kibaha.
Kila nikiwa natumia zile barabara hua naendelea kumkumbuka legendary
Yaani huwa napepea na speed 120 hadi 160km/hr.
Let the Man rest in peace, despite his bad side lakini kwenye hili the Oldman was good at ππππͺ
Mkuu si huwa mnasema tuna raslimali nyingi hadi makaburu wanatuonea wivu? Au umejisahau kwenye ile propaganda yetu ya muda mrefu?Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.
Hana akili huyu mtuMkuu si huwa mnasema tuna raslimali nyingi hadi makaburu wanatuonea wivu? Au umejisahau kwenye ile propaganda yetu ya muda mrefu?