econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.
Acha uongo. Tuna bandari, madini, gesi, mazao, mbuga za wanyama, Kodi, tozo na mikopo lukuki ya nje.